Alianza na wakili Nduruma, akaja na mama na shangazi(wakili) sasa amekuja na Jasmine Razack

Southern Highland

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2017
Posts
14,938
Reaction score
25,405
Sakata la Feisal na klabu ya Yanga bado linaendelea katika mgogoro wa kimkataba kati ya Young Africans na mchezaji wake Feisal Salum ambaye alitaka kuvunja mkataba bila kufuata utaratibu hivyo kuamrishwa kuja kufanya mapitio ya kimkataba na club yake.

Sasa mara hii kaja na Jasmine Razack. Mwanadada huyu ambaye amekua msaada kwa wachezaji wengi kama Simon Msuva na timu yake ya Wydad Casablanca na wengine. Mwanadada huyu alishawahi kujinasibu anaconnection mpaka na wanasheria waliohusika kwenye uuzaji wa Club ya Chelsea. Sasa mara hii amekuja na ombi la kutaka mkataba uvunjwe ombi hilo kapeleka TFF.

Huyu dada Jasmine aliongea na waandishii akawasihi waache kusambaza habari sijui Feisal kaonewa au ameshindwa. Hii inamaanisha tayari wameona wamekosea pakubwa hivyo wanajaribu kutafuta kwa kutokea kwa kubadilisha watu tofauti tofauti wa kuwasimamia katika sakata hili.

Sasa Bush Lawyer wa JF na kwingineko mnaona mteja wenu anavyohangaika nyie mpo huku mnajipigisha kelele na kujaza server kwa pumba zenu.

Mfamaji haishi kutapatapa, hii ni biashara Feisal rudi ofisi za Yanga omba radhi, halafu huyo anayekutaka mwambie apeleke ombi la kutaka kuuvunja mkataba wako. Hiki ulichokifanya leo kitakuja kuwezekana may be mpaka mwezi wa 6 hii ni kwa faida ya wote.
 
Kwani Feisal Yeye anataka kurudi Yanga au anataka kuomdoka?
Halafu kama TFF inamlazimisha kwa kumwambia yeye ni Mchezaji halali wa Yanga , je kuna adhabu yoyote ile wamempa? maana amekuwa ni mtoro kazini kwa muda mrefu sasa. Ifike mahali Yanga wakubali kwamba kama Ng'ombe kagoma kunywa maji hata kama anayaona wasimlazimishe.
 
Wampe adhabu kwa kosa gani?
Nani aliyepeleka shauri TFF?
 
Sasa kama ni Mchezaji halali wa Yanga, kwanini alikuwa amegomea kwenda kambini? Na kwanini wanamlazimisha kubaki Utopoloni wakati hataki?
Hizo ni sababu zake yeye sasa.....
Ndio maana anaomba Kuvunja mkataba.
Tutaona kama ni Just cause au Sio.
Kama ni Just cause Fei ataondoka bure yanga huku Yanga wakishangaa macho.

Kama without a Just cause still ataondoka Yanga atalipa faini na kufungiwa baadhi ya miezi.
Ila haweziblazimishwa kucheza Yanga.
 
Kwani Kuna mtu amemlazimisha kubaki yanga au umesikia yanga wanamhitaji Sana fei ila utaratibu anaotaka kutumia kuondoka haupo sahihi anafanya uhuni na hao wanaomhitaji wanaogopa kufanya biashara wanajua gharama iliyopo
 
Yanga ilipeleka shauri mahakamani kuwa Feisal amevunja mkataba kwa njia isiyo ya halali

Sheria ya FIFA inasema mchezaji akivunja mkataba kinyume na makubaliano anapigwa faini ili kuifidia timu na kuweka msimamo kwa wengine wasiweze kufanya hilo jambo

Pia sheria zinaelekeza mamlaka za soka kumfungia miezi minne mchezaji huyo

Hakuna sheria inayosema mchezaji aliyevunja mkataba kwa njia isiyofaa arudi kuendelea kuitumikia timu hiyo.
 
Sasa kama ni Mchezaji halali wa Yanga, kwanini alikuwa amegomea kwenda kambini? Na kwanini wanamlazimisha kubaki Utopoloni wakati hataki?
Hakuna anaye mlazimisha abai utopolo.

Ziko taratibu za yeye kuondoka, mojawapo ikiwa ni kuwasilishwa kwa official bid ya kumnunua mchezaji kama wanavyo fanya wazungu huko.
 
Mfamaji haishi kutapatapa, hii ni biashara Feisal rudi ofisi za Yanga omba radhi, halafu huyo anayekutaka mwambie apeleke ombi la kutaka kuuvunja mkataba wako. Hiki ulichokifanya leo kitakuja kuwezekana may be mpaka mwezi wa 6 hii ni kwa faida ya wote.
Kabisa ,feisal aende yanga akakae nao mezani ,wakubaliane terms za kuvunja mkataba,akiendelea kuzunguka zunguka kama zuchu anapoteza muda tu.
 
Yanga ilipeleka shauri mahakamani kuwa Feisal amevunja mkataba kwa njia isiyo ya halali

Sheria ya FIFA inasema mchezaji akivunja mkataba kinyume na makubaliano anapigwa faini ili kuifidia timu na kuweka msimamo kwa wengine wasiweze kufanya hilo jambo

Pia sheria zinaelekeza mamlaka za soka kumfungia miezi minne mchezaji huyo

Hakuna sheria inayosema mchezaji aliyevunja mkataba kwa njia isiyofaa arudi kuendelea kuitumikia timu hiyo.
Sielewi vizuri Shauri la Yanga lilipelekwa kwa mtindo gani ( ntafuatilia nikipata time).
Ila Vyovyote vile fei ataondoka yanga, na adhabu yake sio kubwa kiasi cha kuogopesha.
 
