Ali Kiba hapa kwa Dulla umefeli kabla ujaanza

View attachment 2910800
Wote tunajua Dulla planet bongo ni kijana aliyekuta planet bongo kama kipindi pendwa ikadondoka na kupotea kabisa.

Sasa ndugu Ali kiba kapewa na mnene mmoja asimamie redio na kuipromoti ambayo inazinduliwa kabla ya pasaka.
Yeye kiba akaenda kuokota dulla pale east africa radio na kumpa kitengo cha creative ambacho ni roho ya radio yoyote
Hii wataalam wa mambo wanasema kufeli kabla ya kuanza sababu huyu mshikaji hana history ya kufanikisha lolote kwenye media industry.
Lakin sishangai sababu kiba alifeli pia biashara ya vinywaji kabla haijaanza so na upepo wa kufeli kabla ya kuanza.
kwenye media atafeli vibaya sana,maana kaingia katika kipindi ambacho ushindani ni mkubwa sana,na inataka mtaji mkubwa na ubunifu wa hali ya juu
 
Mr Nice aliiga nini kwa Diamond?
Nice kitu gani kikubwa alifanya? Je ana viwanja, hotel, appartments, radio, Je ana Record label..
Labda useme Jamaa alichakata sana mbususu na kula bata...zaidi ya hapo hakuna
Diamond Is A Game Changer, hajafanya vitu kimazoea alichungulia fursa na kuiona future yake..Mziki huja na kuisha.
Wasanii wangapi walishashika hela sana In their ERA leo hii hawana hata kitu..

Nb; kongole kwa Diamond he changed the Game.
 
Diamond ni role model wa wasanii wote hapa bongo.

Kuanzia life style yake, namna anavyojibrand nk.

Hata masuala ya digital platforms yeye ndiye aliyewasanua wenzake ambao huko mwanzoni walikuwa wanategemea show ili wasurvive na labda kwa mbali mauzo ya albamu zao ambapo napo wanapigwa panga na wasambazaji.

Hata kutembea na ulinzi siku hizi imekuwa fashion lakini wameiga kutoka kwa Diamond Platnumz.
duu
 
Shida ya wasanii wengi wa bongo hawana wanachokiweza.

Kila jambo analolifanya Diamond na wao hupenda kuiga.

Siku Diamond atakapoacha muziki ndipo muziki wa Tanzania utakufa rasmi maana wasanii tulionao hawana wanachokijua mpaka Diamond afikirie kwa niaba yao.
Mkuu mziki ni kama siasa, ni way of life. Kufa si rahisi / haiwezekani kabisa, kwahiyo acha kutumia pombe za kienyeji kwenye kufikiri.
 
Angeenda tofauti kabisa na waliomtangulia, angechukua watangazaji wapya kabisa wasiojulikana, soko lingeitika kwa shauku sana ili kujua yaliyomo yamo? Ila kuanza na watu ambao ladha zao zinafahamika matokeo yatakuwa sivyo anavyotarajia.
 
Uko sahihi
Na huyo dulla sio creative,yeye ni ana sauti tu,ni wa kuandaliwa vipindi ,atangaze na kulipwa,then arudi geto kwake akaendelee kumzalisha mkewe
Pale ubunifu zero🤣🤣ilmu ya madrasaah na ubunifu Wapi na Wapi?
 
View attachment 2910800
Wote tunajua Dulla planet bongo ni kijana aliyekuta planet bongo kama kipindi pendwa ikadondoka na kupotea kabisa.

Sasa ndugu Ali kiba kapewa na mnene mmoja asimamie redio na kuipromoti ambayo inazinduliwa kabla ya pasaka.
Yeye kiba akaenda kuokota dulla pale east africa radio na kumpa kitengo cha creative ambacho ni roho ya radio yoyote
Hii wataalam wa mambo wanasema kufeli kabla ya kuanza sababu huyu mshikaji hana history ya kufanikisha lolote kwenye media industry.
Lakin sishangai sababu kiba alifeli pia biashara ya vinywaji kabla haijaanza so na upepo wa kufeli kabla ya kuanza.

Leo ndo nimeelewa hii post[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wanaume wa dar ndo mana wengi mashoga... minding very minor issues!!!...
 
Back
Top Bottom