Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Naisubiria kwa hamu hiyo collaboration naona itakuwa balaa tupu, naona majirani wameashaanza kulia lia.
Though kati ya WizKid na Davido mimi namkubali zaidi WizKid ila haina maana kwamba tusifanye collabo na Davido...
Tunaanza na Davido then WizKid anafuatia.
#TutaheshimianaTu
 
kama nakuona vile nifah
 
Last edited by a moderator:
ya wizkid ipo pia tunaanza na hiyo then bella saut sol

stanley from cameroon kwishaaaaaa
 
ahsante davido kwa kufunguka maana kiba anafichaficha, halafk pwilo na abou mlikuwa mnajua nanyi mkakaa kimya
 
NZI HAWEZI KUTOA ASALI HATA ALISHWE GUNIA MIA ZA SUKARI..

Mnafikiri collable ndio kilakitu kibakuli hana jipya kama alifanya na R kelly na davido ndio itakuwa na nin???

palaso kaimba na davido mwaka huu nyimbo imefika wap??

radio na weasel wameimba na wizkid nyimbo imefika wapi??

MTANYOOKA TU!!

Davido mwenyewe anasanda kwa dangote katoa wimbo na meekmill lakini bado NANA ndio habari ya AFRIKA 3 NOMINATIONS WIMBO MMOJA UMEMZIDI HADI DAVIDO MWENYEWE
 
kaahindwa na r kelly ataweza na hao wananchi wa kawaida dai anakwakalisha sasahivi

mwakani mtv nomination 6 au 7 afu tunachukua tuzo zetu 5 tu

nana wombo bora wa mwaka, video bora, best male, best collable, live act

oyoooooooooooo
 
ahsante davido kwa kufunguka maana kiba anafichaficha, halafk pwilo na abou mlikuwa mnajua nanyi mkakaa kimya

Hajiamini tatizo

anataka ajitutumue ashindane na Dangote wakati uwezo hakuna anabaki kusitasita kwasababu anaona kazi itafunikwa, kama alivyokuwa anaogopa kutoa madudu ya chekechua

MSUBIRI DAVIDO FT. DIAMOND MWEZI UJAO

NYINYI MNAPIGA MAGOTI KUOMBA

SISI WANATUBEMBELEZA KUTUSHIRIKISHA
 
Last edited by a moderator:
ya wizkid ipo pia tunaanza na hiyo then bella saut sol

stanley from cameroon kwishaaaaaa
Majirani inabidi wajiandae kisaikolojia tu maana gharika linalokuja huko tutatafutana humu.
#KingKiba msiri sana, hafanyi mambo kwa sifa maana anajijua ku anajua na sifa ameshazizoea.
 
ahsante davido kwa kufunguka maana kiba anafichaficha, halafk pwilo na abou mlikuwa mnajua nanyi mkakaa kimya
mkuuu mi si nilisema kiba ni mpole hadi anatuuumiza mashabiki mfano collabo ya sautsol hajawahi post saut sol nda wanapost wanasema tuna collabo na kiba ila mkuu usijali
#good music is coming
 
Last edited by a moderator:
ahsante davido kwa kufunguka maana kiba anafichaficha, halafk pwilo na abou mlikuwa mnajua nanyi mkakaa kimya
mzoee tu kiba mkuu arrogant one
2dcac12f001b15a838e471dfebc7b480.jpg
9b93094d877e0279246391254e4ce33f.jpg
 
Last edited by a moderator:
NZI HAWEZI KUTOA ASALI HATA ALISHWE GUNIA MIA ZA SUKARI..

Mnafikiri collable ndio kilakitu kibakuli hana jipya kama alifanya na R kelly na davido ndio itakuwa na nin???

palaso kaimba na davido mwaka huu nyimbo imefika wap??

radio na weasel wameimba na wizkid nyimbo imefika wapi??

MTANYOOKA TU!!

Davido mwenyewe anasanda kwa dangote katoa wimbo na meekmill lakini bado NANA ndio habari ya AFRIKA 3 NOMINATIONS WIMBO MMOJA UMEMZIDI HADI DAVIDO MWENYEWE

Teteteteh yani mmeshaanza kuomba poooo mapema yote hii kisa tu kivumbi cha msanii local
 
Hajiamini tatizo

anataka ajitutumue ashindane na Dangote wakati uwezo hakuna anabaki kusitasita kwasababu anaona kazi itafunikwa, kama alivyokuwa anaogopa kutoa madudu ya chekechua

MSUBIRI DAVIDO FT. DIAMOND MWEZI UJAO

NYINYI MNAPIGA MAGOTI KUOMBA

SISI WANATUBEMBELEZA KUTUSHIRIKISHA

Bado collabo la trey song November lazima mcheue damu
 
Kweli diamond n icon wa tz hadi Ali kiba Ana penda kumuiga diamond diamond alitoka n jokate Mara kiba huyo n jokate, video diamond kwa godfather Mara kiba nae huyo kwa godfather diamond collabo n davido kiba nae huyo collabo kwa davido but whyyyyyy am so wandaz royal family 😀😀😀😀
 
Naisubiria kwa hamu hiyo collaboration naona itakuwa balaa tupu, naona majirani wameashaanza kulia lia.
Though kati ya WizKid na Davido mimi namkubali zaidi WizKid ila haina maana kwamba tusifanye collabo na Davido...
Tunaanza na Davido then WizKid anafuatia.
#TutaheshimianaTu
Hayo ndo mambo tunayo yataka hapa na sio mbwebwe. Naona wameshaanza kuponda tayari eti kumpangia kiba asifanye na Davido.
Yani hapo chacha ngoma inogile.
#HatersGonaHatePlayersGonePlay .
#KibaShowThemYouCanActionsSpeaksLouderThanWords .
 
Kweli diamond n icon wa tz hadi Ali kiba Ana penda kumuiga diamond diamond alitoka n jokate Mara kiba huyo n jokate, video diamond kwa godfather Mara kiba nae huyo kwa godfather diamond collabo n davido kiba nae huyo collabo kwa davido but whyyyyyy am so wandaz royal family 😀😀😀😀
e3a20237a291381df8570dcc631ee7b5.jpg

umewaona hawa 1.hawakuwa na bifu na mtu 2.walipendwa na mashabiki 3.walikuwa na vipaji 4.walikuwa na heshima 5.wanajua kuimba

swali nani aliwashusha kimziki???
acheni jeuri jamani hii ni bongo tutamsahau mtu sekende tu
 
Mtajutraaaa timu mandole yani collabo la kiba limeshaanza kuwatoa povu hvo. Kiba atawapa stress bure aisee zaidi ya KTMA. Endeleeni kulia na bado.
Yani kiba nakukubali kwa kuinyima usingizi timu chai jaba kuanzia management.
#NaBadoMtajibeba
 
Naisubiria kwa hamu hiyo collaboration naona itakuwa balaa tupu, naona majirani wameashaanza kulia lia.
Though kati ya WizKid na Davido mimi namkubali zaidi WizKid ila haina maana kwamba tusifanye collabo na Davido...
Tunaanza na Davido then WizKid anafuatia.
#TutaheshimianaTu

Nampongeza Alli kwa hatua aliyo piga kujisogeza nigeria hope ngoma itakua poa tu,ila cha ajabu ninacho kishangaa kwa mashabiki wa pande zote mbili wa Nasibu na Kiba ni kwamba diamond akifanya kitu lazma mashabiki tutaseme majirani hivi na hivi na kiba akifanya kitu fans wake utaskia wanasema maneno hayo hayo hata kama hakuna uhalisia.je ni kunogesha upinzani au?
 
Back
Top Bottom