Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Huwa anajiona keki sana yaniHuyu kaka ananata sana na namchukia kwa sababu hiyo...naimagine angekuwa ana mafanikio atleast kama aliyonayo Dai sijui ingekuwaje...Halafu halijui hata kujieleza kwenye interview,huwa linaongea kama jitu lisilokuwa na hekima hata kidogo...damn (God forgive me)
tena ndo anayo zaidi au kisa anafichwa na media hata akila mboga mapicha yanini ISHI UTAKAVYODai naye ana mapungufu yake kibao tu,pa kusemwa ukweli inabidi pasemwe
UNAYAJUA MAFANIKIA YAKE? unajua anaishi wapi huyo D usiamini kila asemacho mtu KIBA SIO MTU WA MEDIA kama huyo Duamond wenuHuwa anajiona keki sana yani
Angefikia robo ya mafanikio ya diamond inaonekana hata mate angekuwa anawatemea
Sasa unachokataa ni nini?Bora ya kiba kuliko huyo dia wako anaetangaza ananyumba kumi na alinunua mtaa wa wema kumbe ndio kwanza anajenga ya pili na video kibao toka ananua kiwanja nani anaeringa hapo na kwakuongeza sifuri hajambo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yaan upo km mm,nalichukia lina mapozi ya kijinga sana. Linanata sana lijinga hili.
Sasa unataka kusema kibakuli kina hela kuliko Diamond platnumz??UNAYAJUA MAFANIKIA YAKE? unajua anaishi wapi huyo D usiamini kila asemacho mtu KIBA SIO MTU WA MEDIA kama huyo Duamond wenu
hujui unachokisema wewe ndio maana nikasema mnaishi kwa mediaSasa unataka kusema kibakuli kina hela kuliko Diamond platnumz??
Usirudie tena mbele za watu watakucheka
Si lazima wote wafikie hata robo ya mafanikio ya Naseeb wengine walipofika panawatosha na wanaona wamefika na kuanza kujisifu.Huwa anajiona keki sana yani
Angefikia robo ya mafanikio ya diamond inaonekana hata mate angekuwa anawatemea
Unadhani na yeye anakupenda? Au anakujua? Aliewapa watanzania Umaskini, anapaswa kutubu.Huyu kaka ananata sana na namchukia kwa sababu hiyo...naimagine angekuwa ana mafanikio atleast kama aliyonayo Dai sijui ingekuwaje...Halafu halijui hata kujieleza kwenye interview,huwa linaongea kama jitu lisilokuwa na hekima hata kidogo...damn (God forgive me)
Pole sana hizo ni stress zako binafsi ila tu nikupe pole kwa kumfatilia mtu ambae tayari yeye hana muda na wewe na kuhusu kunata hata wewe unanata na wapo wengi tu pia hawapendi unavyonata.Huyu kaka ananata sana na namchukia kwa sababu hiyo...naimagine angekuwa ana mafanikio atleast kama aliyonayo Dai sijui ingekuwaje...Halafu halijui hata kujieleza kwenye interview,huwa linaongea kama jitu lisilokuwa na hekima hata kidogo...damn (God forgive me)
Mtu unaanzaje kumchukia mtu asiyekujua.........Huyu kaka ananata sana na namchukia kwa sababu hiyo...naimagine angekuwa ana mafanikio atleast kama aliyonayo Dai sijui ingekuwaje...Halafu halijui hata kujieleza kwenye interview,huwa linaongea kama jitu lisilokuwa na hekima hata kidogo...damn (God forgive me)
Sasa unachokataa ni nini?
Unajua diamond ana hela kiasi gani?
Unajua ana miradi mingapi mbali na muziki??
Kama kitu hujui bora ukae kimya utaonekana wa maana kuliko kuropoka usiyoyajua
We unaishi kwa nini?hujui unachokisema wewe ndio maana nikasema mnaishi kwa media
We unahisi yeye anakupenda?Huyu kaka ananata sana na namchukia kwa sababu hiyo...naimagine angekuwa ana mafanikio atleast kama aliyonayo Dai sijui ingekuwaje...Halafu halijui hata kujieleza kwenye interview,huwa linaongea kama jitu lisilokuwa na hekima hata kidogo...damn (God forgive me)
Kwani dai ana mafanikio gani?Huyu kaka ananata sana na namchukia kwa sababu hiyo...naimagine angekuwa ana mafanikio atleast kama aliyonayo Dai sijui ingekuwaje...Halafu halijui hata kujieleza kwenye interview,huwa linaongea kama jitu lisilokuwa na hekima hata kidogo...damn (God forgive me)