Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

toa tu mwaliko mwl usiogope na kututenga wa ntwara(hahaaaa kwa bwana sheeeee)

hahaaaaaa
nilikua nahitaji msaada nataka niwe nawauzia korosho mi nimehama mtwara ila hua naenda mara kwa mara kufata bizness
Matola kuna kitu ntahitaji unisaidie maana najua we mzoefu
 
Last edited by a moderator:
Morning good peopleeee!!!Have a blessing and prosperous day!!
 
Geniveros yani nlishaandaa tumbo nilidhani ndo tusha alikwaaa!!
 
geniveros hebu usipindishe huo mwaliko, au ndio unamualika Matola peke yake kiujanja?
 
Last edited by a moderator:
katika Maisha yangu tangu nazaliwa sijawahi ona mwanamuziki/mfanyakazi/mtu yeyote amekaa kimya muda mrefu halafu watu wakamng'ang'ania arudi......pia sijawahi ona
mwanamuziki anatoa Audio inakaa miezi mitano na watu bado wanaitamani video yake.....pia sijawahi ona mtu mpole anakua maarufu bila kuwa na mapepe fulani......ONLY IN TANZANIA......ONLY ALI KIBA....Nimegundua watu wanampenda sana....sijawahi ona mapenzi makubwa kiasi hiki...
 
Kula like like!Mdau u r so Clever kwa kweliii!Mwenyewe sijawahi kuona!!Sijawahi kuona!!Amefunguliwa uzi anadaiwa pongezi,kati ya wanamuziki woteee yeye tuu kaonekana hajatoa!!Hii ni only in Tz!
 
Woyooooooooo! yaani hilo jina hukukosea kujiita, yo soo cleverrrrr, ofcoz yess we love kiba n he ll always be the best
 
Kula like like!Mdau u r so Clever kwa kweliii!Mwenyewe sijawahi kuona!!Sijawahi kuona!!Amefunguliwa uzi anadaiwa pongezi,kati ya wanamuziki woteee yeye tuu kaonekana hajatoa!!Hii ni only in Tz!

whaaaat!!! hebu ngoja niende, kwani ni kiba tu hajatoa??? au ndio kunya anye kukuuuu....., wamuache apumue huko, mbona anawakaba koo namna hiyooo!!! agggggrrrr
 
nimeamini watz ni waelewa sana kumbe!! Ms.Lincoln umeona comment za wadau??? wamenifurahishaje sasa, watu wana balaaa, Kibaaaa Kibaaaa Kibaaa Kibaaaaa, na mtulie afanye yake bwana, kwani niniiiii
 
Last edited by a moderator:
Kula like like!Mdau u r so Clever kwa kweliii!Mwenyewe sijawahi kuona!!Sijawahi kuona!!Amefunguliwa uzi anadaiwa pongezi,kati ya wanamuziki woteee yeye tuu kaonekana hajatoa!!Hii ni only in Tz!

Binadamu hatuna jema, trust me angempongeza pia wacngekosa la kusema tena wale watuuuuu!!! uwiii bora tu kakaa kimya.
 
katika Maisha yangu tangu nazaliwa sijawahi ona mwanamuziki/mfanyakazi/mtu yeyote amekaa kimya muda mrefu halafu watu wakamng'ang'ania arudi......pia sijawahi ona
mwanamuziki anatoa Audio inakaa miezi mitano na watu bado wanaitamani video yake.....pia sijawahi ona mtu mpole anakua maarufu bila kuwa na mapepe fulani......ONLY IN TANZANIA......ONLY ALI KIBA....Nimegundua watu wanampenda sana....sijawahi ona mapenzi makubwa kiasi hiki...

nitakuwa nimefeli sana kama nikipita na kuishia kutazama tu maneno kama haya yenye ukweli mtupu na kuyakubali....ni kiba pekee ambaye mpaka leo ameweza kuwasahaulisha watanzania kama Davido na T.I walikuwepo kwenye tamasha la fiesta leaders (alichokifanya sina haja ya kurudia kukielezea)........ni kiba pekee ambaye anaweza akakufanya uambulie fedheha hata mitusi kama ukikaa na wajanja wenye mji wao ukaanza kumuongelea kiba vibaya
 
nimeamini watz ni waelewa sana kumbe!! Ms.Lincoln umeona comment za wadau??? wamenifurahishaje sasa, watu wana balaaa, Kibaaaa Kibaaaa Kibaaa Kibaaaaa, na mtulie afanye yake bwana, kwani niniiiii

Umeonaa ee!Watu wana akili zao timamu na alafu wala sio shabiki wa mfalme humu sijawahi kuwaona ata!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom