Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Diamond na Kiba wote ni wasanii wa kitanzania. Ninyi mnaojiita wapenzi, mashabiki, washangiliaji, na mengine. Vijana wanafanya kazi ili wajikwamue kimaisha. Acheni kuwagombanisha, acheni kuwafarakanisha, wapeni ushauri wapendani. Msiwe na roho mbaya kiasi hicho ndugu zangu. Wengine humu umri wao ni Mkubwa Mara tatu au mbili kwa mondi au kiba. Kwa nini wewe MTU mzima usiwashauri hao watoto wapatane waitangaze nchi kupitia music?

Hold on puliiiziii, Domo mshauri wake ni Wema tulipotaka kumpa ushauri mzuri hawara yake akatutukana tuachane nao kwanza visimu vyenyewe tunavyotumia ni Vitecno, sasa tumeamuwa kumrudishia Mfalme kiti chake tatizo liko wapi?
 
Diamond na Kiba wote ni wasanii wa kitanzania. Ninyi mnaojiita wapenzi, mashabiki, washangiliaji, na mengine. Vijana wanafanya kazi ili wajikwamue kimaisha. Acheni kuwagombanisha, acheni kuwafarakanisha, wapeni ushauri wapendani. Msiwe na roho mbaya kiasi hicho ndugu zangu. Wengine humu umri wao ni Mkubwa Mara tatu au mbili kwa mondi au kiba. Kwa nini wewe MTU mzima usiwashauri hao watoto wapatane waitangaze nchi kupitia music?

Hamna aliyowagombanisha humu, huu uzi ulikuwa maalumu kwa Ally Kiba. Kama fans wa Ally Kiba tulikuwa tunabadilishana mawazo na kujadili jinsi gani kumtengenezea njia msanii wetu awe na mafanikio zaidi fullstop
 
Mbona hujamalizia na wao wakaingilia uzi wetu kutuchokoza???Sisi tunataka kujadiliana kuhusu Kiba wao kinachowaleta huku ni nini?
 
Ally baba we piga kazi nzuri tupo kukupa saport ya nguvu, achana na majungu jipange ufanye kazi nzuri, lazima watakuheshimu tu, wanadiss ila mioyoni wanakukubali.
 
Mbona hujamalizia na wao wakaingilia uzi wetu kutuchokoza???Sisi tunataka kujadiliana kuhusu Kiba wao kinachowaleta huku ni nini?

Labda tu kwa kuongezea arudi page ya kwanza asome heading na content ya thread kama tumemtaja Domo sehemu yoyote.
 
Wachawi wa nchii hii hawatoki ulaya eti...... Ni watanzania wenyewe ndio ambao wanafanyiana uchawi. Huu mnaoufanya ni uchawi acheni kutia chumvi kwa hao watoto.
 
chumvi mnaitia nyie wachimba chumvi, uzi umeanzishwa kwaajili ya kiba walaa haihusiani na kuchochea chochote! hao walamba ndimu ndio wakajileta na shombo zao kumtaja mtu wao, sasa tatizo liko wapi!???
 
Wachawi wa nchii hii hawatoki ulaya eti...... Ni watanzania wenyewe ndio ambao wanafanyiana uchawi. Huu mnaoufanya ni uchawi acheni kutia chumvi kwa hao watoto.

Mbona umepaniki huu uzi ni wa Kiba na sio daimond hafu acha kuwa generalize Watanzania kwenye upuuzi wako nchii hii we uko Marekani
 
Duuu raha ya huu uzi usome comments daaa
 
amejuaje ni wachawi kama hawawangi wote!!

Ha ha ha hilo nalo neno wana lalamika mno badala ya ku focus kwenye kumpa mbinu za kupiga hatua wao wanalaumu mara chuki wivu maneno mengi na Dangote wa Nigeria asemeje
 
Back
Top Bottom