sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 19,955
- 45,207
nenda zako huko umeitwa huku dume unakuwa na mambo ya kike sasa domo hizo nguo alivua lengo kake ni nini ? domo ndi linamambo ya kike linandika mipasho,vujembe,nafumbo,ana muandikia hadi zari hivi unatumia insta isijekuwa unakesha jf halafu unabisha watu insta ndo kila kitu
Weeewe ndio unamtazamo potofu sasa wewe kuvua kwake nguo kunakuuma nini?? Alivua ni moja ya mwembwe tu but wewe kama umetafsir kilocal local utabaki hivyo hivyo...
Nipo insta na nmeiona hiyo vdeo kiba akisema amefikisha mwaka..