Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pongezi for what, ina maana gani ktk career yake. Em kuweni na akili..
King of the jungle na music wapi na wapi?
My lord. Amkeni watoto.
Ivi apa king alikuwa anaongea nini vilee
Ivi apa king alikuwa anaongea nini vilee
Yaani Ali Kibaka kukaa na mzungu ndo mnashoboka hivo?
Wasanii wengi ni mabalozi katika miradi mbalimbali,diamond ni ambassador katika miradi mingi sana,sema tu sisi hatunaga matangazo
Kwa wenzetu hili ni jambo kubwa sana kwao team kiba kwa sababu walikuwa kwenye Comar ndio maana unaona wanashangilia sana.
Usitegemee mabadiliko yeyote ya kiuchumi kwa king(without palace,means nothing)
Kawaida sana.
Ivi apa king alikuwa anaongea nini vilee
Watu tulikuwa standby kusubiri hiyo suprise!kumbe ni kiba kuwa balozi wa wanyama?na yenyewe ni suprise sasa ya kushangaza watu??
Kweli mmeishiwa sera na mashiko!!hilo nalo ni ajabu kweli clouds?
Nashindwa kuelewa kiba balozi du hivi wametumia vigezo gani kuchagua hao mabalozi mshahara je
alikua anamshangaa jack Chan huon alivyoachama
Kuna shekhe kachuchumaaa utadhani anakula ubwabwa kwenye hitima
suruali aliyovaa ,huku wanachungia ng'ombe,yaan king habadilikii
We kweli vidudu mtoni huvijui. .tembelea website za fashion italy uone hizo suruali zinagongwa na wakali gani. .umekaririshwa majeans mchaniko na jogger trousers za wacheza show
Heheheeeee kiba anakupa presha shost loooh
Kiba goo goooooo usiangalie wanonkhoo
Nashindwa kuelewa kiba balozi du hivi wametumia vigezo gani kuchagua hao mabalozi mshahara je
Hakuna mshahara zaidi ya kupiga mihayo tu njaa kali.
kuuza sura Tu na kupiga picha basiio