Alichoandika MwanaHistoria Mohamed Said, Baada Tamko La Askofu Rais Wa TEC

Ni facebook huku akinakili video ya tamko la Askofu Wolfang Pissa Ambaye Pia Ni Rais Wa Baraza La Maaskofu Katoliki Tanzania.
--------------------------
ASKOFU ANAIJUA HISTORIA YA KANISA KATOLIKI LINDI TANU ILIPOINGIA SOUTHERN PROVINCE 1955?

N miaka mingi sasa toka nilipofika kuliona Kanisa Katoliki Lindi wakati natafiti kitabu cha Abdul Sykes.

Kanisa hili lina historia nzuri sana baina ya Salum Mpunga, Yusuf Chembera na Waislam wengine wakati wanapigania uhuru wa Tanganyika.

Nakuwekea hapo chini kipande nilichoandika kuhusu kanisa hili mwaka wa 1955 wakati wa kupigania uhuru wa Tanganyika:

Kanisa Katoliki mjini Lindi ni jengo la fahari lililoko ufukweni katika Bahari ya Hindi.

Lindi ulikuwa mji wa Waislam. Mbali na mlio wa kengele za kanisa hakuna mtu pale mjini aliyekuwa akishughulishwa na kile kilichokuwa kikifanyika kwenye viwanja vya kanisa.

Watu wachache waliokuwa wakienda kusali kanisani walikuwa Wakristo waliokuja Lindi kutoka sehemu nyingine za Tanganyika kufanya kazi katika ofisi za serikali.

Ghafla mahala hapa palipokuwa pweke, palipopuuzwa kwa miaka na Waislam wa mjini, pakawa muhimu kwa sababu rais wa TANU ambae alikuwa Mkatoliki alikuwa na haja ya kuhudhuria ibada pale kanisani.

Hakuna mtu katika uongozi wa TANU wa Lindi aliyejua ndani ya kanisa lile kulikuwa vipi wala hapakuwa na yoyote kati yao aliyewahi kuingia ndani ya kanisa, si Lindi wala mahali popote pale.

Uongozi wa TANU wa Waislam mjini Lindi haukumwamini Mkristo yoyote kumsindikiza Nyerere kanisani ili kumpa ulinzi.

Baada ya kujadili suala hilo kwa urefu hatimaye iliamuliwa kuwa Mpunga na wanachama wachache Waislam wenye kuaminika lazima wamsindikize Nyerere kanisani na wengine wabakie nje kulinda mlango.

Jumapili hiyo Nyerere aliingia ndani ya kanisa Katoliki mjini Lindi akifuatwa nyuma na walinzi wake Waislam wakiongozwa na Salum Mpunga, dereva wa lori shupavu.

Misa hii ‘’maalum,’’ ilidumu katika fikra za wale Wakristo waliokuwepo pale kanisani kwa miaka mingi kwa kuwa tukio hilo liliwagusa sana Wakristo walioshuhudia mkasa ule ndani ya kanisa la Lindi.

Hii huenda ilikuwa mara ya kwanza na ya mwisho kwa Nyerere kumsalia Mungu wake huku akiwa amesimamiwa na Waislam.

DC mkoloni alikataa kutoa kibali kwa TANU kufanya mkutano wa hadhara.

Akiwa amekasirika sana, Shabaan Msangi aliitisha mkutano wa dharura wa tawi la TANU uliohudhuriwa na Nyerere na Ali Mwinyi Tambwe.

Baada ya mkutano huo Tambwe alikwenda kumwona DC.

Ruhusa ilitolewa, na adhuhuri hiyo siku ya Jumapili, katika kiwanja ambacho Wazungu walikuwa wakicheza gofu, ambako mwaka mmoja uliopita Gavana Edward Francis Twining alitoa hotuba iliyowavunja moyo Waafrika, Nyerere alihutubia mkutano wa hadhara.

Kamwe haijapata kutokea kabla ya siku ile katika historia nzima ya Jimbo la Kusini, watu wengi kiasi hicho kujumuika mahali pamoja.

Wazungu na Wahindi pamoja na askari, watu wakiwa wamekaa na wengine wamesimama katika ya jua kali walikuja kumsikiliza Nyerere akihutubia.

Ili kuhakikisha amani na usalama pale mkutanoni serikali iliweka askari waliouzunguka uwanja mzima wa mkutano.

