Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

utakuwa umechelewa maana zimeshajiconnectisha, alafu mie wananitenga hata hawaniambii ile kitu(bado nimewamind)

Ha ha ha ha!!Maweee nakufa kuchekaaa ,Nooo wasi wasi wako tyuuu!!Dada Nifah ana shemdarlin wangu wa ukweel!Mdakuz is just a brother!
 
Kwi kwi kwi!!Kwa matusi ambayo tunapakwa chini ya baraka za babu aisee hapa hapati mke wala mchepuko!!Ole wako Diva utoe number yako kwa Babu!


weee hata usiongee kwenye mapenzi anything can hapen, twaweza mpoteza diva hvhv!!!
 
Hahahaaa unasemaje wewe? Matola anampenda wema hatariii
Shauri zako wewe mponde tu hapa mbele yake
Nilichompendeaga Wema ni kuweza Kumfundisha kingereza huyu mswahili wa Tandale bila kwenda English course kwa hilo nampa credit zake maddam upuuzi mwingine huo ni side effect za kulelewa na single Mother asiyekuwa na maadili.
Weee!Basi pole yakeee!!Ila bwana sio sawa kumpangia yule dogo mtu wa kumpenda mwacheni abemendwe nasikia alikataliwaga sana sana!so anakomeshea nw!
Hata napenda agonge kisawasawa lakini siyo hawa reject materials.

Tatizo la mswahili wa uswahilini na amezungukwa na mazuzu hajui kitu, Diamond ana access zote sasa hivi aje kucheza gofu Masaki kila weekend tumfundishe namna ya kuwala watoto wa Madon wa kibongo.

Kwa level yake sasa hivi nilitarajia Ridhiwani amwite Diamond Shemeji na harusi tunafanyia kwenye viwanja vya Ikulu.

Muda huu jina lake linashine ndio muda sahihi wa kupress right button na siyo kuangaika na wamama ambao wameshamaliza ujana wao tayari.

Albert Marwa ni mtoto wa mjini kamvizia Salama Kikwete mpaka kamtia mimba na JK amekubali yaishe jamaa anakula mema ya nchi sasa hivi na kwenye Escrow yumo.

Tunaomtakia future Nasib huu ndio muda wake wa kugonga watoto wa kishuwa na siyo kuhangaika na makahaba na hawa hawapatikani kwenye matamasha ya Fiesta au party za Le Mutuz, hawa wana formula yake rahisi mno.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom