Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

kumbe pesa ipo mimi walaa ukiwa na pesa wala hata siangalii sura mimi naheshimu pesa.
Na ukiwa na pesa wew ni hbizoo tayari nitafute bhanaa....au niambie upo wapi mimi nije acha woga.. sawa hb?
Pesa utakula na nilivyo bado utasimulia.
 
Ms.Lincoln wapi nimeyasifia maumbile ya DIAMOND????????? na kama unayaingizia yale ya kidoti MIMI NIMEMKARIRI YEYE MWENYEWE AKIMSIFIA THABITI KUWA NDO MWANAUME ALIYEMRIDHISHA.

Kumbuka vizuriii
 
Last edited by a moderator:
Jaman mimi nakupenda ulivyo
Haya maneno yanawafaa wa miaka 14-20 ndo watapagawa nayo, ila mimi kwa sasa nahisi kama unanitukana ukikutana namimi taja dau lako kisha kila mtu anashika njia yake .
 
Haya maneno yanawafaa wa miaka 14-20 ndo watapagawa nayo, ila mimi kwa sasa nahisi kama unanitukana ukikutana namimi taja dau lako kisha kila mtu anashika njia yake .

Ha ha haaa basi sawaa
 
Sijapita huku siku nyingi,aisee samsun umenichekesha sana.
Jiamini jirani,acha kujikataa.
 
Last edited by a moderator:
tusisahau kumpigia dmond category ya worldwide-act-afrika/India.kama watanzania @wcb.wasafi.com
 
Last edited by a moderator:
pwilo ukuje huku atiii...
Yaliyopita si ndwele tugange yajayo....
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom