Alichoandika MwanaHistoria Mohamed Said, Baada Tamko La Askofu Rais Wa TEC

Kuishi nchi moja na Muslims ni shida sana:
Wao kila kukicha ni kulalamika tu;

Semeni humu mnataka nini ?
Ili mridhike:
Mnaonaje swala la kugawana mikoa:
Sisi Wakristo tuko radhi kuishi na wasio na dini au wenye dini nyingine, ila wasiwe Waislamu:

Tugawane mikoa, Waislamu tuwape mikoa yenu muishi wenyewe bila kulalamika:

Wakristo na wadini nyingine tupatiwe mikoa yetu:

Na iwe ni marufuku kwa Muislamu kuishi mikoa ya wa dini nyingine:

Babu Muhamed said, unalionaje hili wazo zuri ?
 
Umesema kweli kabisaaaaa!
 
Che...
Mimi naandika historia naeleza yale ambayo wengi hamkuwa mnayajua.
Ulikuwa unajua kuwa watu watatu ndiyo waliopewa kazi ya kuisajili TANU?

Watu hao ni Abdul na Ally Sykes kadi zao Ally kadi yake ya TANU No. 2 na ya
kaka yake Abdul No. 3 na ya Julius Nyerere TANU Territorial President kadi yake
No. 1 na aliandikiwa na Ally Sykes na yeye ndiye alisanifu kadi na akachapa
kadi 1000 Printpak wachapaji wa gazeti la Tanganyika Standard kwa fedha zake
binafsi.

Haya kwako ni malalamiko?
Hii ya kuhama nchi inakujaje katika kuandika historia ya TANU?

Wapi nimeandika kuhusu sharia na hayo mengine?

Hakika maandiko yangu ni haya haya na laiti kama nisingeandika
mengi katika historia ya Tanganyika yangepotea.

Wewe ulikuwa unajua kuwa safari ya kwanza UNO dhifa ya kumuaga
Nyerere ilifanyika katika Jengo la Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika?

Jengo la Umoja wa Waislam wa Tanganyika.
Hii si sehemu ya historia ya uhuru wa Tanganyika?

Ulikuwa unamjua Iddi Faiz Mafungo aliyekuwa Mweka Hazina wa Al
Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika na pia Mweka Hazina wa kwanza
wa TANU.

Kadi yake ya TANU No. 24 na ndiye aliyekuwa mkusanyaji wa fedha
za safari ya Nyerere UNO 1955.

Iddi Faiz ni kati ya watu wasiozidi 20 waliohudhuria mkutano wa kwanza
wa TANU Arnautoglo Hall Agosti 1955.

Moyo unakuuma kusoma historia hii?
Acha usiisome kujitesa bure.

Ikiwa wewe unaona historia hii ni pumba sawa hakuna neno acha wengine
waisome kwa furaha.

Huna sababu ya kuja hapa kutukana na kutoa maneno ya ufedhuli.
Mimi kwako ni baba.

Wanao mimi ndiyo babu yao.


Kushoto: Iddi Faiz Mafongo, Sheikh Mohamed Ramiyya, Julius Nyerere, Saadan Abdu Kandoro na Haruna Iddi
Taratibu Dodoma Railway Station 1955/56 wakati wa kupigania uhuru wa Tanganyika.

Jengo la Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika
 
 
mzee said a.k.a mdini aliyejaa chuki isiyomsaidia chochote. kwa nini asiongelee pia kwamba hata mtwara yalikuwa maeneo ya waislam hadi mkatoliki alipokuja kujenga shule na hospitali ili waache kujifungulia vichakani, waache kutibiwa kwa madawa ya suna na waelimike? hajawahi kuona zuri la wakristo na hatakuja kuliona, kwani siku zote amewaita makafiri kwa kinywa chake.
 
Tuwape mikoa yenu ili muishi kwa raha mustarehe na Sharia zenu:

Na ziwe nchi independent kabisa:
Na iwe ni marufuku kwa muislamu kuishi katika nchi ya Wakristo na wa dini nyingine:

Ili mtimize haja zenu za dini bila kubudhiwa na mnao waita Makafiri
 
Umeninukuu na husemi chochote:
Naona umefurahia hizi pendekezo mbili.

Ni kwamba tumekuchoka na maandiko yako ya kila siku ya Waislamu, Waislamu Waislamu,

Sasa sisi tusio Waislamu unatushauri nini?

Sawa Uhuru mmeuleta Waislamu
Sasa nini kifanyike kwa sisi tusio uleta Uhuru ?

Tusio Waislamu?
Tupeni nchi tukaishi huko, tuwaachie nchi yenu Waislamu mulio ipigania kumwondoa Mkoloni Mzungu.
 
Che..
Nimesema maneno hayo hapo chini:
Che...
Mimi naandika historia naeleza yale ambayo wengi hamkuwa mnayajua.
Ulikuwa unajua kuwa watu watatu ndiyo waliopewa kazi ya kuisajili TANU?

Watu hao ni Abdul na Ally Sykes kadi zao Ally kadi yake ya TANU No. 2 na ya
kaka yake Abdul No. 3 na ya Julius Nyerere TANU Territorial President kadi yake
No. 1 na aliandikiwa na Ally Sykes na yeye ndiye alisanifu kadi na akachapa
kadi 1000 Printpak wachapaji wa gazeti la Tanganyika Standard kwa fedha zake
binafsi.

Haya kwako ni malalamiko?
Hii ya kuhama nchi inakujaje katika kuandika historia ya TANU?

Wapi nimeandika kuhusu sharia na hayo mengine?

Hakika maandiko yangu ni haya haya na laiti kama nisingeandika
mengi katika historia ya Tanganyika yangepotea.

Wewe ulikuwa unajua kuwa safari ya kwanza UNO dhifa ya kumuaga
Nyerere ilifanyika katika Jengo la Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika?

Jengo la Umoja wa Waislam wa Tanganyika.
Hii si sehemu ya historia ya uhuru wa Tanganyika?

Ulikuwa unamjua Iddi Faiz Mafungo aliyekuwa Mweka Hazina wa Al
Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika na pia Mweka Hazina wa kwanza
wa TANU.

Kadi yake ya TANU No. 24 na ndiye aliyekuwa mkusanyaji wa fedha
za safari ya Nyerere UNO 1955.

Iddi Faiz ni kati ya watu wasiozidi 20 waliohudhuria mkutano wa kwanza
wa TANU Arnautoglo Hall Agosti 1955.

Moyo unakuuma kusoma historia hii?
Acha usiisome kujitesa bure.

Ikiwa wewe unaona historia hii ni pumba sawa hakuna neno acha wengine
waisome kwa furaha.

Huna sababu ya kuja hapa kutukana na kutoa maneno ya ufedhuli.
Mimi kwako ni baba.

Wanao mimi ndiyo babu yao.
 
Ninacho jua hapo mwanzo hii nchi ilikuwa ya Mababu zetu na mila zao:
Maliasili zote zilikuwa chini ya Mababu zetu na walitunza ili zitunufaishe sisi na wajukuu zetu.

Shida ilianza baada ya kuletewa desturi na mila za wageni zikiwepo hizi Dini:

Wakati wa Mababu zetu walipendana bila mipaka kama wanavyoishi Watanzania WAHADZABE.
Ingawa hawana elimu rasmi lakini hatusikii neno MAKAFIRI toka kwao:

Wageni walikuja kutupa mila zao zikiwepo za Dini ili tuchukiane sisi kwa sisi na kuwaona wao ndio Bora sana, ili tuwape mali asili zetu hali ya kuwa mali asili zao wanazitumia wao tu, na kamwe hawakubali sisi tuzitumie:

Leo tumeacha hadi kutumia majina yetu:
Ziwa Nyanza linaitwa ziwa Victoria,

Jirani Chapanjila anaitwa Sixbelt yaani Mikanda sita:
Ndugu yangu Kalamba Asali anaitwa Mr Brown, yaani Kahawia:

Rafiki yangu Nguvu Mali anaitwa Muhamedi Saidi,

Yaani hata Koo zetu zinapotea kiasi kwamba tutakuja kuoana ndugu kwa ndugu.

Waafrika weusi tunamezwa na wakoloni:
Huku wasomi wetu wanafurahia tu na kuvaa tai:

Lugha zetu za Asili zote zinakufa zinabaki Kiarabu na Kiingereza:

Ukiweza kutungumza hizo lugha unaishi popote Tanzania na kuhudumiwa mahitaji yote:

Hivi nyie wasomi mlisoma ili kuendeleza jamii zenu au kuibeza na kuwa mamluki ya Wageni ?

Mbona wao hawana majina yetu, Lugha zetu na Dini Zetu ?

Ooh God have Mercy on Us:
 
Yesu,
Ningekuwa naandika chuki JF wasingeniadhimisha.

Angalia hapo chini hizo ni tuzo mbili mfululizo 2022
na 2023 Mwandishi Bora:


 
Mimi nimetukana tusi gani?
Liweke humu nilione:

Kwani wewe unajua mimi nina miaka mingapi hadi useme wewe ni baba yangu ?

Nijibu haya maswali mawili:
 
Huyu si mwanahistoria bali mwanagaidi mhafidhina mwanangu.
 
Basi tufanye Waislamu ndio walio upigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar.
Na kama Watanzania tumekubali hizo juhudi za Waislamu:

Kwasasa nini kifanyike ?
Kwako Muhamed said
Historia kitu kimoja.
Nini umefanya kuendana na historia au kurekebisha mapungufu kitu kingine kabisa.
Kulalama bila kuchuka hatua si kurekebisha makosa.
 
