sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Wivu uko wapi hapo? Ukweli sio wivu tulimshauri kuhusu lebo mkasema tuache wivu niambie lebo yake ipo wapi sasaWivu sio mzuri kwa wanaume!. Over
Hauna akiliWewe chawa mbobezi wa WCB toka lini ukaona Kiba yupo sawa?
Wewe watu wote kwako hua hawapo sawa ila huyo bwana wenu ndio hua unaona yupo sawa kwa kila kitu,
Umetoka kumponda Master J umemrukia Kiba.
Sasa punguani kama wewe utawezaje kumjua mtu mwenye akili? ni lazima utaona kua watu wote hawana akili kama ulivyo wewe.Hauna akili
Ndo nini hiki umeandika 🤔🤔View attachment 2910800
Sasa ndugu Ali kiba kapewa na mnene mmoja asimamie redio na kuipromoti ambayo inazinduliwa kabla ya pasaka.
Yeye kiba akaenda kuokota dulla pale east africa radio na kumpa kitengo cha creative ambacho ni roho ya radio yoyote
Hii wataalam wa mambo wanasema kufeli kabla ya kuanza sababu huyu mshikaji hana history ya kufanikisha lolote kwenye media industry.
Lakin sishangai sababu kiba alifeli pia biashara ya vinywaji kabla haijaanza so na upepo wa kufeli kabla ya kuanza.
Dulla hana uwezo wowote uleyou too red-eyes son dullah anatatizo gan sasa
Haka katoto hua kanajaza server za JF tu wala hakajua hua kanaandika nini,ili mradi tu kamfurahishe bwana yake pale usafini,Ndo nini hiki umeandika 🤔🤔
Kumbe ndo huyu dogo!! 🤔🤔, ile thread niliisoma aise, nikajua huyu dogo ni wa 2008.. Maana hajui anacho andika.Haka katoto hua kanajaza server za JF tu wala hakajua hua kanaandika nini,ili mradi tu kamfurahishe bwana yake pale usafini,
Kalikuja na uzi wa kusema S2Kizzy ni bora kuliko Master J kalipigwa spana hapa mpaka kakakimbia uzi wake.
Pamoja mkuuUpo sahihi hata wakibisha
We ni mjinga na mpumbavu,Dullah kafanya kazi kwa mafanikio makubwa na ndo aliyekuwa anaibeba planet bongo,we kitu gani umewahi kusifia nje ya kusifia wanaokukaza huko WCB? acha wivu tulia na bwana wako huko wcbView attachment 2910800
Wote tunajua Dulla planet bongo ni kijana aliyekuta planet bongo kama kipindi pendwa ikadondoka na kupotea kabisa.
Sasa ndugu Ali kiba kapewa na mnene mmoja asimamie redio na kuipromoti ambayo inazinduliwa kabla ya pasaka.
Yeye kiba akaenda kuokota dulla pale east africa radio na kumpa kitengo cha creative ambacho ni roho ya radio yoyote
Hii wataalam wa mambo wanasema kufeli kabla ya kuanza sababu huyu mshikaji hana history ya kufanikisha lolote kwenye media industry.
Lakin sishangai sababu kiba alifeli pia biashara ya vinywaji kabla haijaanza so na upepo wa kufeli kabla ya kuanza.
Punguza uchawa, acha wivu kwa wanaume wenzio ulitaka upewe wewe? We tunakujua ni chawa wa upande flani, nenda zako huko, **ako wwView attachment 2910800
Wote tunajua Dulla planet bongo ni kijana aliyekuta planet bongo kama kipindi pendwa ikadondoka na kupotea kabisa.
Sasa ndugu Ali kiba kapewa na mnene mmoja asimamie redio na kuipromoti ambayo inazinduliwa kabla ya pasaka.
Yeye kiba akaenda kuokota dulla pale east africa radio na kumpa kitengo cha creative ambacho ni roho ya radio yoyote
Hii wataalam wa mambo wanasema kufeli kabla ya kuanza sababu huyu mshikaji hana history ya kufanikisha lolote kwenye media industry.
Lakin sishangai sababu kiba alifeli pia biashara ya vinywaji kabla haijaanza so na upepo wa kufeli kabla ya kuanza.
ukitaka kumuelezea kiba au dulla waelezee dulla na kiba wa sasa sio wa wakati huo..View attachment 2910800