Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Kuna special thread ya ndomo mliianzisha ukaniona???tulia bibi hii ngoma si yako acha kudandia gari kwa mbele...
Sisi hatuanzishi mnaanzisha wenyewee thread,haya bibi mwenzangu nimeacha dandia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna special thread ya ndomo mliianzisha ukaniona???tulia bibi hii ngoma si yako acha kudandia gari kwa mbele...
Hahahaaaa na aje tu nina hamuje nae sasa???Sijui ni msambaa yule anapenda kesi hatariiii
Ha ha ha!mbavuuuu zanguuu!!atulize niniii!This thread ni special kwa fans wa Ally K,wamekuja wavamizi wapenda shobo na ugomvi!wanatoa mapovu na kutetemesha midomo!...haa haaNdio ukubali kua wewe ni mnafiki...iniume kwani hii thread ni mume wangu???yeye peke yake ndiye anayeniumiza...tuliza kinyeo acha kujipendekeza...
Hahahaaaa na aje tu nina hamuje nae sasa???Sijui ni msambaa yule anapenda kesi hatariiii
Jamani kama hamna pesa ntawanunulia hzo tshirt.....
Huyo roho nyeusi anasema nitakufa mdomo wazi,nadhani yeye ndo ibilisi,ila namshangaa!hawezi ushabiki hadi aweke mambo ya kutokwa uhai!!nimemsamehe paula kilaki bure,siku za uhai azidishiwe!,nampenda kiba na paula pia!Kwa kuondoa roho ya kwanini asikilize kimasomaso!Hafi mtu hapa!!
Ndo shabiki wa diamondi hao, hata usiangaike nao, maana boss wao hana elim, hana hekima, hana busara.
Tulichoka na huu upuuzi wa diamondi bora king katambulika mchana kweupeeee, nimefurahi sanaaa
Ziko wapi sasa tena mtugawie bute kabisaa au vipi miss strong
Shangaaaaa ndomo noumaaa sanaaa
Hahaha heaven rejectd pia inaruhusiwa,wote tunajenga nyumba moja nashangaa tunagombea fito,
na huyu Kiba amshukuru diamond maana bila lile genge la wahuni
kuzomea huyu King watu walishamsahau kama ana exist
Namsubiri aje mbishi yulee hhhhaa eti msambaaa we mtanie tu akija hapa namuachia uwanja