Alichoandika MwanaHistoria Mohamed Said, Baada Tamko La Askofu Rais Wa TEC

Sijapata point yako hapa. Hearding na maelezo yako. Ulitaka kusemaje kwani?
Sijaongeza wala kupunguza neno..
Kifupi mimi nimewasilisha andiko la mzee MS.
Kuhusu kupata aunkukosa point ni jambo lako, si langu.
 
Ni facebook huku akinakili video ya tamko la Askofu Wolfang Pissa Ambaye Pia Ni Rais Wa Baraza La Maaskofu Katoliki Tanzania.
--------------------------
ASKOFU ANAIJUA HISTORIA YA KANISA KATOLIKI LINDI TANU ILIPOINGIA SOUTHERN PROVINCE 1955?

N miaka mingi sasa toka nilipofika kuliona Kanisa Katoliki Lindi wakati natafiti kitabu cha Abdul Sykes.

Kanisa hili lina historia nzuri sana baina ya Salum Mpunga, Yusuf Chembera na Waislam wengine wakati wanapigania uhuru wa Tanganyika.

Nakuwekea hapo chini kipande nilichoandika kuhusu kanisa hili mwaka wa 1955 wakati wa kupigania uhuru wa Tanganyika:

Kanisa Katoliki mjini Lindi ni jengo la fahari lililoko ufukweni katika Bahari ya Hindi.

Lindi ulikuwa mji wa Waislam. Mbali na mlio wa kengele za kanisa hakuna mtu pale mjini aliyekuwa akishughulishwa na kile kilichokuwa kikifanyika kwenye viwanja vya kanisa.

Watu wachache waliokuwa wakienda kusali kanisani walikuwa Wakristo waliokuja Lindi kutoka sehemu nyingine za Tanganyika kufanya kazi katika ofisi za serikali.

Ghafla mahala hapa palipokuwa pweke, palipopuuzwa kwa miaka na Waislam wa mjini, pakawa muhimu kwa sababu rais wa TANU ambae alikuwa Mkatoliki alikuwa na haja ya kuhudhuria ibada pale kanisani.

Hakuna mtu katika uongozi wa TANU wa Lindi aliyejua ndani ya kanisa lile kulikuwa vipi wala hapakuwa na yoyote kati yao aliyewahi kuingia ndani ya kanisa, si Lindi wala mahali popote pale.

Uongozi wa TANU wa Waislam mjini Lindi haukumwamini Mkristo yoyote kumsindikiza Nyerere kanisani ili kumpa ulinzi.

Baada ya kujadili suala hilo kwa urefu hatimaye iliamuliwa kuwa Mpunga na wanachama wachache Waislam wenye kuaminika lazima wamsindikize Nyerere kanisani na wengine wabakie nje kulinda mlango.

Jumapili hiyo Nyerere aliingia ndani ya kanisa Katoliki mjini Lindi akifuatwa nyuma na walinzi wake Waislam wakiongozwa na Salum Mpunga, dereva wa lori shupavu.

Misa hii ‘’maalum,’’ ilidumu katika fikra za wale Wakristo waliokuwepo pale kanisani kwa miaka mingi kwa kuwa tukio hilo liliwagusa sana Wakristo walioshuhudia mkasa ule ndani ya kanisa la Lindi.

Hii huenda ilikuwa mara ya kwanza na ya mwisho kwa Nyerere kumsalia Mungu wake huku akiwa amesimamiwa na Waislam.

DC mkoloni alikataa kutoa kibali kwa TANU kufanya mkutano wa hadhara.

Akiwa amekasirika sana, Shabaan Msangi aliitisha mkutano wa dharura wa tawi la TANU uliohudhuriwa na Nyerere na Ali Mwinyi Tambwe.

Baada ya mkutano huo Tambwe alikwenda kumwona DC.

Ruhusa ilitolewa, na adhuhuri hiyo siku ya Jumapili, katika kiwanja ambacho Wazungu walikuwa wakicheza gofu, ambako mwaka mmoja uliopita Gavana Edward Francis Twining alitoa hotuba iliyowavunja moyo Waafrika, Nyerere alihutubia mkutano wa hadhara.

Kamwe haijapata kutokea kabla ya siku ile katika historia nzima ya Jimbo la Kusini, watu wengi kiasi hicho kujumuika mahali pamoja.

Wazungu na Wahindi pamoja na askari, watu wakiwa wamekaa na wengine wamesimama katika ya jua kali walikuja kumsikiliza Nyerere akihutubia.

Ili kuhakikisha amani na usalama pale mkutanoni serikali iliweka askari waliouzunguka uwanja mzima wa mkutano.

Nyerere aliwafikishia watu ule ujumbe wa TANU wa kuwa, kutawaliwa ni fedheha, na Waafrika wa Tanganyika lazima wadai uhuru wao.

Uingereza ilikuwa ikiitawala Tanganyika chini ya udhamini kwa niaba ya Umoja wa Mataifa, na wakati ukiwa muafaka inabidi Uingereza ikabidhi nchi kwa wananchi wenyewe.

TANU ilikuwa imewasili Jimbo la Kusini.

Katika vitu vya kijinga vinavyofichwa kwenye dini ni ubaguzi, kejeli na dharau dhidi ya wengine!
 
Mrudishie ujumbe kuwa "watanzania hatuhitaji kujua historia ya lindi zaid ya TUME HURU YA UCHAGUZI NA HAKI ITENDEKE KWENYE UCHAGUZI!!. Kabala ya uijiyo ya huu uislam lindi ilikuwa haina raia?
 
Mzee Mohamed Said amejaa historia kubwa sana iliyosahaulika na haikuandikwa popote. Mambo kama haya si ya kupuuza. Kila aliyetetea nchi hii kwa jasho lake yapaswa kutajwa kwa sauti ile ile.
Wakatoliki tulikua na mchango mkubwa same kwa waislamu. Historia haikuwekwa sawa.
 
Fanya correlation ya andiko lake na kauli ya askofu pissa
 
Kwa maoni yangu naona Mzee Saidi anaongelea mchango wa dini hasa viongozi wa dini ya kiislamu katika kupigania uhuru wa nchi yetu dhidi ya ukoloni, hivo anatukumbusha kuwa wanachokifanya Maaskofu kutetea Haki za wananchi ni sawa na kilichofanywa na waislamu kwa wakati huo.
Hivyo mchango wa viongozi wa dini si wa kupuuzwa. Kama sipo sawa mnaweza kunisahihisha au hata yeye mwenyewe Mzee Saidi anaweza kuendelea kutuelewesha zaidi ili tuelewe maantiki yake, badala ya kumshambulia kuwa ni mdini.
wakati wa shari mtu mwenye busara anakuwa neutral .kanisa lijitahidi kuwa neutral.ningekuwa mimi ndiye mkuu wa nchi siku kuu za kidini nazifuta zote .maana badala ya kuhubiri maada inayohusu siku yenyewe inakuwa siku ya umbea juu ya serikali yao inayowalinda bure,kuwapa vibari vya kuabudu kwa uhuru,inayosaidia wananchi wake walete sadaka nk .
 
Fanya correlation ya andiko lake na kauli ya askofu pissa
Naomba unisahihishe kwa namna nilivyoelewa.

1. Kwanza ametambua kuwa kanisa katoliki lilikua nguzo ya kupigania uhuru.
2. Waislamu wa Lindi hawakuwa wanajua nini kinaendelea ndani ya kanisa mpaka alipokuja mwalimu pale Lindi. Either hawakuwa wanaaminiana au waliwabagua na kuwaona ni sehemu ya watawala.
3. Serikali ya kikoloni iliamini kwa wakristo kuliko waislamu.
4. Baada ya Nyerere kulikua na ushirikiano katika kupigania uhuru.

Hiyo ndio angle nimeona.
 
Inahusiana nini na kutaka Uchaguzi HURU na HAKI?
 
Ni facebook huku akinakili video ya tamko la Askofu Wolfang Pissa Ambaye Pia Ni Rais Wa Baraza La Maaskofu Katoliki Tanzania.
--------------------------
ASKOFU ANAIJUA HISTORIA YA KANISA KATOLIKI LINDI TANU ILIPOINGIA SOUTHERN PROVINCE 1955?

N miaka mingi sasa toka nilipofika kuliona Kanisa Katoliki Lindi wakati natafiti kitabu cha Abdul Sykes.

Kanisa hili lina historia nzuri sana baina ya Salum Mpunga, Yusuf Chembera na Waislam wengine wakati wanapigania uhuru wa Tanganyika.

Nakuwekea hapo chini kipande nilichoandika kuhusu kanisa hili mwaka wa 1955 wakati wa kupigania uhuru wa Tanganyika:

Kanisa Katoliki mjini Lindi ni jengo la fahari lililoko ufukweni katika Bahari ya Hindi.

Lindi ulikuwa mji wa Waislam. Mbali na mlio wa kengele za kanisa hakuna mtu pale mjini aliyekuwa akishughulishwa na kile kilichokuwa kikifanyika kwenye viwanja vya kanisa.

Watu wachache waliokuwa wakienda kusali kanisani walikuwa Wakristo waliokuja Lindi kutoka sehemu nyingine za Tanganyika kufanya kazi katika ofisi za serikali.

Ghafla mahala hapa palipokuwa pweke, palipopuuzwa kwa miaka na Waislam wa mjini, pakawa muhimu kwa sababu rais wa TANU ambae alikuwa Mkatoliki alikuwa na haja ya kuhudhuria ibada pale kanisani.

Hakuna mtu katika uongozi wa TANU wa Lindi aliyejua ndani ya kanisa lile kulikuwa vipi wala hapakuwa na yoyote kati yao aliyewahi kuingia ndani ya kanisa, si Lindi wala mahali popote pale.

Uongozi wa TANU wa Waislam mjini Lindi haukumwamini Mkristo yoyote kumsindikiza Nyerere kanisani ili kumpa ulinzi.

Baada ya kujadili suala hilo kwa urefu hatimaye iliamuliwa kuwa Mpunga na wanachama wachache Waislam wenye kuaminika lazima wamsindikize Nyerere kanisani na wengine wabakie nje kulinda mlango.

Jumapili hiyo Nyerere aliingia ndani ya kanisa Katoliki mjini Lindi akifuatwa nyuma na walinzi wake Waislam wakiongozwa na Salum Mpunga, dereva wa lori shupavu.

Misa hii ‘’maalum,’’ ilidumu katika fikra za wale Wakristo waliokuwepo pale kanisani kwa miaka mingi kwa kuwa tukio hilo liliwagusa sana Wakristo walioshuhudia mkasa ule ndani ya kanisa la Lindi.

Hii huenda ilikuwa mara ya kwanza na ya mwisho kwa Nyerere kumsalia Mungu wake huku akiwa amesimamiwa na Waislam.

DC mkoloni alikataa kutoa kibali kwa TANU kufanya mkutano wa hadhara.

Akiwa amekasirika sana, Shabaan Msangi aliitisha mkutano wa dharura wa tawi la TANU uliohudhuriwa na Nyerere na Ali Mwinyi Tambwe.

Baada ya mkutano huo Tambwe alikwenda kumwona DC.

Ruhusa ilitolewa, na adhuhuri hiyo siku ya Jumapili, katika kiwanja ambacho Wazungu walikuwa wakicheza gofu, ambako mwaka mmoja uliopita Gavana Edward Francis Twining alitoa hotuba iliyowavunja moyo Waafrika, Nyerere alihutubia mkutano wa hadhara.

Kamwe haijapata kutokea kabla ya siku ile katika historia nzima ya Jimbo la Kusini, watu wengi kiasi hicho kujumuika mahali pamoja.

Wazungu na Wahindi pamoja na askari, watu wakiwa wamekaa na wengine wamesimama katika ya jua kali walikuja kumsikiliza Nyerere akihutubia.

Ili kuhakikisha amani na usalama pale mkutanoni serikali iliweka askari waliouzunguka uwanja mzima wa mkutano.

Nyerere aliwafikishia watu ule ujumbe wa TANU wa kuwa, kutawaliwa ni fedheha, na Waafrika wa Tanganyika lazima wadai uhuru wao.

Uingereza ilikuwa ikiitawala Tanganyika chini ya udhamini kwa niaba ya Umoja wa Mataifa, na wakati ukiwa muafaka inabidi Uingereza ikabidhi nchi kwa wananchi wenyewe.

TANU ilikuwa imewasili Jimbo la Kusini.

Hata sijaelewa nimeona kama Indian cinema.Logic ya makala ni ipi?
 
Anasema lindi ulikua mji wawaislam anasahau huo uislam wenyewe uliletwa nawawaarab lindi ulikua mji wamababu zetu ukiwa naiman zakiafrika
Imekuwa ni kawaida mtu kudharau chake na kuthamini cha mwenzake, mikoa ya Kusini, Kilwa, Lindi na Mikindani Mwara, UIslamu
Uliingia siku nyingi kabla ya ukoloni, mfano Mfanyabiashara tajiri, Hassan Bin Amir alikinunua kisiwa cha Kilwa kwa gharama
ya kitambaa kukizunguka Kilwa
Yote hivyo Kilwa mali yake!.

