Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

duuuh!!! vya hivyo tena?? nijikute nimependwa na KE mwenzangu, nitatokaje ndukiiiiii

Acha ushamba wewe...
Kwani huna dada au ndugu wa kike???huwapendi?unawaza uchafu tu muda wote....
 
Toka wameanzisha uzi sijaona ushauri zaidi ya wanataka wapige dili la tisheti kwa kutumia jina la kiba hhhhaaaaa

Kweli hujaona ushauri waliotoa wadau wengine?au ni hadi niutoe mimi ndio uone ni ushauri???
Hahahaaaa
 
Usijali mamii,niko imara nalitambua hilo...kama nimeweza kumpotezea yule babu mwenye mdomo kama feri huyu hanipi shida

Achana nao shost watu kama hao wanavihelehele utadhani wakati wanazaliwa walitanguliza miguu badala ya kichwaaaaa....!!!!! Bila kusahau hasira za kuzomewa kwa boss
 
Umuonee huruma wewe kama nani???umesikia anaitaka huruma yako?kwanza hebu tuache bwana tumjadili Kiba wetu hii sio sehemu ya kubishana bali ni sehemu ya kujadili ni jinsi gani tunaweza kum support Kiba sisi mashabiki wake hapa JF....
Nahisi mwalimu wako alipata shida sana maana unachanganya mambo vibaya sana

ngoja! ngoja! ngoja! nihesabu post zako toka huu uzi uanze unioneshee ni post ipi uliotoa ushauri kwa kiba zaidi ya kupiga apeche alolo hapa, keleleee tuuuuu kama baa za magomeni, toka hii thread ianze zaidi ya tshet sijaskia kitu kingine,kelele, kelele, kelele kama nzi wa dampo.
embu jifunzeni kwa mondi jamani nawaambia tena tena wala msione aibu, najua kiba ni mkongwe na anajua kuimba afanye kaziii aache mafanikio yapige kelele yenyeweeee jamaniiiii waai!! sijui ni kwanini mmekuwa wazito kuelewa kuliko gunia la misumari.
 
Ni wapi nilikosema nimetoa ushauri???oh my dia Paula hadi nakuonea huruma....
Nimesema hii thread ni maalum kwetu sisi mashabiki wa Kiba kujadili ni jinsi gani tutam support...hata hivyo bye...sitaki kubishana tena na wewe....you are too low to argue with me...
 
Sisi mashabiki wa Ali Kiba hatutaki magazeti yenu humu, uzi huu maalumu kwa King wetu na sisi fans wake.Kwenye uzi huu hatuhitaji matusi yenu. Please please vitorondo hatuhitaji matusi humu.

So the king disappeared teh teh teh and diamond found him ha ha ha!!
 
Toka wameanzisha uzi sijaona ushauri zaidi ya wanataka wapige dili la tisheti kwa kutumia jina la kiba hhhhaaaaa

nisaidie kushangaa wangu, thread imeshafika page ya 35 sasa, post zao ni kiba 4 real, i love u kiba, kiba the king, kiba ana sura ya upole, mi nakuambia kuliko uwe na mashabiki type hii ni bora uwe na wale panya road
 
Yaan hii nchi ina fursa nyingii acha kabisaaa,,ila tusubiri matokeo tuone kiba atajikwamuajee sio bla bla bla alaaaa
 
Sisi mashabiki wa Ali Kiba hatutaki magazeti yenu humu, uzi huu maalumu kwa King wetu na sisi fans wake.Kwenye uzi huu hatuhitaji matusi yenu. Please please vitorondo hatuhitaji matusi humu.

Wee toa maushaurii bana
 
kuwa na mashabiki wa kibongo ni kujiua njaa tu. wanataka muziki wa kununua kwenye vibanda vya "Tuna burn music hapa" ambavyo msanii hafaidiki navyo. ingekuwa angalau robo tu ya wale wanaomshabikia Kiba wananunua kazi zake kwa uhalali basi angefaidika sana. asipoligundua hili ataishia kwenye fiesta kumnufaisha Ruge wakati wenzake wenye akili wanatafuta masoko USA na Europe.
 
Utaonaje wakati unawaza negativity tu no positive mana topic yajieleza kabisa why using a lot of energy just to justify ua boss kizuri kinajiuza chenyewe yeye si famous why kutumia nguvu

Hhhhhaaaa kwanini mnatumia nguvu??
Hivi Kiba ana tuzo ngapii vilee CC Paula kilaki
 
Last edited by a moderator:
kuwa na mashabiki wa kibongo ni kujiua njaa tu. wanataka muziki wa kununua kwenye vibanda vya "Tuna burn music hapa" ambavyo msanii hafaidiki navyo. ingekuwa angalau robo tu ya wale wanaomshabikia Kiba wananunua kazi zake kwa uhalali basi angefaidika sana. asipoligundua hili ataishia kwenye fiesta kumnufaisha Ruge wakati wenzake wenye akili wanatafuta masoko USA na Europe.

Sema weweeeee mwaegoo
 
Sisi mashabiki wa Ali Kiba hatutaki magazeti yenu humu, uzi huu maalumu kwa King wetu na sisi fans wake.Kwenye uzi huu hatuhitaji matusi yenu. Please please vitorondo hatuhitaji matusi humu.

page ya 36 hii ujue ninatafuta mlichojadili kuhusu kiba sioni. kiba kazi unayo mdogo wangu unamashabiri vimeo sijapata kuona, ni bora mimi ninaekuchallenge mara mia elfu kwani lengo langu ni jema tuu mwisho wa siku na wewe utoke umfikie mondi hata kumpita ikibidi, ila sio umshushe ili wewe upande, kama lengo lako ndio hilo ni bora ufulie milele mimi nitakuanikia.
 
Back
Top Bottom