Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
Usiache kuangalia maana ni hataree I say KIBA ni noma
Hatari sana,tatizo mimi inazingua sometimes sijui kwa nini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usiache kuangalia maana ni hataree I say KIBA ni noma
VIEWS 70K wimbo una Siku Tatu..... Diamond alikuwa na Views 122K ndani ya Masaa 22 tu...
Mbona wachangiaje wake wa US pia wanadai hawaioni au 'hawana bundle'?By the way Kiba ametoa kitu kikali...big up!!
Wimbo upi mkuu wenye siku tatu Youtube? Huu ni upotoshaji.
Ova
Wimbo upi mkuu wenye siku tatu Youtube? Huu ni upotoshaji.
Ova
Kumbe shaa kacopy?nilikua sijui hii
Naona Husomi Context unasoma juu juu tu..... Haya Siku mbili... VIEWS UMEONA? ???? Au
KING KIBA'S FANS-
*kwanza jamaa yetu ni msani wa kweli sio
wa mabox mpaka skendo.
*pili hatumringanishi na yeyote,tunapom
sifia,kwetu sisi anaimba kuliko wengine.
*tatu sauti yake ina radha adimu sana,skil
liza one 8 utagundua kelly aliona kitu
akaamua aanze yeye.
*hachukui mademu maarufu,maana
anajua kuwa hatafaidi,sababu wengi
Wametumika sana.
*Ana nyota ya upinzani,ndio maana kila
anachofanya anaonekana anaoppose,
Kumbe laaa.anafanya kwa ajir ya watu
wake.
*tungo zake ni za kisanii haswaa,ndio
maana ni nyimbo chache sana zinaeleweka na watoto wadogo(mali
yangu).
*kwa sababu ya utulivu wake,busara na
hekima-atakuwa baba na kaka bora
Ambaye hatatafunwa na historia yake
Siku zijazo,sioni hatari mwanangu
Kumpenda kiba.
FOR US,U WILL BE A KING FOR EVER.
"K for reall"
VIEWS 70K wimbo una Siku Tatu..... Diamond alikuwa na Views 122K ndani ya Masaa 22 tu...
Naona Husomi Context unasoma juu juu tu..... Haya Siku mbili... VIEWS UMEONA? ???? Au
Tujifunze kutofautisha, kati ya msalaba na jumlisha, kuna X na kuzidisha.... hapo dangote alimaanisha kitu kikubwa sana.... daimond kumfananisha na kiba ni kumtukana, msanii,mwanasiasa, mwanamichezo bora anapimwa kwa mafanikio aliyoyapata si kingine..... kiba mwisho kenya, bado anasafali ndefu akaze atafika
mi huo wimbo wa sikuoni huwa ndo naupenda sana,chorus kaimba vizuri halafu aliyemshirika naye alikuwa vizuri
ni vigumu kufanya kitu without comparison kwa muziki wa tanzania daimond na kiba ndio wasanii ambao unaweza kuwacompare.... tena locally... international sikusimulii... daimond kampa changamoto ya kimziki ali, kataa kubali, ally asingewaza kwenda kufanya video sauth africa, ali hakuwahi kucheza vizuri kwenye video.... hata stejini alikuwa anapanda bila dancers.... vitu ambavyo daimond alikuwa anafanya three years ago.... ndio maana ninasema for now ali kumfananisha na dangote ni kumwonea the guy yuko miles nyingi sana kumzidi, dai is so international artist, ally achukulie hiyo kama changamoto... aache kuchukulia vitu poa ajifunze kwa watu waliomakini na music industry kama daimond.... sio kusifiwa na watanzania na kenya then anabweteka.... nimeishi kenya mtu wangu, ally kiba na jide ndio waswahili ambao wana hits nyingi, then what??? cha kushangaza daimond anafanya show kwa 5000/= ya kenya,,, almost 72,000/= ya kitanzania na panafulika,,, then anaondoka anawaacha wanaendelea ku hit ye anapiga pesa.... kiba ajifunze sana kwa daimond, uwezo wa kujibrand... kutembea na team ambayo inasaidia kuwa update fans wake kila situation inayotokea kwake.... kuwa na crew yake, dancers wake ambao anafanya nao mazoezi na ahakikishe kama promoter atamwitaji kwa show aweze kugharamia crew yake, tumechoka kumsifia kuwa anasauti nzuri, tunataka kumwona anatamba kimataifa si kingine, kwenye sanaa yupo zaidi ya miaka kumi imetosha kutuburudisha, anahitaji kufikilia jinsi ya kusonga mbele.. at least daimond kaonyesha kuwa mafanikio yanawezekana hata kwa lugha yetu bila kumix na lugha yao.... nitamweshimu daimond kwa sababu ana spirit ya kuangalia mbele zaidi... tunahitaji ratiba ya show ya celebs zetu ziwe ni.... da>Lagos>capetown>abuja..... sio arusha>nachingwea>lindi>mtwala.... naamini umeelewa namaanisha nini, naamini kuna watu ambao wanakutana na wanaongea na ally yaweza kuwa wewe pia, tusitumie muda mwingi kumsifia jinsi anavyofunika mtaani bali tumshauli kwamba this time akikutana na the like R_kerry, 2face idibia ajaribu kushare nao utanzania wake ili utanzania wake ujulikane mpaka nchi za watu.... kama umehisi niko hapa kwa kumkandia kiba, ni mtazamo wako but siamini kama kiba anafurahishwa na kusiwa kuwa anahit bcoz ni jambo alilolizoea from cindelela hajawahi kuachia nyimbo haijahit... sasa inabidi tumsifie msanii wetu kwa kufanya kitu kipyaSasa wewe ndio unatudhihirishia kuwa.
Msanii wako kapaniki,
Kaamua aimbe wimbo haraka haraka,na kutoa video haraka haraka ili tu,KUJIPAMBANUA.kuwa yeye ni zaidi ya kiba,ya nini yote hayo!!!
Angalia sasa mwisho kabisa anaharibu dhima yote ya wimbo kwa kuchanganya na vijembe vya mipasho.
Tena nikwambie,anachokihofia kitamtokea kweli kama anafanya ili ashindane.
Heb,
Muacheni diamond afanye kama diamon
Kiba afanye yake kama kiba.
Mnaharibu sana mnapolazimisha ushindani ilhali mnajua kuwa watu hawa wakipanda jukwaa moja,bosi wenu anaondoka na presha.
duh nilitegemea kiba angekuja na video ya kufa mtu kumbe ndo vile? apumZike kwa amani. na wote wenye pumzi tuseme amen