George Betram
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 4,672
- 6,272
wiu wiu wiu...
wiu wiu wiu...
inapendeeezaaaaa..
ali kiba buana!!!
wiu wiu wiu...
inapendeeezaaaaa..
ali kiba buana!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kiba miaka mia nane na nusu aisee, ananikosha sana huyu jamaa, nafikiri kesho chupa linatoka utube hatari sana hiyo, si unajua babaako alivyotoka slipway kapanda pipa now yuko kenya, biznes az ussualKakake juzi nimefanyiwa surprise ya hii ngoma nilihisi kudata!
Bae kani-video call kisha kaniwekea hii ngoma...halafu ananiangalia tu!
Uwiiiii Lupela ni shiiidah!
Wapendwa wetu huku wamepotea baada ya mods kutuharibia uzi,kama haitoshi wameamua kuutoa celebrities na kuupeleka entertainment.
Wenye roho nyepesi wamekimbia,WAFIA KIBA tunakomaa tu maana hamna namna.
kipaji toka moyoniwiu wiu wiu...
wiu wiu wiu...
inapendeeezaaaaa..
ali kiba buana!!!
kama kipaji tu...kipaji toka moyoni
Oyooooo can't wait aisee.kiba miaka mia nane na nusu aisee, ananikosha sana huyu jamaa, nafikiri kesho chupa linatoka utube hatari sana hiyo, si unajua babaako alivyotoka slipway kapanda pipa now yuko kenya, biznes az ussual
Makubwa haya!wiu wiu wiu...
wiu wiu wiu...
inapendeeezaaaaa..
ali kiba buana!!!
ndugu zetu wanasemaga tumjudge msanii wao kwa kazi zake maisha yake tumuachie mwenyewe, nafikiri tufanye hivyo hata kwa kiba pia, period!kama kipaji tu...
ali kiba kabalikiwa ndugu...
lakini apunguze kujisikia kidogo hiyo nayo itamsaidia...
huyu jamaa anajisikia sana..!
Inapendezaa..we lupe..Makubwa haya!
Si ulisema wimbo mbaya?
Hadi umeshaukariri?
Hivi ni lini mtaacha unafiki?
hizo ni habari nimezipata chini ya kapeti, infact video imegharamiwa na WILDAID full project hivyo wao ndo wana mamlaka ya kuitoaOyooooo can't wait aisee.
Mimi nimesubscribe YouTube channel yake ila huwa wanachelewa kuniletea notifications sometimes.
Likitoka tu nishtue PM.
kwani wapi nimekuambia wimbo mzuri mama..?Makubwa haya!
Si ulisema wimbo mbaya?
Hadi umeshaukariri?
Hivi ni lini mtaacha unafiki?
Kama mbaya umeusikiliza wa nini hadi kuukariri?kwani wapi nimekuambia wimbo mzuri mama..?
madam mim uwezo wangu wa kukariri ni mkubwa mno...Kama mbaya umeusikiliza wa nini hadi kuukariri?
hahahh kiba buana, yaani bella na ufundi wake wote lakini kwa huyu jamaa kaufyata, Nifah yupo wapi shem Mdakuzi aje atuchambulie, halafu ndugu yangu Maxence Melo tunaheshimiana sana imekuwaje huu uzi umetolewa cerebrities, kuna sababu zozote?Ali Kiba hauziki. You can never compare him with DAAAANGOOTEEEE. Ni kama mbingu na nchi.
Hahahahahaa nimeshakuelewa japo unamung'unya maneno.madam mim uwezo wangu wa kukariri ni mkubwa mno...
haikuhitaji nisikilize hiyo nyimbo zaidi ya mara mbili ili niweze kukalili mistari kama hiyo...
pia nimepakariri hapo coz ndo kipande cha wimbo ambacho kilinivutia...
pia wimbo ni mzuri isipokua una mapungufu mengi..!
Haya unamueleza nani?Ali Kiba hauziki. You can never compare him with DAAAANGOOTEEEE. Ni kama mbingu na nchi.
pole ndugu...Nimesikitika sana kuona wimbo wakiba unashindishwa na tangazo la voda
Video ya Lupela imetoka lini?pole ndugu...
lakini kiukweli lile tangazo ni kali kushinda video ya LUPELA...
huu ni ukweli MCHUNGU..!