Sultan Seyyid Said, alipofika Zanzibar aliwakuta wenyeji Wakwezi na Wahadimu chini
ya Mtawala wao Mwinyi Mkuu, sijui
walimfanya nini, mara ghafla akahamishia the sultanet yake from Oman to Zanzibar na ghafla Zanzibar ikageuka mali ya Sultan of Zanzibar, hakuna tena kuwazungumzia wenyeji wa Zanzibar wenye Zanzibar yao, wala hakuna historia popote Sultan alivipataje visiwa hivyo!. Mkutano wa Berlin wa 1884 ukamtambua
Sultan of Zanzibar ndio mmiliki halali!, afadhali Mjerumani, aliinunua Tanganyika kwa Sultan Mangungo wa Msovela, kwa mikataba ya ulaghai, but there was something, Zanzibar Mwarabu has nothing to show ndio mmiliki.

Hivyo Mwarabu alijiona Zanzibar ni yake mpaka ile January 12, 1964 wenye Zanzibar yao walipoamka na kumfurusha, wakaitwaa Zanzibar yao kupitia yale
Mapinduzi
Matukufu
ya Zanzibar na ndio mpaka leo, Zanzibar ni ya wenyewe, kila uchaguzi, wenye vinasaba na Mwarabu ni wengi, kila siku wanashinda uchaguzi lakini hawapewi!.

Hata huku Tanganyika,
wenyeji halisi wa Tanganyika ni Wabantu, wengine wote ni watu wa kuja!.
P
 
Ni kweli mambo ya dini hayana inshu?
Maana uhuru ulipiganiwa na watu na watu hao walikuwa na dini. Je ni kosa kusema watu wa dini fulani walipigania uhuru? Au itumike misamiati gani ili walau kuepuka kutaja dini?
Naomba tujadili hili.
Changamoto iliyopo ni shule tu wala hakuna kitu kingine. Watu hawana uwezo wa kudadavua mambo kwa mapana tena katika hoja nzito na wanachokitaka wao ni short cut, sasa hiyo shot cut itawatokea puani, kumbukeni ya bure aghali.
SHULE
 
Ni facebook huku akinakili video ya tamko la Askofu Wolfang Pissa Ambaye Pia Ni Rais Wa Baraza La Maaskofu Katoliki Tanzania.
--------------------------
ASKOFU ANAIJUA HISTORIA YA KANISA KATOLIKI LINDI TANU ILIPOINGIA SOUTHERN PROVINCE 1955?

N miaka mingi sasa toka nilipofika kuliona Kanisa Katoliki Lindi wakati natafiti kitabu cha Abdul Sykes.

Kanisa hili lina historia nzuri sana baina ya Salum Mpunga, Yusuf Chembera na Waislam wengine wakati wanapigania uhuru wa Tanganyika.

Nakuwekea hapo chini kipande nilichoandika kuhusu kanisa hili mwaka wa 1955 wakati wa kupigania uhuru wa Tanganyika:

Kanisa Katoliki mjini Lindi ni jengo la fahari lililoko ufukweni katika Bahari ya Hindi.

Lindi ulikuwa mji wa Waislam. Mbali na mlio wa kengele za kanisa hakuna mtu pale mjini aliyekuwa akishughulishwa na kile kilichokuwa kikifanyika kwenye viwanja vya kanisa.

Watu wachache waliokuwa wakienda kusali kanisani walikuwa Wakristo waliokuja Lindi kutoka sehemu nyingine za Tanganyika kufanya kazi katika ofisi za serikali.

Ghafla mahala hapa palipokuwa pweke, palipopuuzwa kwa miaka na Waislam wa mjini, pakawa muhimu kwa sababu rais wa TANU ambae alikuwa Mkatoliki alikuwa na haja ya kuhudhuria ibada pale kanisani.

Hakuna mtu katika uongozi wa TANU wa Lindi aliyejua ndani ya kanisa lile kulikuwa vipi wala hapakuwa na yoyote kati yao aliyewahi kuingia ndani ya kanisa, si Lindi wala mahali popote pale.

Uongozi wa TANU wa Waislam mjini Lindi haukumwamini Mkristo yoyote kumsindikiza Nyerere kanisani ili kumpa ulinzi.