Yesu,
Ningekuwa naandika chuki JF wasingeniadhimisha.
Angalia hapo chini:

View attachment 3313556
kuna siku niliwahi kukuuliza kwamba, "unaweza kujaribu kupiga mahesabu ambayo wewe au hao unaowataja kila siku mnatudai sisi wakristo, ili tuchange pesa tuwape pengine mridhike muache kutunung'unikia as if sisi hatukuwepo kwenye nchi hii au as if sisi hatuna mchango wowote. Yaani huwa unatuchukulia sisi kama raia wa nchi nyingine kabisa, ila ninyi ndio watanzania, na ninajua unatamani hilo lingekuwa hivyo ila huna uwezo nalo na hautakuja kupata uwezo huo. Inakuwaje sisi wakristo asili yetu ni hapa, mababu na mababu wamezaliwa na kuishi hapa, kuna mchango mkubwa sana kwenye uhuru, elimu n.k kwenye hii nchi, hata wewe hapo hiyo elimu umeipata inawezekana uliipata kenye shule iliyoanzishwa na sisi makafiri (kama ulivyozoea kutuita) au la ungekuwa na elimu ya kiarabu tu, umeshatibiwa kwenye hospitali za wakristo mara nyingi huku ukigugumia kimyakimya kama sio wewe vile, hata maisha, wakristo na waislam tunafurahi kwenye nchi moja, ila wewe katu hauishi kulalamika ili uionyeshe dunia kwa wakristo hatuna mchango kwenye uhuru wa nchi hii na kwamba waislam ndio wenye mchango. hivi wale just a handful of people unaowataja kwamba ndio walileta uhuru wa nchi hii bila kuwepo wananchi? hao wananchi hawakuwepo wakristo? nyerere alikuwa ni shehe au? kilichowashinda ninyi kwenda UNO na kwengine ninini? nani alisema mkose elimu dunia? nyerere hajawahi kufukuzwa shule wala kusumbuliwa kisiasa kwa sababu ya misimamo yake kupigania nchi? huyo naye ni shehe?

Uzee sio nywere tu Babu Saidi. halafi mimi sio "yesu", mimi ni "Yesu anakuja", hata ulivyotaja tu Yesu unaonyesha unaitaja kwa kebehi na dharau. na ndiye huyo atakuja kukuhukumu kwa kumkataa. Mungu akusaidie umalize uzee wako kwa kumpokea Yesu Kristo awe Bwana na Mwokozi wa maisha yako. kwa sababu bila hivyo, utaenda moto wa milele na hautakuja kusema hatukukuambia.
 
Mimi nimetukana tusi gani?
Liweke humu nilione:

Kwani wewe unajua mimi nina miaka mingapi hadi useme wewe ni baba yangu ?

Nijibu haya maswali mawili:
Che...
Ikiwa huoni kama unanitukana hakuna shida.
Mimi nina miaka 73.

Unadhani naweza kuwa na mjukuu kwa umri wako?
Nakusihi tuishie hapa.

Hupendi kalamu yangu ukiona post yangu DELETE.
Huna sababu ya kuja hapa umeghadhibika.
 
Ni kwamba sisi sote humu tunakujua Mzee Muhamed Saidi, kuwa ni msomi mbobevu sana.
Oxford inakutambua:
Al-Azar inakutambua:

Tatizo lako unaleta habari zile zile mika yote za historia tu bila ufumbuzi wala hitimisho:

Wanao kufuatilia wamekubali kuwa hii nchi ilikombolewa n Wailslmu tu basi:
Sasa wewe kama msomi tufanyeje baada hapo ?

Au tutunge wimbo wa Taifa kuwapongeza Waislamu kwa jitihada zao za kuleta Uhuru?

Au chama tawala kichague Wabunge japo Ishirini wa viti maalumu Waislamu kama zawadi ya kupigania Uhuru ?

Mitaala ya shule na vyuo iliweka habari ya watanzania wote kuwa walishiliki kupigania uhuru wa Tanzania ili kuondoa Udini na Ukabila na kuleta umoja wakati ujao:
Ingawa ukweli ulikuwepo:
Sasa wewe unataka kuturudisha kule kule kwa faida ipi ?
 
Sithubutu kumkebehi Mjumbe wa Allah.
Mimi nimeandika historia ya uhuru wa Tanganyika sasa ni mwaka wa 25.

Kitabu kimependwa mno kimechapwa mara nne kwa Kiingereza na Kiswahili.


 
Ndugu yangu,
Hayo yote usemayo wewe mie huko sipo.
Mimi niko hapa nasomesha historia ya uhuru wa Tanganyika.

Kila siku napata wanafunzi wapya.
Wajibu wangu ni kuwafundisha kile ambacho hawakusomeshwa.

Tatizo liko wapi ndugu yangu.
Ikiwa wewe hupendezewi jikalie pembeni.

Hujalazimishwa kunisoma.


Nyuma yangu ni Azhar Shariff, Cairo 1991
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…