Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

watu wanaomchukulia poa ali kiba wanafeli sana...sometimes wajiulize huyu kiba ana nini na kwanini?haiwezekani ngoma yake moja tu ya mwanadar es salaam ilete usumbufu hivi mjini!tena inawakosesha raha zaidi washabiki wa jamaa ambaye keshatoa ngoma nyingi sana wakati kiba akiwa hayupo active katika game!na huyo jamaa keshatumia mamilioni kuukuza music wake lakini ngoma moko tu yenye gharama ndogo kabisa iliyofanywa na man walter inaleta disturbances....

muuza sura allow me to kiss u mwaaaaahhhh..n!!!
upo km kakakuona vile...!!
yaaani unaandikaga kishkaji but content inakua imeeleweka
yaani mara nyingi ukikoment mi lazma nifurahi!
 
muuza sura allow me to kiss u mwaaaaahhhh..n!!!
upo km kakakuona vile...!!
yaaani unaandikaga kishkaji but content inakua imeeleweka
yaani mara nyingi ukikoment mi lazma nifurahi!

Na uzuri wake Comment zake zipo fair sana nyeusi anaita nyeusi na nyeupe anaita nyeupe.
 
1415270614259.jpg
 
watu wanaomchukulia poa ali kiba wanafeli sana...sometimes wajiulize huyu kiba ana nini na kwanini?haiwezekani ngoma yake moja tu ya mwanadar es salaam ilete usumbufu hivi mjini!tena inawakosesha raha zaidi washabiki wa jamaa ambaye keshatoa ngoma nyingi sana wakati kiba akiwa hayupo active katika game!na huyo jamaa keshatumia mamilioni kuukuza music wake lakini ngoma moko tu yenye gharama ndogo kabisa iliyofanywa na man walter inaleta disturbances....

Bora umesema wewe naona watakuelewa...tatizo wengi wanaotupigia kelele humu wapo vijijini huko sasa wanawasikiliza watoto wa tandale akina matumbo...
Laiti wangejua kinachoendelea hapa mjini wangekaa kimya....
 
Last edited by a moderator:
Awesome!kuna ile picha yake nyingine katinga tshirt ina sura yake,ni nzuri kweli...ivi Matola mbona hautoi update..

Kuna personal project namalizia Brela wametukalia shingoni ni mwendo wa kubalansisha maisha social activies na kazi.
 
huyo mbonaa team dai muda mrefu
by the way
matola kaongea points kweli jamani tunaomba wale mnaomfahamu aly k mwambieni aje huku wengine tulikua tunapondwa sana
nyuzi kibao za kuponda mwanadarsalam
Somji Juma please contact na kiba tupate kumsapoti
mi tshert ntannua yangu na ya mme wangu na mtoe na za watoto niwataftie wanangu tafadhali
humu team kiba
km humpendi pita kuleeeeee

geniveros nifah
Hii hapa 0713 838288
 
Last edited by a moderator:
Matola umeona???Mimi naogopa hata kuichukua jamani maana nitavunja ndoa yangu hivihivi....

shoga nnaibeba ntamuagiza dogo akanichukulie
mbili zangu maana mme wangu anampenda kiba anamuita mak muga
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom