idawa
JF-Expert Member
- Jan 20, 2012
- 25,284
- 38,364
Swala la hisa naweza kukubaliana na wewe mkuu, maana unaambiwa hata masafa wasafi fm Dar 88.9 yalipatikana kimagumashu watu walikuwa wanaenda tcra kuomba masafa wanaambiwa yamejaa.Kuna watu hawajui Wasafi media ni ya nani...
Ukweli ni kwamba Makonda ana zaidi ya 50% hisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa angalia redio mpya imepewa 88.9, wakati zipo zilizotangulia lakini wakapelekwa 100 nukta kadhaa huko mbeleni.