Baada ya kujadili suala hilo kwa urefu hatimaye iliamuliwa kuwa Mpunga na wanachama wachache Waislam wenye kuaminika lazima wamsindikize Nyerere kanisani na wengine wabakie nje kulinda mlango.

Jumapili hiyo Nyerere aliingia ndani ya kanisa Katoliki mjini Lindi akifuatwa nyuma na walinzi wake Waislam wakiongozwa na Salum Mpunga, dereva wa lori shupavu.

Misa hii ‘’maalum,’’ ilidumu katika fikra za wale Wakristo waliokuwepo pale kanisani kwa miaka mingi kwa kuwa tukio hilo liliwagusa sana Wakristo walioshuhudia mkasa ule ndani ya kanisa la Lindi.

Hii huenda ilikuwa mara ya kwanza na ya mwisho kwa Nyerere kumsalia Mungu wake huku akiwa amesimamiwa na Waislam.

DC mkoloni alikataa kutoa kibali kwa TANU kufanya mkutano wa hadhara.

Akiwa amekasirika sana, Shabaan Msangi aliitisha mkutano wa dharura wa tawi la TANU uliohudhuriwa na Nyerere na Ali Mwinyi Tambwe.

Baada ya mkutano huo Tambwe alikwenda kumwona DC.

Ruhusa ilitolewa, na adhuhuri hiyo siku ya Jumapili, katika kiwanja ambacho Wazungu walikuwa wakicheza gofu, ambako mwaka mmoja uliopita Gavana Edward Francis Twining alitoa hotuba iliyowavunja moyo Waafrika, Nyerere alihutubia mkutano wa hadhara.

Kamwe haijapata kutokea kabla ya siku ile katika historia nzima ya Jimbo la Kusini, watu wengi kiasi hicho kujumuika mahali pamoja.

Wazungu na Wahindi pamoja na askari, watu wakiwa wamekaa na wengine wamesimama katika ya jua kali walikuja kumsikiliza Nyerere akihutubia.

Ili kuhakikisha amani na usalama pale mkutanoni serikali iliweka askari waliouzunguka uwanja mzima wa mkutano.

Nyerere aliwafikishia watu ule ujumbe wa TANU wa kuwa, kutawaliwa ni fedheha, na Waafrika wa Tanganyika lazima wadai uhuru wao.

Uingereza ilikuwa ikiitawala Tanganyika chini ya udhamini kwa niaba ya Umoja wa Mataifa, na wakati ukiwa muafaka inabidi Uingereza ikabidhi nchi kwa wananchi wenyewe.

TANU ilikuwa imewasili Jimbo la Kusini.

Hili andiko ni kama linaelea elea, kuna muendelezo au?
 
Ninachokiona hapo watu kutumia Dini kueneza propaganda za kijinga sana.TEC toka Nyerere wamekuwa wawazi kwenye vitu visivyosaidia jamii.TEC walikubali kutoa rasimali ziwasaidie watanzania kupata maarifa huku yenyewe ikiwa na shule zisizo bagua dini kama wafanyavyo waislam.TEC ndio iliyomlazimisha Mkapa wakati wa mageuzi kutotoza kodi misaada ya kidini hili limenufaisha dini zote,wakati wa Magufuli walitoa waraka mkali kiasi kwamba JPM alilichukia kanisa lake.Je leo kutoa tamko tu imekuwa nongwa.Tamko hilo ni kwa ajili ya watawala sio Dini ya mtu.Hatuja sahau issue ya DP world maana wenzetu waliigeuza kuwa agenda ya kidini utadhani kodi zitagawanywa kwa misingi ya kidini.Wakati kwenye taasisi kubwa wameteuliwa wa dini moja zaidi hakuna kelele.Mwisho ni kuwa Tanzania 64% ni wakristo 33% waislam na 3% kuna wasiomini ,wahindu na wengine.
 
Wewe umesikia tu, haukuwepo wakati huo, mimi sikuwa mkatoliki nilisoma na waisilamu kwenye shule ya wakatoliki mjini Tabora.
 
Sijasoma...
Kwanini mambo mazito kiteknolojia wanagundua sana wazungu na wengi ni wakristo?? Alafu mtu anakupigia kelele eti makafiri wanakula nguruwe haya waarabu wasiokula wamegundua Nini??
 
Back
Top Bottom