Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Kakake juzi nimefanyiwa surprise ya hii ngoma nilihisi kudata!
Bae kani-video call kisha kaniwekea hii ngoma...halafu ananiangalia tu!
Uwiiiii Lupela ni shiiidah!

Wapendwa wetu huku wamepotea baada ya mods kutuharibia uzi,kama haitoshi wameamua kuutoa celebrities na kuupeleka entertainment.
Wenye roho nyepesi wamekimbia,WAFIA KIBA tunakomaa tu maana hamna namna.
kiba miaka mia nane na nusu aisee, ananikosha sana huyu jamaa, nafikiri kesho chupa linatoka utube hatari sana hiyo, si unajua babaako alivyotoka slipway kapanda pipa now yuko kenya, biznes az ussual
 
kiba miaka mia nane na nusu aisee, ananikosha sana huyu jamaa, nafikiri kesho chupa linatoka utube hatari sana hiyo, si unajua babaako alivyotoka slipway kapanda pipa now yuko kenya, biznes az ussual
Oyooooo can't wait aisee.
Mimi nimesubscribe YouTube channel yake ila huwa wanachelewa kuniletea notifications sometimes.
Likitoka tu nishtue PM.
 
kama kipaji tu...
ali kiba kabalikiwa ndugu...
lakini apunguze kujisikia kidogo hiyo nayo itamsaidia...
huyu jamaa anajisikia sana..!
ndugu zetu wanasemaga tumjudge msanii wao kwa kazi zake maisha yake tumuachie mwenyewe, nafikiri tufanye hivyo hata kwa kiba pia, period!
 
Oyooooo can't wait aisee.
Mimi nimesubscribe YouTube channel yake ila huwa wanachelewa kuniletea notifications sometimes.
Likitoka tu nishtue PM.
hizo ni habari nimezipata chini ya kapeti, infact video imegharamiwa na WILDAID full project hivyo wao ndo wana mamlaka ya kuitoa
 
Ali Kiba hauziki. You can never compare him with DAAAANGOOTEEEE. Ni kama mbingu na nchi.
 
Kama mbaya umeusikiliza wa nini hadi kuukariri?
madam mim uwezo wangu wa kukariri ni mkubwa mno...
haikuhitaji nisikilize hiyo nyimbo zaidi ya mara mbili ili niweze kukalili mistari kama hiyo...
pia nimepakariri hapo coz ndo kipande cha wimbo ambacho kilinivutia...
pia wimbo ni mzuri isipokua una mapungufu mengi..!
 
Nimesikitika sana kuona wimbo wakiba unashindishwa na tangazo la voda
 
madam mim uwezo wangu wa kukariri ni mkubwa mno...
haikuhitaji nisikilize hiyo nyimbo zaidi ya mara mbili ili niweze kukalili mistari kama hiyo...
pia nimepakariri hapo coz ndo kipande cha wimbo ambacho kilinivutia...
pia wimbo ni mzuri isipokua una mapungufu mengi..!
Hahahahahaa nimeshakuelewa japo unamung'unya maneno.
 
Back
Top Bottom