Maisha yake na anajua nini anafanya.
Sio lazma amfollow mtu.
Amefanya kile alichoona ni best kwake. Ana uhuru wa kufanya chochote.
Kiba gooo usiangalie wanachosema binadamu hatuishiwagi ya kusema hata angefollow watu bado tungeanza kuangalia mbona hajamfollow fulani na fulani.
Kumridhisha mwanadamu ni kazi sana na hatakaa aridhike.
Hapa ndipo akili zako zinapokosa akili . Haya si mahaba wala ushabiki, ni ujinga. Na usifikiri waonekana mjanja au una mahaba ya kufa!? Hapana. Unaonekana kituko mbele ya waerevu.
UKUE NA UKOMAE, MLIOKOSA MFUMO RASMI WA TAALUMA. TUMIENI FURSA YA KUWEPO HAPA JF KUJITAMBUA.

hapa ndipo akili zako zinapokosa akili . Haya si mahaba wala ushabiki, ni ujinga. Na usifikiri waonekana mjanja au una mahaba ya kufa!? Hapana. Unaonekana kituko mbele ya waerevu.
Ukue na ukomae, mliokosa mfumo rasmi wa taaluma. Tumieni fursa ya kuwepo hapa jf kujitambua.
Hahaa nimependa hii
→ MLIOKOSA MFUMO RASMI WA TAALUMA. TUMIENI FURSA YA KUWEPO HAPA JF KUJITAMBUA.
Some people are alive because its illegal to kill them. Mpeni Uhuru kijana wawatu aishi life stail amabalo anastahili. Tunafail tunapotaka kuwa na msaani as per our perception,.. Humkubali pita kuleeeeee. Nasio kujitia unajua kupangilia life LA watu..
tatizo anatutia aibu na mambo yake ya ki local, hata mtu toka nje anakuja sikia huyu kibakuli anafananishwa na president atatushangaa, ajitahidi hata afuate nyayo za mwenzake
Hakuna hata msanii mmoja wa Afrika anayefanya upuuzi huo, ukitolea mfano marekani beyonce, lil wyne, justine timberlk unakuwa ukiazi, coz tupo tofauti sana wenzetu unaweza mkakaa nyumba zinafuatana lakini hamfahamiani wala kupeana hi wna tabia ya kutojali vitu kama hivi, tofauti kabisa na sisi..
Some people are alive because its illegal to kill them. Mpeni Uhuru kijana wawatu aishi life stail amabalo anastahili. Tunafail tunapotaka kuwa na msaani as per our perception,.. Humkubali pita kuleeeeee. Nasio kujitia unajua kupangilia life LA watu..
Mbona ana Followers wachache
JF namo wajinga ni wengi, yaani mtu kisa hamfollow mtu yeyote inamaana ndo kakuona wewe ni mpumbavu ! eti kisa ye ni star
Kwani Lil wayne na huyo kiba nani ni star ?
na lil wayne kafungua account na hajamfollow yeyote yule kwasabu kaamua.
Mastar kibao tu hawafanyi hivi, kina kanye west hawafollow mtu twetter.
embu kaa pembeni,shwaini wee
ya watu yanakuwasha sanaaaa,
WE UMEJITAMBUA, AU UMEKURUPUKA TUU NA KUANZA 😛uke:😛uke:😛uke:😛uke:
Huyu Alikiba bado mchanga kumtetea kwa hiyo mifano ya hao wamarekani tena nyodo zao zinakuja kwa kuwa wamesha fanikiwa...!
Alikiba ana uhuru wake lakini majibu aliyo yatoa ni ya kitoto kabisa na haya hold water....!
Hebu jiulize kwa nini wasanii huwa follow watu? Connections hupatikana kwa vitu kama hivi ambavyo Alikiba ana viona ni vidogo!
Kuna mtu humu amenichekesha sana aliye sema kuwa majibu ya Alikiba ni kama ya profesa wa oxford ..Teh Teh...majibu yake ni ya kijinga sana!
Unatakiwa kujua si kila kinacho fanywa na wazungu ni sahihi na si lazima kifatwe ndio maana vichwa tulopewa wote na uwezo wa kufikiri tulipewa wote hakuna aliye nyimwa!
Wazungu wana ujinga mwingi na ndio hawa majuzi walio wapa waafrika tunzo back stage na ndio hawa wamarekani walio halalisha ndoa za jinsi moja halafu bado unafikiri huwa wana vichwa sawa au huwa wana utu kweli?
Naomba ulete mifano ya wasanii watatu wa africa sio hao wavuta unga...!
Katika kitu ambacho ambacho watu wengi hawajui kuhusu Alikiba ni kibri alicho nacho cha hali ya juu....na ili nimeligundua kwenye interview zake nyingi!
Alikiba hajafika kwenye daraja la kuto follow mtu hata mmoja halafu anakuja kwa utetezi kama huu..bora angesema wazi sitaki!
Huyu Alikiba kuna mambo anatakiwa asemwe wazi wazi sio kutetewa tuu hata kwa ujinga..