Ali Kiba na Jackline Mengi wateuliwa kuwa mabalozi wa tembo

Pongezi for what, ina maana gani ktk career yake. Em kuweni na akili..

King of the jungle na music wapi na wapi?

My lord. Amkeni watoto.

Wee, shika adabu zakooo! Mimi sio
Mtoto.
Muda wa kuamka kesho asubuhi.
Ubalozi ni heshima!
Huwezi kuona hilo mahaba ya mondi yamekujaa.
 
Analipwa sh ngapi?
Tusubiri colabo akimshirikisha jack chan😆
 


heheeeeee yaan unaniuaaa mchizi wangu ,basi Leo watatombokaaaa haoo
 
Watu tulikuwa standby kusubiri hiyo suprise!kumbe ni kiba kuwa balozi wa wanyama?na yenyewe ni suprise sasa ya kushangaza watu??

Kweli mmeishiwa sera na mashiko!!hilo nalo ni ajabu kweli clouds?

hhhaaahhhaaa ...tushawazoea nyie viwavi jeshi.....
hata kwetu mpoook
pole weeee kipele
kuota kwa asiye na kucha....

utajijuuuui...!#
 
We kweli vidudu mtoni huvijui. .tembelea website za fashion italy uone hizo suruali zinagongwa na wakali gani. .umekaririshwa majeans mchaniko na jogger trousers za wacheza show


basi na huku wachunga ng'ombe kumbe nao wapo kwenye fashion sikujuaa
 
Kiba goo goooooo usiangalie wanonkhoo

uwe unaniita baasss.....

wanoko wapo toka enzi za manabiii...!!

dawa yao tu put them in their places and give them black and white....

kuna watu wapo kupondaaaaa... tu sijui wamezaliwa wapiii

chochote akifanyacho mtu mradi hampendi bas ht kizuri kitakua nnyaaaa


mbadilike nyie mbwigaaaa....!!!#
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…