Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,487
- 13,611
Nepotism huwezi kuikwepa duniani pote. Damu ni nzito kuliko maji.
Ukitoka kazini saa kumi na moja jioni unaanza kujichanganya na familia yako ambao ni watu wako wa karibu. Vigumu kuwanyima vyeo wakati ukiugua saa saba usiku ni wao wanaokukimbiza hospitalini na kusimama pembeni ya kitanda chako mpaka unapopona na kurudi nyumbani.
Lenye busara kufanyika ni kuvuta ndugu zako wenye elimu ya darasani na uwezo wa kufanya kazi.