Jackson996
JF-Expert Member
- Oct 5, 2019
- 773
- 1,355
Mkuu samahani naomba kuuliza eti una umri gani?Shida ya wasanii wengi wa bongo hawana wanachokiweza.
Kila jambo analolifanya Diamond na wao hupenda kuiga.
Siku Diamond atakapoacha muziki ndipo muziki wa Tanzania utakufa rasmi maana wasanii tulionao hawana wanachokijua mpaka Diamond afikirie kwa niaba yao.
Who is diamond kwamba aki dead na mziki wa bongo una dead?Shida ya wasanii wengi wa bongo hawana wanachokiweza.
Kila jambo analolifanya Diamond na wao hupenda kuiga.
Siku Diamond atakapoacha muziki ndipo muziki wa Tanzania utakufa rasmi maana wasanii tulionao hawana wanachokijua mpaka Diamond afikirie kwa niaba yao.
Mwanangu ww ni Papuchi kinyama aisee, unataka kutuaminisha kuwa new idea zote kwenye mziki wa Tz zinaletwa na Di? Acha kukariri maisha, ngeke ww. Zaidi ya umaarufu hakuna anachokiongeza kwenye alama ya mziki wa Tz.Shida ya wasanii wengi wa bongo hawana wanachokiweza.
Kila jambo analolifanya Diamond na wao hupenda kuiga.
Siku Diamond atakapoacha muziki ndipo muziki wa Tanzania utakufa rasmi maana wasanii tulionao hawana wanachokijua mpaka Diamond afikirie kwa niaba yao.
Niambie mwanamuziki gani grade A au wale grade B na hata baadhi ya grade C ambao wamefanya kitu kikubwa ambacho hawajaiga kutoka kwa Diamond.Mwanangu ww ni Papuchi kinyama aisee, unataka kutuaminisha kuwa new idea zote kwenye mziki wa Tz zinaletwa na Di? Acha kukariri maisha, ngeke ww. Zaidi ya umaarufu hakuna anachokiongeza kwenye alama ya mziki wa Tz.
Kama kweli Di anajua mziki, mwambie atengeneze mziki wenye culture ya kitanzania then wanigeria, SA waige mziki wetu kama yeye anavyoiga wakwao.
Mr Nice aliiga nini kwa Diamond?Niambie mwanamuziki gani grade A au wale grade B na hata baadhi ya grade C ambao wamefanya kitu kikubwa ambacho hawajaiga kutoka kwa Diamond.
Wewe kweli mpumbavuMr Nice aliiga nini kwa Diamond?
Huyu anaeiga kwa wanaigeria? Hii bongo fleva Diamond kaikuta na hajaleta idea mpya ya huu mziki zaidi ya kucopy mziki wa watu,Niambie mwanamuziki gani grade A au wale grade B na hata baadhi ya grade C ambao wamefanya kitu kikubwa ambacho hawajaiga kutoka kwa Diamond.
Diamond ni role model wa wasanii wote hapa bongo.Huyu anaeiga kwa wanaigeria? Hii bongo fleva Diamond kaikuta na hajaleta idea mpya ya huu mziki zaidi ya kucopy mziki wa watu,
Narudia hakuna kitu kipya alichokileta diamond kwenye huu mziki
Ambae nae aliiga kwa wasanii wa njeHata kutembea na ulinzi siku hizi imekuwa fashion lakini wameiga kutoka kwa Diamond Platnumz.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We ni mjinga na mpumbavu,Dullah kafanya kazi kwa mafanikio makubwa na ndo aliyekuwa anaibeba planet bongo,we kitu gani umewahi kusifia nje ya kusifia wanaokukaza huko WCB? acha wivu tulia na bwana wako huko wcb
Sent using Jamii Forums mobile app
Diamond anaanzisha wengine wanafata.Mimi naona kama hizi mambo za kuigana igana hazijakaa sawa kuvile
Imekua ni kama vile ili msanii aonekane anamafanikio ni lazima afanye hustle the same anavyo fanya Domo
Kuna biashara ni pasua kichwa kweli kweli moja wapo ni ya Radio na Tv
Salama Sk na ujanja wake wote Mjini Fm imemshinda
Sasa hivi radio zimekua nyingi mmno, timing ya wasafi ilipata bahati kulikua na radio za kiushindani chache angalau kama Clauds, eFm na EA radio
Sasa hivi kuna radio nyingi mmno zinatoa ushindani mkubwa na zina coverage kubwa
Hadi radio ije kuanza kulipa inachukua muda sana
Msanii unaweza kujikuta kila senti unayopata unaitumbukiza kwenye radio
Sijui hatuna washauri wazuri wa uwekezaji?
Ali Kiba ni bonge moja la Brand