Ali Kiba vs Diamond Platnumz usiku wa leo Mombasa

Ebu toa UPUPU wako hapa..!!!
 
Mmh ww una team.!
 
Mondi kapewa 5m sawa na 100m ya kibongo ila anagawana na fela. Tare. Salam. Zari. Dancers. Waganga wakati kiba peke yake maana kidoti billionaire ktk tsh
Kwa akili yako ndogo unahisi kiba yy hana management tena Sony unawajua ww apo kala kama m10 iv
 
Mi nadhani umemaliza
 
Na kesho watapost "WASANII MAARUFU KUTOKA KENYA WAKITUMBUIZA" warushe duniani kote[emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Milioni 90+ Tsh unaita hela ya chai...mkuu kwemye akaunt yako kuna kias gan mkuu, hio "hela ya chai" labda ufanye kaz serikalin miaka kibao upate mafao yako ya uzeeni, lakin kuna mtu anapata ndan ya masaa tu hahahah

am sure hata 2m huyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…