Nyerere aliwafikishia watu ule ujumbe wa TANU wa kuwa, kutawaliwa ni fedheha, na Waafrika wa Tanganyika lazima wadai uhuru wao.

Uingereza ilikuwa ikiitawala Tanganyika chini ya udhamini kwa niaba ya Umoja wa Mataifa, na wakati ukiwa muafaka inabidi Uingereza ikabidhi nchi kwa wananchi wenyewe.

TANU ilikuwa imewasili Jimbo la Kusini.

Sijapata point yako hapa. Hearding na maelezo yako. Ulitaka kusemaje kwani?
 
Kama hujui leo hii hao Viongozi walioko madarakani ndiyo wamegeuka kama wazungu wa kipindi hicho
,hawapendi kuona wapinzani wanaongea ukweli kila siku kujaza mapolisi kwenye mikutano ya wapinzani
Kuwa na macho matatu ili uelewe jambo
kwani nimepingana na wewe, au ulikuwa una quote mwingine, si ndiyo ninachokiongelea mimi?
 
Tatizo watu hawapendi kuambiwa Historia yao ya ukweli bali hupenda kupotoshwa,
kama hivi leo ukisema CCM miaka yote imekuwa ikiingia madarakani kwa kura za wizi,utaonekana muongo
Hii point fikirishi sana 🤣🤣 !
Kwani ANCIENT FROM EGYPT anasemaje kuhusu hili ??! 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😅 !
Au Mzee Mohamed Said anasemaje kuhusu hili ??
 
Ni kweli mambo ya dini hayana inshu?
Maana uhuru ulipiganiwa na watu na watu hao walikuwa na dini. Je ni kosa kusema watu wa dini fulani walipigania uhuru? Au itumike misamiati gani ili walau kuepuka kutaja dini?
Naomba tujadili hili.
Watanganyika wenye uchu na ari ya kudai uhuru wao
 
Kwa maoni yangu naona Mzee Saidi anaongelea mchango wa dini hasa viongozi wa dini ya kiislamu katika kupigania uhuru wa nchi yetu dhidi ya ukoloni, hivo anatukumbusha kuwa wanachokifanya Maaskofu kutetea Haki za wananchi ni sawa na kilichofanywa na waislamu kwa wakati huo.
Hivyo mchango wa viongozi wa dini si wa kupuuzwa. Kama sipo sawa mnaweza kunisahihisha au hata yeye mwenyewe Mzee Saidi anaweza kuendelea kutuelewesha zaidi ili tuelewe maantiki yake, badala ya kumshambulia kuwa ni mdini.
Hajasema moja kwa moja ila hicho ndicho anachokimaanisha ingawa ameanzia mbali sana
 
Mwanadamu ni zaidi ya historia

Kama Kaka yetu Yesu aliwahi kusema mahali fulani kuwa sabato ni kwaajili ya watu sio watu kwaajili ya sabato

Kama sabato haiufanyi utu wa mtu au hamkamilishi mtu piga chini halikadharika na historia Kama hazitupeleki mbele piga chini
 
Ukristo Lindi na Mtwara ulikuwa mgeni kwenye miji ya Pwani. Mara nyingi makanisa yakijengwa nje ya miji, na Wakristo wakikaa huko!

Anachoshangaa Mzee MS ni huyu Mjeruman Wolfgang kutia kibesi kwenye miji ambako yeye ni mhamiaji tu!

Anyways, inawezakana hayo ni historia, lakini kwenye hili TEC wanapandikiza chuki na udini mkali,!

Walipoongoza WAISLAM harakati kama hizi TEC na mazezeta yao humu JF mliwaita majina mabaya , vipi Leo?

Kuna ujinga unarudiwa humu karibu Kila post kuwa sijui hawa Maaskofu wamesoma sijui PhD, watu hawajiulizi ni PhD za nini? Mfano wa wazi ni Slaa mwenye PhD ya canonical law! Maana yake sheria ya kanisa ! Hii inatofauti Gabi na sheikh mbobezi kwenye FIQH? Hiyo PHD ibachukua miaka 4 tu lakini kupata ijaza ya FIQH kutoka kwa vyuo kama Al Azhar utakula mpaka miaka 20!
 
Ni facebook huku akinakili video ya tamko la Askofu Wolfang Pissa Ambaye Pia Ni Rais Wa Baraza La Maaskofu Katoliki Tanzania.
--------------------------
ASKOFU ANAIJUA HISTORIA YA KANISA KATOLIKI LINDI TANU ILIPOINGIA SOUTHERN PROVINCE 1955?

N miaka mingi sasa toka nilipofika kuliona Kanisa Katoliki Lindi wakati natafiti kitabu cha Abdul Sykes.

Kanisa hili lina historia nzuri sana baina ya Salum Mpunga, Yusuf Chembera na Waislam wengine wakati wanapigania uhuru wa Tanganyika.

Nakuwekea hapo chini kipande nilichoandika kuhusu kanisa hili mwaka wa 1955 wakati wa kupigania uhuru wa Tanganyika:

Kanisa Katoliki mjini Lindi ni jengo la fahari lililoko ufukweni katika Bahari ya Hindi.

Lindi ulikuwa mji wa Waislam. Mbali na mlio wa kengele za kanisa hakuna mtu pale mjini aliyekuwa akishughulishwa na kile kilichokuwa kikifanyika kwenye viwanja vya kanisa.

Watu wachache waliokuwa wakienda kusali kanisani walikuwa Wakristo waliokuja Lindi kutoka sehemu nyingine za Tanganyika kufanya kazi katika ofisi za serikali.

Ghafla mahala hapa palipokuwa pweke, palipopuuzwa kwa miaka na Waislam wa mjini, pakawa muhimu kwa sababu rais wa TANU ambae alikuwa Mkatoliki alikuwa na haja ya kuhudhuria ibada pale kanisani.

Hakuna mtu katika uongozi wa TANU wa Lindi aliyejua ndani ya kanisa lile kulikuwa vipi wala hapakuwa na yoyote kati yao aliyewahi kuingia ndani ya kanisa, si Lindi wala mahali popote pale.

Uongozi wa TANU wa Waislam mjini Lindi haukumwamini Mkristo yoyote kumsindikiza Nyerere kanisani ili kumpa ulinzi.

Baada ya kujadili suala hilo kwa urefu hatimaye iliamuliwa kuwa Mpunga na wanachama wachache Waislam wenye kuaminika lazima wamsindikize Nyerere kanisani na wengine wabakie nje kulinda mlango.

Jumapili hiyo Nyerere aliingia ndani ya kanisa Katoliki mjini Lindi akifuatwa nyuma na walinzi wake Waislam wakiongozwa na Salum Mpunga, dereva wa lori shupavu.

Misa hii ‘’maalum,’’ ilidumu katika fikra za wale Wakristo waliokuwepo pale kanisani kwa miaka mingi kwa kuwa tukio hilo liliwagusa sana Wakristo walioshuhudia mkasa ule ndani ya kanisa la Lindi.

Hii huenda ilikuwa mara ya kwanza na ya mwisho kwa Nyerere kumsalia Mungu wake huku akiwa amesimamiwa na Waislam.

DC mkoloni alikataa kutoa kibali kwa TANU kufanya mkutano wa hadhara.

Akiwa amekasirika sana, Shabaan Msangi aliitisha mkutano wa dharura wa tawi la TANU uliohudhuriwa na Nyerere na Ali Mwinyi Tambwe.

Baada ya mkutano huo Tambwe alikwenda kumwona DC.

Ruhusa ilitolewa, na adhuhuri hiyo siku ya Jumapili, katika kiwanja ambacho Wazungu walikuwa wakicheza gofu, ambako mwaka mmoja uliopita Gavana Edward Francis Twining alitoa hotuba iliyowavunja moyo Waafrika, Nyerere alihutubia mkutano wa hadhara.

Kamwe haijapata kutokea kabla ya siku ile katika historia nzima ya Jimbo la Kusini, watu wengi kiasi hicho kujumuika mahali pamoja.

Wazungu na Wahindi pamoja na askari, watu wakiwa wamekaa na wengine wamesimama katika ya jua kali walikuja kumsikiliza Nyerere akihutubia.

Ili kuhakikisha amani na usalama pale mkutanoni serikali iliweka askari waliouzunguka uwanja mzima wa mkutano.

Nyerere aliwafikishia watu ule ujumbe wa TANU wa kuwa, kutawaliwa ni fedheha, na Waafrika wa Tanganyika lazima wadai uhuru wao.

Uingereza ilikuwa ikiitawala Tanganyika chini ya udhamini kwa niaba ya Umoja wa Mataifa, na wakati ukiwa muafaka inabidi Uingereza ikabidhi nchi kwa wananchi wenyewe.

