Alichofanya Mkuu wa Mkoa wa Dar, Makonda kwa Pierre Mzee wa Liquid ni udhalilishaji na kinyume cha haki za binadamu

Alichofanya Mkuu wa Mkoa wa Dar, Makonda kwa Pierre Mzee wa Liquid ni udhalilishaji na kinyume cha haki za binadamu

Ndiyo maana nasisitiza Tanzania (Watanzania) tunahitaji kujitathimini upya, kwetu sisi hatujui tunacho kitaka ni kitu gani, walipa kodi wakubwa ni wananchi wa vijijini kwahiyo hao hawana haki ya kupata umeme?

Hiyo project ni ya REA ambayo kwa kiasi flani ni miradi inayo fadhiliwa na World Bank..

Juzi upinzani tulikuwa tunalalamika miaka 50 ya uhuru vijijini hamna umeme haya nyumba za tembe zimeanza kupata umeme mnaanza kulalamika..

Kwahyo mlitaka REA iwe project ya mijini?

Ndiyo maana nasema huyo mpumbafu mlevi anawakilisha idadi kubwa sana Watanzania wajinga wajinga na walevi wasio jitambua
we fala unajua aina gani ya nyumba inatakiwa kuwekwa umeme? Na sifa zipi unatakiwa kukiz ili kuwekewa umeme? Au unaleta upakwa mafuta wako acha ushenzi wa kutetea vilaza hao wasio jitambua
 
From day one nilivyo skia huyu mlevi nae ni mtu maarufu nikajua kabisa Tanzania inahitaji kujitathimini upya, kuna kila sababu za msingi Paul Makonda akabidhiwe nchi baada ya Magufuli, maana naona Tanzania kuna wapumbafu wengi sana kiasi kwamba kwa level za Uzee wa Magufuli hawezi kukabidhia nazo.....

Vipi kuhusu babu wa Loliondo?
 
80% waliokuwepo kwenye kampeni ya tokomeza zero Kisarawe ni watu wa hovyo akiwemo RC Dar na DC Kisarawe. Pierre Liquid kawafunika watu hovyo wenzie watu sasa wameamua kushirikia ili wamshushe.
 
we fala unajua aina gani ya nyumba inatakiwa kuwekwa umeme? Na sifa zipi unatakiwa kukiz ili kuwekewa umeme? Au unaleta upakwa mafuta wako acha ushenzi wa kutetea vilaza hao wasio jitambua
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani Hittler sio maarufu???? Kwani mbona umaarufu wa piere unawaumaa sana Kuliko umaarufu wa Amber rutty????[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama akili za Watanzania ndiyo hizi wacha Magufuli amalizie miaka yake sita iliyo baki Makonda awe rais.. Bado kuna wajinga wamelala wanatakiwa kuamshwa kwa chuma
 
Mtoa mada labda hukuelewa hoja ya makonda!!! Na kwakuwa watz tunamawazo yanayofanana pasipokufanya analysis wote tumeingia kwenye huu mkenge labda ni kwasababu makonda kaongea!!!

Nmemsikiliza vzr sana makonda na yeye alitoa ushauri kwa waandishi wa habar kwamba waweke kwenye front page habar ya mama mmja kuliko ya watu walevi sasa hapo kamdhalilisha kivipi???

Je huyu bwana kiuhalisia kipi cha maana akifanyacho??? Je tunataka kuandaa taifa la walevi??? Kwann ulevi wa huyu bwana ndo habar ya mjini ww huoni impact yake kwa vijana wetu???? Unaacha kushea habar ya wanafunzi kukaa chini drsan au kushea kipaji cha mtoto unaweka habar ya pierre front page ???? Una akili????

Ukweli ni kwamba watz tunaoenda mambo ya hovyo kabsa sioni tofauti ya huyu na dr shika !!

Nimeona watu humu wanashabikia ujinga eti anajitafutia kipato kwani huyu bwana tofauti yake na nabii tito i wapi?????

Sikatai kuwa na watu wa namna hiyo lakn kama taifa hatuwesi kuwekeza kwa watu kama hawa na maajabu unakuta waandishi wa habr ndo habar zao za mjini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MIMI namfahamu Vizuri sana Piere.
Ni mtu mwenye kazi zake halali kabisa.
Na anataaluma halali inayomwingizia kipato halali kabisa.
Jioni huwa anapenda kupumzika sehemu nzuri na kupata kinywaji kwa pesa yake halali.
Huko huko kwenye vikao vya jioni baada ya kazi anakutana na hao mnaosema waandishi wa habari.
Wakaamua awaburudishe na kumrekodi kwa makubalino halali kabisa.
Hajawahi kumtapeli mtu kama alivyotapeli Dr. Shika.
Hajawahi kufanya uovu hadharani kama hao akina Ambaruti.
Hajawahi kumdhihaki mtu.
Hajawahi kumwomba mtu pesa ya matumizi yake.
Ni raia mwema na hana shitaka lolote wala uadui na watu.
Hapa tatizo liko wapi ?
Kwani yeye ndiye anayezalisha Bia anazokunywa.
Au hizo bia mnamnunulia nyie ?
Acheni Wivu wa Kitoto.
NYIE NDIO WATU WA HOVYO

Sent using Jamii Forums mobile app
 
we fala unajua aina gani ya nyumba inatakiwa kuwekwa umeme? Na sifa zipi unatakiwa kukiz ili kuwekewa umeme? Au unaleta upakwa mafuta wako acha ushenzi wa kutetea vilaza hao wasio jitambua
Hivyo vigezo vyako vya kilevi ndivyo vilivyo ifikisha hii nchi mahali ikakwama, Magufuli anaiyondoa kwenye mkwamo na kuiweka kwenye laini...
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Huwezi zuia mtu kuwa maarufu kama vile ambavyo hatuwezi zuia wew kuwa mpumbavuu...[emoji15][emoji15] Utadhani Piere ndo maarufu wa kwanza tz shwain kabisa... Wapo wengi watakuja na umaarufu wao kivyaoo... Huwezi kuuzuia umaarufu wa mtu... Kasukumiwe miti hukoo
Kama akili za Watanzania ndiyo hizi wacha Magufuli amalizie miaka yake sita iliyo baki Makonda awe rais.. Bado kuna wajinga wamelala wanatakiwa kuamshwa kwa chuma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
From day one nilivyo skia huyu mlevi nae ni mtu maarufu nikajua kabisa Tanzania inahitaji kujitathimini upya, kuna kila sababu za msingi Paul Makonda akabidhiwe nchi baada ya Magufuli, maana naona Tanzania kuna wapumbafu wengi sana kiasi kwamba kwa level za Uzee wa Magufuli hawezi kukabidhia nazo.....

uyoo bashite mwenyewe ni mpumbavu.
 
cha ajabu zaidi ni changudoa lililounga mkono maneno ya bashite ,lilipigwa mtungo singida fiesta,watu wakasafisha mtaro hadi likajinyea...leo lina audacity ya kumtukana piere. shit.
 
Back
Top Bottom