Mpigania uhuru wa pili
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 3,380
- 6,376
Kumtweza lisu sio kosa ni haki yake ya kuongea sasa ulitaka akae kimya ilihali anahaki ya kutoa maoni yakeUchaguzi wowote lazima uwe na upande.ila ukiwa kiongozi kuna namna yakupeleka hisia zako bila kuathiri au kutweza upande mwingine ili baada ya uchaguzi maisha yaendelee.sasa yeye alichokifanya nikumtweza lissu tena mtandaoni na ambaye nikiongozi wake chamani.Hiyo sio sawa kwamtu anayejielewa.
Lema atoa maoni 👇👇👇Huyo mpuuzi Ntobi uchawa wake umepitiliza hadi anakidhslilisha chama,anaposema Lissu alipitishwa kugombea urais kwa sifa yake ya uropokaji ili akamropokee Magufuli ni kuonyesha kuwa Chadema haina nia dhabiti ya kushika dola ila nia yao ni kumropokea mgombea wa CCM tu, hili ni tusi kubwa Chadema.
Kwa haya wanayoropoka hadharani watamlazimishakwa mfano: Mbowe akisema hatogombea, wao watafanyaje. Bila shaka watateseka sana. In some situations, neutrality is a better choice!
Hayo ni mawazo yake.sio kila kinachozungumzwa na mjinga aliyepo chadema ni taarifa rasmi ya chama japo alichokiandika ni ujinga.Kuna watu wanashindwa kudhibiti mihemko yao au wanajiaminisha ujinga bila kutafakari ya kesho yatakuaje.Huyo mpuuzi Ntobi uchawa wake umepitiliza hadi anakidhslilisha chama,anaposema Lissu alipitishwa kugombea urais kwa sifa yake ya uropokaji ili akamropokee Magufuli ni kuonyesha kuwa Chadema haina nia dhabiti ya kushika dola ila nia yao ni kumropokea mgombea wa CCM tu, hili ni tusi kubwa Chadema.
Anakichafua chama ule ni wendawazimu kabisaNtobi hana kosa lolote lile ametoa maoni yake sasa kama mtu akiongea usichopenda na ukataka umfute uanachama unarudi kulekule kwa siasa za magufuli wale wakosoaji wanaonekana maadui
Ni mshenzi sn atakuwa katumwa na CCMNaunga hoja mkono,amefika mbali
Kosa ndio kama unampinga kampinge kwa kura sio kuropoka ovyo...Kwani ni kosa lisu kupingwa
kama zzk alipo pinga mkamvisha koti la usalitiHuwezi mpangia mtu namna ya kukupinga hayo yatakua maigizo
anachagua upande wa FAM ili ajue ni mpiganaji wake hana tofauti na waimba mapambio wa mamaHuyo Ntobi hafai kuwa kiongozi, yeye achague upande bila kutukana wenzake. Ili uchaguzi utakapoisha uishe bila kuacha matabaka.
Nimempenda bure Malisa G, pamoja na umaarufu wake mitandaoni na kwenye chama aliamua kujizuia kutegemea upande wowoteHata wale kina Nyerere, boni, kilewo, ni washamba. kuna steji za kiuongozi ukifika hutakiwi kuwa emotional kiasi kile. Sio busara kuonesha hisia za uchawa kwenye hali kama ya sasa cdm. Kiongozi lazima uoneshe ukomavu flani wa kuweza kutulia kwanza ukisubiri lolote lijalo.
kwa mfano: Mbowe akisema hatogombea, wao watafanyaje. Bila shaka watateseka sana. In some situations, neutrality is a better choice!
YESU NI BWANA&MWOKOZI
RMwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Shinyanga Bw Emmanuel Ntobi licha ya kutojibiwa chochote na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe Tundu Lissu kwa muda mrefu Sasa bado ameendelea na kumdhihaki, kumdhalilisha na kumtweza utu wake kinyume kabisa na Katiba, kanuni na miongozo ndani ya CHADEMA .