TANU ilikuwa imewasili Jimbo la Kusini.

Kuna Uhusiano Mkubwa sana Kati ya Ujinga na Uislam.

Katoliki wamezungumzia HAKI .

Yeye anaanza blaa blaah za Uislam, ulikua mji wa Uislam, hamna alikua na muda na Ukatoliki, Kanisan lilipuuzwa n.k

Kwan Ukatoliki Jana umezungumzia habari za kikatoliki??
 
Ukristo Lindi na Mtwara ulikuwa mgeni kwenye miji ya Pwani. Mara nyingi makanisa yakijengwa nje ya miji, na Wakristo wakikaa huko!

Anachoshangaa Mzee MS ni huyu Mjeruman Wolfgang kutia kibesi kwenye miji ambako yeye ni mhamiaji tu!

Anyways, inawezakana hayo ni historia, lakini kwenye hili TEC wanapandikiza chuki na udini mkali,!

Walipoongoza WAISLAM hatakati kama hizi TEC na mazezeta yao humu JF mliwaita majina mabaya , vipi Leo?

Kuna ujinga unarudiwa humu karibu Kila post kuwa sijui hawa Maaskofu wamesoma sijui PhD, watu hawajiulizi ni PhD za nini? Mfano wa wazi ni Slaa mwenye PhD ya canonical law! Maana yake sheria ya kabisa ! Hii inatofauti Gabi na sheikh mbobezi kwenye FIQH? Hiyo PHD ibachukua miaka 4 tu lakini kupata ijaza ya FIQH kutoka kwa vyuo kama Al Azhar utakula mpaka miaka 20!
TEC kutetea HAKI na Wanaopambania HAKI, Ndio Udini??.

Hivi hayo mabichwa yenu mmejaza matope ???.

Wakati TEC wanamwambia Magufuli Mkatoliki wao, atense HAKI, ulikua udini???.
 
Ni kweli mambo ya dini hayana inshu?
Maana uhuru ulipiganiwa na watu na watu hao walikuwa na dini. Je ni kosa kusema watu wa dini fulani walipigania uhuru? Au itumike misamiati gani ili walau kuepuka kutaja dini?
Naomba tujadili hili.
Yatajwe majina ya hao watu. YATOSHA
 
Ukristo Lindi na Mtwara ulikuwa mgeni kwenye miji ya Pwani. Mara nyingi makanisa yakijengwa nje ya miji, na Wakristo wakikaa huko!

Anachoshangaa Mzee MS ni huyu Mjeruman Wolfgang kutia kibesi kwenye miji ambako yeye ni mhamiaji tu!

Anyways, inawezakana hayo ni historia, lakini kwenye hili TEC wanapandikiza chuki na udini mkali,!

Walipoongoza WAISLAM hatakati kama hizi TEC na mazezeta yao humu JF mliwaita majina mabaya , vipi Leo?

Kuna ujinga unarudiwa humu karibu Kila post kuwa sijui hawa Maaskofu wamesoma sijui PhD, watu hawajiulizi ni PhD za nini? Mfano wa wazi ni Slaa mwenye PhD ya canonical law! Maana yake sheria ya kabisa ! Hii inatofauti Gabi na sheikh mbobezi kwenye FIQH? Hiyo PHD ibachukua miaka 4 tu lakini kupata ijaza ya FIQH kutoka kwa vyuo kama Al Azhar utakula mpaka miaka 20!
FIQH ni nini??
Ijaza ya FIQH ni nini?
Mwaipopo ametumia miaka mingapi kupata ijaza ya FIQH?
 
Ni facebook huku akinakili video ya tamko la Askofu Wolfang Pissa Ambaye Pia Ni Rais Wa Baraza La Maaskofu Katoliki Tanzania.
--------------------------
ASKOFU ANAIJUA HISTORIA YA KANISA KATOLIKI LINDI TANU ILIPOINGIA SOUTHERN PROVINCE 1955?

N miaka mingi sasa toka nilipofika kuliona Kanisa Katoliki Lindi wakati natafiti kitabu cha Abdul Sykes.

Kanisa hili lina historia nzuri sana baina ya Salum Mpunga, Yusuf Chembera na Waislam wengine wakati wanapigania uhuru wa Tanganyika.

