WaTanzania kitu hawapendi kusikia ni ukweli, yaani ukweli unawauma sana kiasi kwamba wanasahau hata kujibu kwa facts wanaishia kutukana.
Wasanii wa bongo 99% katika usimamizi wa biashara ni TAKATAKA, wachache sana waliofanikiwa hapa nao hawafiki hata 3 Tanzania nzima.
Huwa nashangaa watu wanavyotukana pindi alikiba na wasanii wengine failure wanapoambiwa ukweli, kiufupi kumtumia msanii ambaye issue zake mwenyewe zimemshinda kuzipush huo ni ujinga na kuharibu biashara.
Ni vile tu maisha ya Tz yanaenda kwa kiki na skendo chafu ndioamaana madili mengi hupewa watu wapuuzi na wasio na uwezo wowote zaidi ya kuibua kiki ambazo hao wafanyabiashara huzitumia kusukuma kazi zao, lkn nje na hapa ni kuharibu mambo.
Akina alikiba,harmonize,rayvan sijui mwijaku na takataka zingine hawa kazi za kupromote na kupush madeal wangeachana nazo maana mambo yao wao wenyewe yamewashinda, je wataweza kusukuma issue za wengine?
Tanzania tuna mchezo sana na hatupo siriazi ktk mambo ya msingi ndiomaana hatujali mambo ya maana tunawaachia wajinga wayaendeshe,
Diamond ataendelea kuitwa Freemason na mchawi ama kuchukiwa maana ndie msanii pekee Tanzania na East afrika mwenye nidhamu ya kazi, bidii, kujituma na management bora ktk kazi zake ndiomaana zinafanikiwa, hawa wengine wabaki tu kuimba, biashara na usimamizi umewashinda, maybe tusubiri vizazi vijavyo tutapata wasanii wenye akili timamu, kwa sasa bado sana.