Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
- Thread starter
- #621
Diamond na Kiba wote ni wasanii wa kitanzania. Ninyi mnaojiita wapenzi, mashabiki, washangiliaji, na mengine. Vijana wanafanya kazi ili wajikwamue kimaisha. Acheni kuwagombanisha, acheni kuwafarakanisha, wapeni ushauri wapendani. Msiwe na roho mbaya kiasi hicho ndugu zangu. Wengine humu umri wao ni Mkubwa Mara tatu au mbili kwa mondi au kiba. Kwa nini wewe MTU mzima usiwashauri hao watoto wapatane waitangaze nchi kupitia music?
Hold on puliiiziii, Domo mshauri wake ni Wema tulipotaka kumpa ushauri mzuri hawara yake akatutukana tuachane nao kwanza visimu vyenyewe tunavyotumia ni Vitecno, sasa tumeamuwa kumrudishia Mfalme kiti chake tatizo liko wapi?