Nakuwekea hapo chini kipande nilichoandika kuhusu kanisa hili mwaka wa 1955 wakati wa kupigania uhuru wa Tanganyika:

Kanisa Katoliki mjini Lindi ni jengo la fahari lililoko ufukweni katika Bahari ya Hindi.

Lindi ulikuwa mji wa Waislam. Mbali na mlio wa kengele za kanisa hakuna mtu pale mjini aliyekuwa akishughulishwa na kile kilichokuwa kikifanyika kwenye viwanja vya kanisa.

Watu wachache waliokuwa wakienda kusali kanisani walikuwa Wakristo waliokuja Lindi kutoka sehemu nyingine za Tanganyika kufanya kazi katika ofisi za serikali.

Ghafla mahala hapa palipokuwa pweke, palipopuuzwa kwa miaka na Waislam wa mjini, pakawa muhimu kwa sababu rais wa TANU ambae alikuwa Mkatoliki alikuwa na haja ya kuhudhuria ibada pale kanisani.

Hakuna mtu katika uongozi wa TANU wa Lindi aliyejua ndani ya kanisa lile kulikuwa vipi wala hapakuwa na yoyote kati yao aliyewahi kuingia ndani ya kanisa, si Lindi wala mahali popote pale.

Uongozi wa TANU wa Waislam mjini Lindi haukumwamini Mkristo yoyote kumsindikiza Nyerere kanisani ili kumpa ulinzi.

Baada ya kujadili suala hilo kwa urefu hatimaye iliamuliwa kuwa Mpunga na wanachama wachache Waislam wenye kuaminika lazima wamsindikize Nyerere kanisani na wengine wabakie nje kulinda mlango.

Jumapili hiyo Nyerere aliingia ndani ya kanisa Katoliki mjini Lindi akifuatwa nyuma na walinzi wake Waislam wakiongozwa na Salum Mpunga, dereva wa lori shupavu.

Misa hii ‘’maalum,’’ ilidumu katika fikra za wale Wakristo waliokuwepo pale kanisani kwa miaka mingi kwa kuwa tukio hilo liliwagusa sana Wakristo walioshuhudia mkasa ule ndani ya kanisa la Lindi.

Hii huenda ilikuwa mara ya kwanza na ya mwisho kwa Nyerere kumsalia Mungu wake huku akiwa amesimamiwa na Waislam.

DC mkoloni alikataa kutoa kibali kwa TANU kufanya mkutano wa hadhara.

Akiwa amekasirika sana, Shabaan Msangi aliitisha mkutano wa dharura wa tawi la TANU uliohudhuriwa na Nyerere na Ali Mwinyi Tambwe.

Baada ya mkutano huo Tambwe alikwenda kumwona DC.

Ruhusa ilitolewa, na adhuhuri hiyo siku ya Jumapili, katika kiwanja ambacho Wazungu walikuwa wakicheza gofu, ambako mwaka mmoja uliopita Gavana Edward Francis Twining alitoa hotuba iliyowavunja moyo Waafrika, Nyerere alihutubia mkutano wa hadhara.

Kamwe haijapata kutokea kabla ya siku ile katika historia nzima ya Jimbo la Kusini, watu wengi kiasi hicho kujumuika mahali pamoja.

Wazungu na Wahindi pamoja na askari, watu wakiwa wamekaa na wengine wamesimama katika ya jua kali walikuja kumsikiliza Nyerere akihutubia.

Ili kuhakikisha amani na usalama pale mkutanoni serikali iliweka askari waliouzunguka uwanja mzima wa mkutano.

Nyerere aliwafikishia watu ule ujumbe wa TANU wa kuwa, kutawaliwa ni fedheha, na Waafrika wa Tanganyika lazima wadai uhuru wao.

Uingereza ilikuwa ikiitawala Tanganyika chini ya udhamini kwa niaba ya Umoja wa Mataifa, na wakati ukiwa muafaka inabidi Uingereza ikabidhi nchi kwa wananchi wenyewe.

TANU ilikuwa imewasili Jimbo la Kusini.

What did he want to establish? sijaelewa
 
Ni kweli mambo ya dini hayana inshu?
Maana uhuru ulipiganiwa na watu na watu hao walikuwa na dini. Je ni kosa kusema watu wa dini fulani walipigania uhuru? Au itumike misamiati gani ili walau kuepuka kutaja dini?
Naomba tujadili hili.
Sipendelei mijadala inayohusu dini, kwasabu kwangu nasisitiza hayana ishu, ishu kwangu ni kuwa na uhusiano mzuri na Mungu na kutenda mema baaas....

