Alianza na wakili Nduruma, akaja na mama na shangazi(wakili) sasa amekuja na Jasmine Razack


Yanga ni km nao wanatengeneza mtego wao kimya kimya….
Muda ukifika watamnasa sio kwamba ni wajinga na wanajua hafiki kazini lkn kuna pahala wanamsikilizia na toto Mwenyewe anajipeleka
 
Una ufala mwingi sana kolo wewe
 

Umemaliza mkuu! well said
Kilichobakia ni ugumu tu wa ubongo kuelewa maana hlo ndio ttzo letu watz
 
Hehehh. Wanasheria na mawakili wa mchongo ni sumu mjini. Dogo kalambishwa sumu sasa tumbo la kuhara limemshika anatafuta kichaka.

Et trick yao Fei avunje mkataba alafu afungiwe miezi 4 na faini alafu anakua huru. Vilabu vidogo vingekua na wachezaji kweli? Yanga wakamatie hapohapo wakilegeza kuna wahuni pale kambini watalianzisha siku moja na timu haitobaki na wachezaji wazuri. Kolo anahangaika ana tafuta njia ya kuvuruga ili atambe kama kipindi kile walivyomtumia bashite metercore kuivuruga yanga.
 
Sijui una haraka za nini, ni ujinga wako tu na makelele yasiyo na maana kupitiliza.

Simply huyo wakili mpya anajua anachofanya, anajua kuna uwezekano akienda CAS moja kwa moja ataulizwa kama walipitia vyombo vya ndani, ndio maana mwenyewe ameamua kuanza moja.

Sasa wewe mpuuzi hujui lolote kuhusu haya mambo, hao TFF kama wakiendelea kuwabeba kama kawaida yao, hiyo ngoma ndio itatua CAS tena wakiwa na vielelezo vyote mkononi.

Mosi, utopolo FC waligoma kutoa ushirikiano, kwa kupewa milion 100 wakagoma kuzipokea.

Pili, TFF wanatoa maamuzi kinyume cha taratibu, wapo kisiasa tu.

Nyie wala sio wakupotezea watu muda kujibizana nanyi, ni wapumbavu msiojua lolote mnaobisha kama mlivyozoea kubishana na wajinga wenzenu mitaani.

Hebu nikuulize ewe mjinga; TFF walisema jumatatu ya leo wangetoa taarifa kamili kuhusu hili suala la Fei na Utopolo, haya niambie, umeiona hiyo taarifa popote mpaka jioni hii?
 
Ataondoka bure? never ever
 
Sasa kumbe unayajua yote haya si uende ukasimamie hio kesi upige mpunga huo
 
Huna tofauti na klabu unayoshabikia.

Au unataka tufukue makaburi mliokuwa mmejazana/Makolokolo/Mbumbumbu/Makelele/Malalamiko/Mikia/Manyaunyau/Kolowizards/Ngada/Zuwena/Kinyume nyume/Madunduka FC kumjaza ujinga Fei kuwa alikuwa sahihi kuvunja mkataba na si mchezaji halali wa Yanga mkitema PUMBA tupu?

Akili ni mali.
 
FEI IS A LOST CAUSE.
hatocheza tena yanga
 
Feisal kapeleka barua kutokana na kesi ilivyoamuliwa kuwa ni mchezaji wa Uto

TFF walivyoamua kwenye hii kesi ndio imefanya ionekane kama ni jambo ambalo halimuwajibishi mchezaji na kuweka mashaka kwa wachezaji wengine kuweza kuvunja mkataba kiholela

TFF ingefata sheria hakuna mtu angeweza kuwaza kuwa wachezaji wanaweza kufanya hivyo kwasababu kuna sheria inayowabana kwa kutoa adhabu kali ikiwemo faini na kufungiwa kucheza kwa muda wa miezi 4

Kwa hiyo kitendo cha TFF kuamua Feisal ni mchezaji wa Uto wakati Uto walileta shauri lenye madai Feisal amevunja mkataba katika namna isiyo sahihi, basi uamuzi wa kusema Feisal ni mchezaji halali wa Uto umeenda kinyume na sheria
 
Mpumbavu ni wewe unae komaa humu badala uende FIFA
 
Usipotoshe, hakuna mkataba uliovunjwa
 
Kopi ya mkataba unayo!!??
ama unapiga kelele za vijiweni!!??
Wabongo kwa ujuaji mbuzi bana.
 
FEI IS A LOST CAUSE.
hatocheza tena yanga
Hatacheza na tangu alipoacha kucheza bado Klabu Bingwa wako wa vikombe vyote vya ligi za soka TZ 2021/2022 "YANGA FC" inazidi kuchanja mbuga kwa kishindo kitakatifu.

Disciplinary actions must be seriously taken to any football player who is actually going against the scheduled club rules and regulations in order to run and maintain its investments, strategic plans, mission and vision towards completing of the successful goals attainment.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…