Iceman 3D
JF-Expert Member
- Sep 3, 2016
- 20,611
- 67,094
Nilisha set kwenye notifications ila nakuta holaSetting kuna maelezo ya kila kitu kuhusu notfication
Inakera kweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilisha set kwenye notifications ila nakuta holaSetting kuna maelezo ya kila kitu kuhusu notfication
Ebu toa UPUPU wako hapa..!!!To be honest, Ali Kiba killed the show compared to Diamond Platnumz. Ask anybody mwenye alikuwa kwa show ambaye hana team atakwambia the same. Ali Kiba alijua kuiteka crowd na alikuwa composed.
NOTE: I dont have a team, I like and respect both of them.
Duh!povuuEbu toa UPUPU wako hapa..!!!
[emoji26] [emoji2] [emoji3] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sasa mwanamuziki unajiita Kaa La Moto, unategemea ulipwe bei gani?
Mmh ww una team.!Show ilianza mapema mwendo wa saa mbili usiku. Kila kitu kilikuwa shwari kabisa. Umati wa watu ulijaa Mama Ngina Drive. Wasanii wa Mombasa walianza kutumbuiza mmoja baada ya mmoja kabla fahali wawili kukutana.
Walipomaliza wasanii wa Mombasa, alianza kupanda Diamond platnumz na watu walishangilia kwa mbwembwe kumpa heshima yake. Diamond alitumbuiza kwa mwendo wa Playback. Alianza na nyimbo za zamani kuanzia Kamwambie, Mbagala hadi Kidogo.
Umati ulishangilia kwa kila alichokifanya Diamond ila mashabiki walimchoka kufikia katikati ya show nafkiri simply because of the playback. Hakuwa na jipya zaidi ya kufuatilia nyimbo zake directly from the CD na kucheza kwa nguvu huku ikiAffect sauti yake. Nafkiri hili liliwachokesha mashabiki but niseme tu he did his thing.
Alipomaliza Diamond alipanda Ali Kiba na umati wote ulishangilia kwa nguvu na kumsifu kwa kila aina. Alipopiga slogan yake ya "Yo" hapo ndio nilijua kweli Ali Kiba anapendwa sana. Watu walimshangilia kupitiliza. Kweli hakukosea alipoimba kuwa
Ali Ni Kipenzi Cha Watu.
Ali Kiba alitumbuiza kwa mwendo wa live kabisa. Yani ni CD but ina instrumentals za Live Band za nyimbo zake so aliPerform Live kabisa. Sauti yake iliskika clear kabisa na alishirikisha mashabiki katika show kwa kuwauliza wanataka ngoma gani awaimbie.
Hili liliwafurahisha sana mashabiki na alitumbuiza mpaka mwisho na umati uliburudika kwa kila wimbo alioimba.
NAOMBA NISEME: Mimi sina team yoyote. Napenda mziki, na naSupport kila msanii na naheshimu bidii ya kila msanii. Ila haya ndio niliyoshuhudia usiku wa jana. ASANTENI.
Kwa akili yako ndogo unahisi kiba yy hana management tena Sony unawajua ww apo kala kama m10 ivMondi kapewa 5m sawa na 100m ya kibongo ila anagawana na fela. Tare. Salam. Zari. Dancers. Waganga wakati kiba peke yake maana kidoti billionaire ktk tsh
Mi nadhani umemalizaShow ilianza mapema mwendo wa saa mbili usiku. Kila kitu kilikuwa shwari kabisa. Umati wa watu ulijaa Mama Ngina Drive. Wasanii wa Mombasa walianza kutumbuiza mmoja baada ya mmoja kabla fahali wawili kukutana.
Walipomaliza wasanii wa Mombasa, alianza kupanda Diamond platnumz na watu walishangilia kwa mbwembwe kumpa heshima yake. Diamond alitumbuiza kwa mwendo wa Playback. Alianza na nyimbo za zamani kuanzia Kamwambie, Mbagala hadi Kidogo.
Umati ulishangilia kwa kila alichokifanya Diamond ila mashabiki walimchoka kufikia katikati ya show nafkiri simply because of the playback. Hakuwa na jipya zaidi ya kufuatilia nyimbo zake directly from the CD na kucheza kwa nguvu huku ikiAffect sauti yake. Nafkiri hili liliwachokesha mashabiki but niseme tu he did his thing.
Alipomaliza Diamond alipanda Ali Kiba na umati wote ulishangilia kwa nguvu na kumsifu kwa kila aina. Alipopiga slogan yake ya "Yo" hapo ndio nilijua kweli Ali Kiba anapendwa sana. Watu walimshangilia kupitiliza. Kweli hakukosea alipoimba kuwa
Ali Ni Kipenzi Cha Watu.
Ali Kiba alitumbuiza kwa mwendo wa live kabisa. Yani ni CD but ina instrumentals za Live Band za nyimbo zake so aliPerform Live kabisa. Sauti yake iliskika clear kabisa na alishirikisha mashabiki katika show kwa kuwauliza wanataka ngoma gani awaimbie.
Hili liliwafurahisha sana mashabiki na alitumbuiza mpaka mwisho na umati uliburudika kwa kila wimbo alioimba.
NAOMBA NISEME: Mimi sina team yoyote. Napenda mziki, na naSupport kila msanii na naheshimu bidii ya kila msanii. Ila haya ndio niliyoshuhudia usiku wa jana. ASANTENI.
Basi hapo ulivyofurahi...Mi nadhani umemaliza
Isiwe vita, hii ni sehemu ya burudani, tabia ya madongo nilishaiacha kitamboBasi hapo ulivyofurahi...
Nahisi hadi nywele zimekusimama..!!!
Milioni 90+ Tsh unaita hela ya chai...mkuu kwemye akaunt yako kuna kias gan mkuu, hio "hela ya chai" labda ufanye kaz serikalin miaka kibao upate mafao yako ya uzeeni, lakin kuna mtu anapata ndan ya masaa tu hahahah
Madame naomba nikuchumkwakweli Nasib ana team ya watu 20 mil 5, aly k team watu 10 mil 3 anayejua mahesabu atajua kiba kapiga bingo zaidi
am sure hata 2m huyo
Naona Ali Kiba ameshakurushia pesa ya VOCHA..!kwakweli Nasib ana team ya watu 20 mil 5, aly k team watu 10 mil 3 anayejua mahesabu atajua kiba kapiga bingo zaidi
King ni habar nyingineDiamond ameumia kwa king kiba
Kama watafanya live show hari itakuwa mbaya kwa anae tegemea migongo ya wanaija huyo mwingine kasuku huwa hakosei
Mi mwenye nampenda mondi kuliko Kiba ila hapo mahesabu hata hayadanganyi, Kiba ndo kapata nyingi au wamepata wote sawa.kwakweli Nasib ana team ya watu 20 mil 5, aly k team watu 10 mil 3 anayejua mahesabu atajua kiba kapiga bingo zaidi