Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,496
Maisha yake na anajua nini anafanya.
Sio lazma amfollow mtu.
Amefanya kile alichoona ni best kwake. Ana uhuru wa kufanya chochote.
Kiba gooo usiangalie wanachosema binadamu hatuishiwagi ya kusema hata angefollow watu bado tungeanza kuangalia mbona hajamfollow fulani na fulani.
Kumridhisha mwanadamu ni kazi sana na hatakaa aridhike.
Nyie ndo mnampoteza huyu dogo. Na nyie ndo hamjui maana na umuhimu wa social networks. Hujui social networks zina impact gani kwa watu kuanzia maisha yao binafsi hadi impression unayoitengeneza kwenye jamii yako.
Unahitaji kujifunza nini maana ya social networks na zina kazi gani...