Yanga ilipeleka shauri mahakamani kuwa Feisal amevunja mkataba kwa njia isiyo ya halali

Sheria ya FIFA inasema mchezaji akivunja mkataba kinyume na makubaliano anapigwa faini ili kuifidia timu na kuweka msimamo kwa wengine wasiweze kufanya hilo jambo

Pia sheria zinaelekeza mamlaka za soka kumfungia miezi minne mchezaji huyo

Hakuna sheria inayosema mchezaji aliyevunja mkataba kwa njia isiyofaa arudi kuendelea kuitumikia timu hiyo.
So Alisha pigwa fine what next
 
atumie sheria hizi za fifa ,kwa kwenda CAS au FIFA
 
Kwani Kuna mtu amemlazimisha kubaki yanga au umesikia yanga wanamhitaji Sana fei ila utaratibu anaotaka kutumia kuondoka haupo sahihi anafanya uhuni na hao wanaomhitaji wanaogopa kufanya biashara wanajua gharama iliyopo
Unamdanganya nani?
Hata watoto wanajua mnamhitaji fei kuliko fei anavyowahitaji nyie.

Fei ataondoka Yanga.
Yanga atalipwa stahiki zake halali ( sio anazotaka yeye).
Fei atafungiwa miezi minne mpaka Sita.
Ila Fei hatocheza Yanga.
 
Yanga ilipeleka shauri mahakamani kuwa Feisal amevunja mkataba kwa njia isiyo ya halali

Sheria ya FIFA inasema mchezaji akivunja mkataba kinyume na makubaliano anapigwa faini ili kuifidia timu na kuweka msimamo kwa wengine wasiweze kufanya hilo jambo

Pia sheria zinaelekeza mamlaka za soka kumfungia miezi minne mchezaji huyo

Hakuna sheria inayosema mchezaji aliyevunja mkataba kwa njia isiyofaa arudi kuendelea kuitumikia timu hiyo.
Sasa kama alivunja mkataba iyo barua ya leo kaipeleka ya nini? Kwa akili zako fupi pamoja na feisal na wajinga wengine kama wewe wachezaji wote wangekuwa wanafsnya iyo trick na kuondoka timu zingekuwa na wachezaji? Kama sheria inasema tu ivyo na yeye alitimiza icho unachokisema kashindwa nini kuwa huru? Kashindwa nini kwenda mbele uko kuitafuta haki yake? Wapuuzi ni wengi sana umu ndani
 
Utopolo mnahangaika sana, huyo dogo Fei atawatoa nyongo yote.
 
Sasa kama alivunja mkataba iyo barua ya leo kaipeleka ya nini? Kwa akili zako fupi pamoja na feisal na wajinga wengine kama wewe wachezaji wote wangekuwa wanafsnya iyo trick na kuondoka timu zingekuwa na wachezaji? Kama sheria inasema tu ivyo na yeye alitimiza icho unachokisema kashindwa nini kuwa huru? Kashindwa nini kwenda mbele uko kuitafuta haki yake? Wapuuzi ni wengi sana umu ndani
Utopolo umeambiwa hiyo ni sheria ya FIFA, usibishane na aliyewasilisha kile kilichoandikwa na FIFA, huo ujinga wako wa kusema timu zisingebaki na wachezaji mbona leo hiyo sheria ipo na timu zote duniani zina wachezaji?

Hujui kama ana mpango wa kwenda CAS?

Nyie ni kundi la wapumbavu walioshindikana kueleweshwa.
 
Nyie ndio wapumbavu namba moja, si mlisema feisal yuko sahihi kwa alichokifanya sàsa barua ya nini tena aliyopeleka tff? Kama ni sheria ya fifa ameshindwa nini kuifata iyo wakasonga mbele? Kwanini warudi tena nyuma kupeleka barua ya kuomba kuvunja mkataba? Wanataka kuvunja mkataba upi ambao uyo fei anadai alishavunja? Akili zenu zimejaa kamasi kama sio funza, msikilize uyo wakili wake alichokisema kwanza kabla ujapuyanga hapa, alafu ndio urudi kuandika pumba zako izo, kama ni CAS wangeshafika uko siku nyingi kwanini wanakomaa na tff ambayo wanaona aiwatendei haki? Tff washatamka fei toto ni mali ya yanga kwa mkataba halali akuna kinachoweza kubadilisha ilo walitakiwa waende uko CaS wanakoona kuna haki yao, Mwanasheria wake katamka kuwa tff ndiyo yenye uwezo wa kuvunja mkataba wa mchezaji na klabu au klabu na mchezaji endapo kuna sintofahamu na sio mchezaji kuamka uko alikolala na kusema amevunja mkataba, uyo mwanasheria kaona uyo dogo wenu mnayempigia debe la kibangi bangi alipuyanga pakubwa na wanasheria wa mchongo wakapiga pesa zake wakakaa pembeni, Sasa arudi kwa mwajili wake amtajie dau lake la kama anataka kuuvunja huo mkataba
 
Back
Top Bottom