Hayo ya sijui mkristu na muislamu kuna bora kuliko mwingine sio ishu, quran ni bora kuliko biblia sio ishu.....nasisitiza tena HAYANA ISHU

Kwahiyo inapaswa mambo tuyaadress kwa hivi??

"Nyerere rais wa kwanza ambae alikua ni mkristu alitupigania tukawa huru"
"Rais kikwete muislamu alijitahidi sana upande wa ajira watu waliajiriwa kwa wakati"
"Rais mkapa mkristu blablabla"
"Waziri gwajima mkristu anajitahidi kushughulikia mambo ya kijamii"

Itoshe kusema ni UPUMBAVU!!!!!
 
Sipendelei mijala inayohusu dini, kwasabu kwangu nasisitiza hayana ishu, ishu kwangu ni kuwa na uhusiano mzuri na Mungu na kutenda mema baaas....

Hayo ya sijui mkristu na muislamu kuna bora kuliko mwingine sio ishu, quran ni bora kuliko biblia sio ishu.....nasisitiza tena HAYANA ISHU

Kwahiyo inapaswa mambo tuyaadress kwa hivi??

"Nyerere rais wa kwanza ambae alikua ni mkristu alitupigania tukawa huru"
"Rais kikwete muislamu alijitahidi sana upande wa ajira watu waliajiriwa kwa wakati"
"Rais mkapa mkristu blablabla"
"Waziri gwajima mkristu anajitahidi kushughulikia mambo ya kijamii"

Itoshe kusema ni UPUMBAVU!!!!!
Shukrani sana nimejifunza kitu. Binafsi nilitamani kujua, pengine labda ilikupa wakati fulani mgumu maana wengi hidhani tunajadili kwa madhaha lakini nimepata kitu kizuri kupitia mawazo yako. Shukrani sana ndugu.
 
TUNAPASWA KUWA WATANZANIA ZAIDI KULIKO HIZI DINI.

UHURU WALIUDAI WATANZANIA ILI TANZANIA IWE HURU.

UISLAMU NA UKRISTO NI IMANI AMBAZO WATANZANI WANAABUDU KAMA ZILIVYO DINI NYINGINE.

TUWEKE UTANZANIA WETU MBELE KULIKO HIZI DINI.

Tuache vikao vya Misikitini na Makanisani baadala yake twende tukaabudu tunachoamini, tukitoka tuwe Watanzania.

Tukiwa Watanzania zaidi italeta umoja zaidi na itakuwa rahisi kuliona wote lililo baya na kulikataa Kwa pamoja.
 
Ni facebook huku akinakili video ya tamko la Askofu Wolfang Pissa Ambaye Pia Ni Rais Wa Baraza La Maaskofu Katoliki Tanzania.
--------------------------
ASKOFU ANAIJUA HISTORIA YA KANISA KATOLIKI LINDI TANU ILIPOINGIA SOUTHERN PROVINCE 1955?

N miaka mingi sasa toka nilipofika kuliona Kanisa Katoliki Lindi wakati natafiti kitabu cha Abdul Sykes.

Kanisa hili lina historia nzuri sana baina ya Salum Mpunga, Yusuf Chembera na Waislam wengine wakati wanapigania uhuru wa Tanganyika.

Nakuwekea hapo chini kipande nilichoandika kuhusu kanisa hili mwaka wa 1955 wakati wa kupigania uhuru wa Tanganyika:

Kanisa Katoliki mjini Lindi ni jengo la fahari lililoko ufukweni katika Bahari ya Hindi.

Lindi ulikuwa mji wa Waislam. Mbali na mlio wa kengele za kanisa hakuna mtu pale mjini aliyekuwa akishughulishwa na kile kilichokuwa kikifanyika kwenye viwanja vya kanisa.

Watu wachache waliokuwa wakienda kusali kanisani walikuwa Wakristo waliokuja Lindi kutoka sehemu nyingine za Tanganyika kufanya kazi katika ofisi za serikali.

Ghafla mahala hapa palipokuwa pweke, palipopuuzwa kwa miaka na Waislam wa mjini, pakawa muhimu kwa sababu rais wa TANU ambae alikuwa Mkatoliki alikuwa na haja ya kuhudhuria ibada pale kanisani.

