Robidinyo
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 4,043
- 8,686
Unaongea ujinga tu, Salam sk ana ujanja gani? Ana fan base gani?Mimi naona kama hizi mambo za kuigana igana hazijakaa sawa kuvile
Imekua ni kama vile ili msanii aonekane anamafanikio ni lazima afanye hustle the same anavyo fanya Domo
Kuna biashara ni pasua kichwa kweli kweli moja wapo ni ya Radio na Tv
Salama Sk na ujanja wake wote Mjini Fm imemshinda
Sasa hivi radio zimekua nyingi mmno, timing ya wasafi ilipata bahati kulikua na radio za kiushindani chache angalau kama Clauds, eFm na EA radio
Sasa hivi kuna radio nyingi mmno zinatoa ushindani mkubwa na zina coverage kubwa
Hadi radio ije kuanza kulipa inachukua muda sana
Msanii unaweza kujikuta kila senti unayopata unaitumbukiza kwenye radio
Sijui hatuna washauri wazuri wa uwekezaji?
Ali Kiba ni bonge moja la Brand
Watu wasifanye biashara waogope ngombe wanaopiga kelele eti kuigana, hizo biashara za peke yake zifanyeni nyie mtuboe, acheni chuki na wivu