Ali Kiba: Sihangaiki kujifunza kiingereza, hakina ishu

Huyu kaka ananata sana na namchukia kwa sababu hiyo...naimagine angekuwa ana mafanikio atleast kama aliyonayo Dai sijui ingekuwaje...Halafu halijui hata kujieleza kwenye interview,huwa linaongea kama jitu lisilokuwa na hekima hata kidogo...damn (God forgive me)
Huwa anajiona keki sana yani

Angefikia robo ya mafanikio ya diamond inaonekana hata mate angekuwa anawatemea
 
Bora ya kiba kuliko huyo dia wako anaetangaza ananyumba kumi na alinunua mtaa wa wema kumbe ndio kwanza anajenga ya pili na video kibao toka ananua kiwanja nani anaeringa hapo na kwakuongeza sifuri hajambo
Sasa unachokataa ni nini?

Unajua diamond ana hela kiasi gani?

Unajua ana miradi mingapi mbali na muziki??

Kama kitu hujui bora ukae kimya utaonekana wa maana kuliko kuropoka usiyoyajua
 
Vitu vingine ni bora tu kukaa kimya kusema maneno hayo kunamaanisha kuna kitu kinamsumbua(kujishtukia na kutokujiamini).Pia sio lazima kujua lugha Kiingereza ila hiyo ndio lugha ya kimataifa,linafahamika hilo halafu kama anaimba kwa lugha ya Kiswahili na ametoboa sasa kwenye ile nyimbo yake ya Aje ametumia lugha ya Kifaransa na washabiki wake wengi sio wote) hawajui(nina uhakika na hili) amemaanisha nini katika kipande kile.
 
Hapo ndio ambapo huwa naona kama kiba anakosea kuridhika!
Sio mbaya ukajifunza kwani kama unataka kuwa international artist hiyo lugha haikwepweki!
Ndio anaweza fika huko kwa kiswahili chake ila ukijifunza kingereza utarahisisha mambo mengi sana!

Hivi hafikirii hata meneja wake seven angekuwa hajui lugha kabisa ingekuwaje huko kwenye kumuunganishia macollabo?

Kama ile juzi alikuwa kama anapanic sana kwenye maswali na waandishi sijui kwanini!

Jifunze lugha bhana, utafanikiwa zaidi ya hapo ulipo mkuu.......acha kuridhika mapema
 
Huwa anajiona keki sana yani

Angefikia robo ya mafanikio ya diamond inaonekana hata mate angekuwa anawatemea
Si lazima wote wafikie hata robo ya mafanikio ya Naseeb wengine walipofika panawatosha na wanaona wamefika na kuanza kujisifu.
Huoni wa la kwanza hujivuna , wa la saba hujivuna, kidato cha nne cha sita ,cheti, stashahada, shahada ya kwanza, uzamili na udhamivu pia hujisifu na kujiona wanastahili walichopata hawaangalii kama kuna wa zaidi yao wanachojali walichonacho.
Mwenye baiskeli hujivuna nayo, mwenye pikipiki mwenye gari na mwenye ndege pia.
Aliyepanga na mwenye nyumba wote wana muda hufurahia walivyonavyo.
Hata bwana Naseeb alikisifia alipokuwa hatua ya chini na kukejeli wengine kama Ally afanyavyo.
Ni hulka tuu, mwache afanye akionacho chamfaa atimize furaha yake.
Maisha mafupi sana haya, alichokipata hadi sasa ni zao la kazi yake hata kama angeongeza juhudi angekuwa juu zaidi.
 
Huyu kaka ananata sana na namchukia kwa sababu hiyo...naimagine angekuwa ana mafanikio atleast kama aliyonayo Dai sijui ingekuwaje...Halafu halijui hata kujieleza kwenye interview,huwa linaongea kama jitu lisilokuwa na hekima hata kidogo...damn (God forgive me)
Unadhani na yeye anakupenda? Au anakujua? Aliewapa watanzania Umaskini, anapaswa kutubu.
 
  • Thanks
Reactions: ram
Huyu kaka ananata sana na namchukia kwa sababu hiyo...naimagine angekuwa ana mafanikio atleast kama aliyonayo Dai sijui ingekuwaje...Halafu halijui hata kujieleza kwenye interview,huwa linaongea kama jitu lisilokuwa na hekima hata kidogo...damn (God forgive me)
Pole sana hizo ni stress zako binafsi ila tu nikupe pole kwa kumfatilia mtu ambae tayari yeye hana muda na wewe na kuhusu kunata hata wewe unanata na wapo wengi tu pia hawapendi unavyonata.
 
Mwenye kale kavideo anamwaga ngeli please hebu kapandishe hapa tafadhali tupate burudani
 
Huyu kaka ananata sana na namchukia kwa sababu hiyo...naimagine angekuwa ana mafanikio atleast kama aliyonayo Dai sijui ingekuwaje...Halafu halijui hata kujieleza kwenye interview,huwa linaongea kama jitu lisilokuwa na hekima hata kidogo...damn (God forgive me)
Mtu unaanzaje kumchukia mtu asiyekujua.........
 
  • Thanks
Reactions: ram
Sasa unachokataa ni nini?

Unajua diamond ana hela kiasi gani?

Unajua ana miradi mingapi mbali na muziki??

Kama kitu hujui bora ukae kimya utaonekana wa maana kuliko kuropoka usiyoyajua

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wenye pesa hawajutangazi hutangazwa funga domo lako hilo fyuuu
 
hujui unachokisema wewe ndio maana nikasema mnaishi kwa media
We unaishi kwa nini?

Una uhakika gani kama diamond namuona kwenye media??

Unaweza kuthibitisha??

Kuwa mpole kijana vitu usivyovijua uwe unakaa kimya uwe unajuzwa
 
Huyu kaka ananata sana na namchukia kwa sababu hiyo...naimagine angekuwa ana mafanikio atleast kama aliyonayo Dai sijui ingekuwaje...Halafu halijui hata kujieleza kwenye interview,huwa linaongea kama jitu lisilokuwa na hekima hata kidogo...damn (God forgive me)
We unahisi yeye anakupenda?
 
Huyu kaka ananata sana na namchukia kwa sababu hiyo...naimagine angekuwa ana mafanikio atleast kama aliyonayo Dai sijui ingekuwaje...Halafu halijui hata kujieleza kwenye interview,huwa linaongea kama jitu lisilokuwa na hekima hata kidogo...damn (God forgive me)
Kwani dai ana mafanikio gani?
 
Back
Top Bottom