Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 14,938
- 25,405
Sakata la Feisal na klabu ya Yanga bado linaendelea katika mgogoro wa kimkataba kati ya Young Africans na mchezaji wake Feisal Salum ambaye alitaka kuvunja mkataba bila kufuata utaratibu hivyo kuamrishwa kuja kufanya mapitio ya kimkataba na club yake.
Sasa mara hii kaja na Jasmine Razack. Mwanadada huyu ambaye amekua msaada kwa wachezaji wengi kama Simon Msuva na timu yake ya Wydad Casablanca na wengine. Mwanadada huyu alishawahi kujinasibu anaconnection mpaka na wanasheria waliohusika kwenye uuzaji wa Club ya Chelsea. Sasa mara hii amekuja na ombi la kutaka mkataba uvunjwe ombi hilo kapeleka TFF.
Huyu dada Jasmine aliongea na waandishii akawasihi waache kusambaza habari sijui Feisal kaonewa au ameshindwa. Hii inamaanisha tayari wameona wamekosea pakubwa hivyo wanajaribu kutafuta kwa kutokea kwa kubadilisha watu tofauti tofauti wa kuwasimamia katika sakata hili.
Sasa Bush Lawyer wa JF na kwingineko mnaona mteja wenu anavyohangaika nyie mpo huku mnajipigisha kelele na kujaza server kwa pumba zenu.
Mfamaji haishi kutapatapa, hii ni biashara Feisal rudi ofisi za Yanga omba radhi, halafu huyo anayekutaka mwambie apeleke ombi la kutaka kuuvunja mkataba wako. Hiki ulichokifanya leo kitakuja kuwezekana may be mpaka mwezi wa 6 hii ni kwa faida ya wote.