Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

daaah!
yaan we acha tu....uchaguzi huu sitausahau ktk harakati zang za siasa!
hakika tumechokwa na watanzania,anyway general election 2015 kazi ipo kama tusipochukua hatua bibie...

mmmmh!!! kabidhini kijiti tu sasa maana tushawachoka kama mwafulani
 
abou king yuko wapi this w.end jamani, kuna jirani yangu aliondoka akawaacha watoto home jamani wamekesha wakipiga mwana, yaani full kuurewaind na kudence km king, wamenifurahisha kweli
 
Last edited by a moderator:
abou king yuko wapi this w.end jamani, kuna jirani yangu aliondoka akawaacha watoto home jamani wamekesha wakipiga mwana, yaani full kuurewaind na kudence km king, wamenifurahisha kweli

Leo yupo London
 
Last edited by a moderator:
Nilikua sijui kumbe kuna watu inawaforokonda sana King Kiba kuwa na mashabiki?tena inawauma sana yeye kuitwa 'King!',Happy holidays!!waswahili wanasema,mti wenye matunda huweshi kupigwa mawe!!


na wataumwa sana na bado!!
 
mie kiba hata aimbe taarabu nitamshabikia tu, la mtu halimchukizi babu weee!! yenu hamyaoni kutwa kuyasema ya kiba!!! hahaaaaaaa!! weraweraaaa!!
mie shabiki die hard wa kiba and u can call it werever u lyk its up to you, na ndio kwanzaaaa mapenzi kwa kiba yanazidi, nani asopenda mziki mzuri atiii, mwana ngoma moja tu imeharibu mji mzima, chezea KING wewe(hahaa namuumwe)
 
Nilikua sijui kumbe kuna watu inawaforokonda sana King Kiba kuwa na mashabiki?tena inawauma sana yeye kuitwa 'King!',Happy holidays!!waswahili wanasema,mti wenye matunda huweshi kupigwa mawe!!

Ni wengi sana wanachanganyikiwa kuona Kiba anashangiliwa kwa sababu wanajua wanayemshabikia ni staa wa maboksi, hasimami mwenyewe kwa Uwezo wake.
Pia wanajua kama wanayemshabikia alisogea hapo alipo baada ya Kiba kupumzika kufanya muziki kwa miaka mitatu, hivyo kurejea kwake wanajua kunahatarisha usalama wa staa wao wa maboksi.
King Kiba ndo amesharudi kwenye kiti chake hakuna staa wa maboksi atakayebaki salama.
Ova
 
Mashabiki wa Ally Kiba wajumuike hapa kumpa ushauri what is next baada ya mashabiki kuonesha mapenzi yao ya dhati kwa Kiba kwenye Fiesta na kuandika historia mpya Tanzania.

Mimi kama Matola nitatumia effort zangu binafsi kuhakikisha nakutana na Kiba na manegement yake ili kuwapa mikakati ya mfalme huyu aweze kuutunza huu ufalme wake.

La kwanza niko tayari kutoa Tshirt za Kiba zenye kiwango ambapo shughuri ya kuziandaa kuna kampuni iko South Africa inaweza kuleta Tshirt katika viwango vya USA.

warumi nifah geniveros

Nisaidieni kuwaita wadau ili tumtengeneze Ally Kiba sasa na nitahakikisha anafunguwa ID hapa kwa jina lake ili kujibu maswali ya wadau pale patakapokuwa na ulazima wa yeye kufanya hivyo. Yeye siyo wa level ya Instagram.


-------------

Ufafanuzi juu ya zawadi



Taarifa ya Mshindi

http://m.youtube.com/watch?v=PPzD9HuQ7mE
 
Back
Top Bottom