Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ngoja nikujibu mrembo King'asti kwa niaba ya wenzio woooote wanaouliza hilo swali...

Hivi wakati Ali Kiba ana hit na cinderella,nakshi nakshi,dushelele n.k alitegemea anguko la nani?alitoka kivyake tena bila hata ya kutegemea skendo tulimjua na kumpenda sana...sasa iweje leo ategemee 'anguko' la diamond?kwa hiyo sasa mtu asitoe wimbo wake kisa kuna diamond?wenyewe wala hawataki ugomvi ni sisi mashabiki tu ndio tunaochochea
Ulitizama show yake kwa sporah?alisema amepambanishwa na watu wengi sana sio Kiba tu....iweje mumng'ang'anie yeye tu?tuache kazi zao ziongee jamani...aliyekua bora atajulikana kwa kazi zake...

I like ua comment good analysis umetoa comment ki great think ua great mind
 
Last edited by a moderator:
anashindana na upepo na roho inamuuma kuona
kuna mtu mwenye akili kaanzisha uzi km huu upo active hauchuji
kuutwa na vithread vyao uchwara jasho linawatoka
wanaanzisha thread mia comment nne
haloooooo

Hii thread itaua watu jamani.....😀😀😀
 
Hakuna mshabiki wa muziki anayejitambuwa ambaye anaweza kufunga safari kwenda Coco beach kwenye matamasha ya mchana tena ya dezo.

Aisee kwa lile jua na joto hili la dar?🙄🙄 watu wanajiweza kweli yani
 
Attachments

  • 1414399097139.jpg
    1414399097139.jpg
    67.5 KB · Views: 70
Hahaaaa ahsante sana Diva bey....sasa hivi tunajibu kwa facts tu no time to argue

Ni kweli aisee mana wengine wanakuja ila kuchange topic wasiopenda wengine wasifiwe chao tu ni bora
 
Last edited by a moderator:
Ngoja nikujibu mrembo King'asti kwa niaba ya wenzio woooote wanaouliza hilo swali...

Hivi wakati Ali Kiba ana hit na cinderella,nakshi nakshi,dushelele n.k alitegemea anguko la nani?alitoka kivyake tena bila hata ya kutegemea skendo tulimjua na kumpenda sana...sasa iweje leo ategemee 'anguko' la diamond?kwa hiyo sasa mtu asitoe wimbo wake kisa kuna diamond?wenyewe wala hawataki ugomvi ni sisi mashabiki tu ndio tunaochochea
Ulitizama show yake kwa sporah?alisema amepambanishwa na watu wengi sana sio Kiba tu....iweje mumng'ang'anie yeye tu?tuache kazi zao ziongee jamani...aliyekua bora atajulikana kwa kazi zake...

Kama tunaangalia kazi Dimond yupo juu maili 100 labda uongelee ushabiki ..
 
Last edited by a moderator:
Kiba baada ya kupotea akaanza kusingia ooh Dimond anamsema kisa amekopa, mara Dimond hamiheshimu, mara Dimond hamsalimii hzi sababu uchwara zilinifanya nimshushe maxi kibakuli maana hazina mashiko hata kidogo, kama mtu hakusalimii na una claim ulimsaidia kuna ulazima gani wa kulazimisha salamu, na kwanini aililie heshima kwa Dimond peke yake mbna kuna wasanii wengi tu wanafanya yao hawana tym na mtu yy amg'ang'anie Dimond?!...

baada ya kujiuliza haya maswali nikajua kuwa kiba hana lolote zaidi ya chuki na wivu kwa mwana kigoma mwenzake aliyemkuta na kumuacha amesimama kama mzeituni..

Amekalia majungu tu mara kiti changu kina vumbi, mara kabati langu lina mende , wenzake wanafanya kazi yy anakalia majungu na kuongelea Furniture tu....ataishia kupata aibu tu
 
El nino waraka wako mrefuuu!Ila wala haukuitwa hapa kujaribu kujustify kuwa mondi yupo juu,kati au chini!!Hapa bila kujali nafasi mliompa Kibaznsie mashabiki zake kwa roho moja tumeamua kumpenda kumtia moyo na kumpa ushauri,so mambo ya Diamond peleka hukooo kwenye thread yenye comment tano,ungesaidia sana...
 
uleushauri wa kuprint T shirt umeishia wapi?? nataka nitupiemo Tshirt
 
el nino waraka wako mrefuuu!ila wala haukuitwa hapa kujaribu kujustify kuwa mondi yupo juu,kati au chini!!hapa bila kujali nafasi mliompa kibaznsie mashabiki zake kwa roho moja tumeamua kumpenda kumtia moyo na kumpa ushauri,so mambo ya diamond peleka hukooo kwenye thread yenye comment tano,ungesaidia sana...

ashukuriwe great thinker matola kwa hili!!
 
Back
Top Bottom