Hakuna mtu katika uongozi wa TANU wa Lindi aliyejua ndani ya kanisa lile kulikuwa vipi wala hapakuwa na yoyote kati yao aliyewahi kuingia ndani ya kanisa, si Lindi wala mahali popote pale.

Uongozi wa TANU wa Waislam mjini Lindi haukumwamini Mkristo yoyote kumsindikiza Nyerere kanisani ili kumpa ulinzi.

Baada ya kujadili suala hilo kwa urefu hatimaye iliamuliwa kuwa Mpunga na wanachama wachache Waislam wenye kuaminika lazima wamsindikize Nyerere kanisani na wengine wabakie nje kulinda mlango.

Jumapili hiyo Nyerere aliingia ndani ya kanisa Katoliki mjini Lindi akifuatwa nyuma na walinzi wake Waislam wakiongozwa na Salum Mpunga, dereva wa lori shupavu.

Misa hii ‘’maalum,’’ ilidumu katika fikra za wale Wakristo waliokuwepo pale kanisani kwa miaka mingi kwa kuwa tukio hilo liliwagusa sana Wakristo walioshuhudia mkasa ule ndani ya kanisa la Lindi.

Hii huenda ilikuwa mara ya kwanza na ya mwisho kwa Nyerere kumsalia Mungu wake huku akiwa amesimamiwa na Waislam.

DC mkoloni alikataa kutoa kibali kwa TANU kufanya mkutano wa hadhara.

Akiwa amekasirika sana, Shabaan Msangi aliitisha mkutano wa dharura wa tawi la TANU uliohudhuriwa na Nyerere na Ali Mwinyi Tambwe.

Baada ya mkutano huo Tambwe alikwenda kumwona DC.

Ruhusa ilitolewa, na adhuhuri hiyo siku ya Jumapili, katika kiwanja ambacho Wazungu walikuwa wakicheza gofu, ambako mwaka mmoja uliopita Gavana Edward Francis Twining alitoa hotuba iliyowavunja moyo Waafrika, Nyerere alihutubia mkutano wa hadhara.

Kamwe haijapata kutokea kabla ya siku ile katika historia nzima ya Jimbo la Kusini, watu wengi kiasi hicho kujumuika mahali pamoja.

Wazungu na Wahindi pamoja na askari, watu wakiwa wamekaa na wengine wamesimama katika ya jua kali walikuja kumsikiliza Nyerere akihutubia.

Ili kuhakikisha amani na usalama pale mkutanoni serikali iliweka askari waliouzunguka uwanja mzima wa mkutano.

Nyerere aliwafikishia watu ule ujumbe wa TANU wa kuwa, kutawaliwa ni fedheha, na Waafrika wa Tanganyika lazima wadai uhuru wao.

Uingereza ilikuwa ikiitawala Tanganyika chini ya udhamini kwa niaba ya Umoja wa Mataifa, na wakati ukiwa muafaka inabidi Uingereza ikabidhi nchi kwa wananchi wenyewe.

TANU ilikuwa imewasili Jimbo la Kusini.

Kitu kimoja kati ya vingi alivyoviandika ni wakati wa mkutano aliohutubia na watu wengi waliohudhuria hawakubuguziwa na polisi wa kikoloni. Lakini kwa sasa polisi wa kiafrika katika taifa huru la kiafrika polisi wanawanyanyasa raia wao mwenyewe. SHAME ON YOU RAIS NA VYOMBO VYA DOLA.
 
Hivi historia ya Tanganyika inaanzia pale ambapo Uislamu umeletwa?

Kauli ya Kusema Lindi ulikuwa mji wa Waislamu inathibitisha kwamba historia yetu inakuwa na maana mala tu ya kuja Mvamizi Mwarabu.

Lindi ni Mji wa Watanganyika Waafrika Mababu zetu wakiwa na Dini zao za asili.

Waafrika wengi weusi hata kama wamesoma vipi wanacho kithamini ni kile walicho rithishwa na mkoloni:

Historia yao haina maana tena:

Lindi haujawahi kuwa mji wa Waislamu wala Wakristo:

Lindi ni mji wa mababu zetu na mila zao: kumkaribisha mgeni hakuwamilikishi tamaduni zao:
 
Mzee Mohamed Said pamoja nakuwa mwanahistoria mbobezi lakini anachangamoto ya KUPOFUAHWA NA DINI.
 
Back
Top Bottom