Katibu Mkuu wa CHADEMA Bw.John John Mnyika alipoulizwa na Wanachama wa CHADEMA mitandaoni kama anachokifanya Mwenyekiti wa Shinyanga kama ni msimamo wa Kamati kuu au CHADEMA,
Kwa haraka Katibu Mkuu huyo alimjibu Mwanachama huyo kuwa huo si msimamo wa Kamati kuu Wala CHADEMA na mamlaka ya nidhamu ya Mwenyekiti huyo yako chini ya Kanda na anamshangaa kwanini Emmanuel Ntobi anaendelea kutamba kwa kutweza wengine utu wao hadharani tena mitandaoni Waziwazi bila kuchukuliwa hatua zozote za kinidhamu.
View attachment 3180661
View attachment 3180647
R.I.P chadema.Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Shinyanga Bw Emmanuel Ntobi licha ya kutojibiwa chochote na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe Tundu Lissu kwa muda mrefu Sasa bado ameendelea na kumdhihaki, kumdhalilisha na kumtweza utu wake kinyume kabisa na Katiba, kanuni na miongozo ndani ya CHADEMA .
Katibu Mkuu wa CHADEMA Bw.John John Mnyika alipoulizwa na Wanachama wa CHADEMA mitandaoni kama anachokifanya Mwenyekiti wa Shinyanga kama ni msimamo wa Kamati kuu au CHADEMA,
Kwa haraka Katibu Mkuu huyo alimjibu Mwanachama huyo kuwa huo si msimamo wa Kamati kuu Wala CHADEMA na mamlaka ya nidhamu ya Mwenyekiti huyo yako chini ya Kanda na anamshangaa kwanini Emmanuel Ntobi anaendelea kutamba kwa kutweza wengine utu wao hadharani tena mitandaoni Waziwazi bila kuchukuliwa hatua zozote za kinidhamu.
View attachment 3180661
View attachment 3180647
Lissu ni hazina, akiwa rais wa nchi Tz itabadilika kuwa Canada!
Mimi sio chadema na wala sijawahi kuwa mwanachama wa chademakama zzk alipo pinga mkamvisha koti la usaliti
Kupingwa si kosa ila hapo inaonekana ni namna ya upingaji, maneno ya kejeli, kuchafuana na yasiyo na staha.Kwani ni kosa lisu kupingwa
Ndo maana kuna kipindi cha kampeni waache watu waongee ndo mda waoKosa ndio kama unampinga kampinge kwa kura sio kuropoka ovyo...
Ndo mana'ke umeulizwa hapo ikiwa FAM hatogombea mtasema je?
Unataka mtu akukosoe alafu usiumie watanzania mnafurahisha sanaKupingwa si kosa ila hapo inaonekana ni namna ya upingaji, maneno ya kejeli, kuchafuana na yasiyo na staha.
Binadamu hamuwezi kuwa na mitazamo inayofanana but disagreeing like civilized humans ndiyo jambo jema
Zitto alikuwa/ni traitor through and through, the difference is Lissu moves zote anazifanya 'out in the open' for all to see, discuss and analyze.kama zzk alipo pinga mkamvisha koti la usaliti
ndivyo inavyotakiwa. Utulivu wakati wa hatari ni jambo la msingi sana!Nimempenda bure Malisa G, pamoja na umaarufu wake mitandaoni na kwenye chama aliamua kujizuia kutegemea upande wowote
Reread what I wrote, nimesema kukosoana(kukataana) ni sahihi ili wasitumie lugha zisizo na staha(za kudhalilishana).Unataka mtu akukosoe alafu usiumie watanzania mnafurahisha sana
Ndo yale yale ya magufuli waliomkosoa akaumia aliwashughulia kisawa sawa eti wamkosoe kistaarabu hiki si kituko