Alianza mwendo vizuri, ila sasa kaanza kukengeuka kama mtangulizi wake

Nepotism huwezi kuikwepa duniani pote. Damu ni nzito kuliko maji.

Ukitoka kazini saa kumi na moja jioni unaanza kujichanganya na familia yako ambao ni watu wako wa karibu. Vigumu kuwanyima vyeo wakati ukiugua saa saba usiku ni wao wanaokukimbiza hospitalini na kusimama pembeni ya kitanda chako mpaka unapopona na kurudi nyumbani.

Lenye busara kufanyika ni kuvuta ndugu zako wenye elimu ya darasani na uwezo wa kufanya kazi.
 
Na hata akichaguliwa wa dini yangu hatonisaidia chochote mimi kwa sababu hata hatujuani ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜… !! Huwa nawashangaa sana watu wanapozungumzia udini udini katika Teuzi !!
 
amen
 
Na hata akichaguliwa wa dini yangu hatonisaidia chochote mimi kwa sababu hata hatujuani ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜… !! Huwa nawashangaa sana watu wanapozungumzia udini udini katika Teuzi !!
Kweli kabisa
 
Kule waliko kacha wale DC wateule wa chama cha waalimu,wamepelekwa wa dini ya Mama post zote mbili!
 
pascal ulitakiwa kumuunga mkono mtoa madamaana najua una uwezo kuliko wateule wengi ila kwa sababu ya ubaguzi upo tu unapuyanga mjini
 
Ukitaka kumkamata jambazi mpe ulinzi jambazi mkuu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Katiba mpya ni muhimu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