Alichofanya Mkuu wa Mkoa wa Dar, Makonda kwa Pierre Mzee wa Liquid ni udhalilishaji na kinyume cha haki za binadamu

Alichofanya Mkuu wa Mkoa wa Dar, Makonda kwa Pierre Mzee wa Liquid ni udhalilishaji na kinyume cha haki za binadamu

Kuna watu hawajui Wasafi media ni ya nani...
Ukweli ni kwamba Makonda ana zaidi ya 50% hisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Swala la hisa naweza kukubaliana na wewe mkuu, maana unaambiwa hata masafa wasafi fm Dar 88.9 yalipatikana kimagumashu watu walikuwa wanaenda tcra kuomba masafa wanaambiwa yamejaa.

Sasa angalia redio mpya imepewa 88.9, wakati zipo zilizotangulia lakini wakapelekwa 100 nukta kadhaa huko mbeleni.
 
Kama pierre kujulikana kwake kwaajili ya pombe basi mh makonda yupo sawa hatupo hapa kutetea walevi
 
Oparesheni tokomeza zero, main speaker anaekashifu watu alipiga zero.

Vipi, tutengeneze jamii ya watu wanaofoji vyeti?

- KANA -
 
Hao bongo movie anaozurura nao hovyo wote wauza mboga na walevi,yeye jana alitakiwa kuhamasisha elimu ambayo yeye alipata ziro hadi leo hana cheti
Kwakweli nimemkubali sana makonda kwa kile alichokemea media na waandishi kutoa promo kwa walevi na wababaishaji kama dr shika.
Sasa naelewa kwanini magufuli alimteua.
Pongezi sana Rais wetu magufuli kuchagua viongozi makini

Sent from my iPhone using JamiiForums

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Piere fala tuu sioni sababu ya media kumshobokea..........

Kuna vijana huko vijijini wanajitahidi kuunganisha vyuma wapate magari, media ndio zingetakiwa zipromite idea zao wapate msaada nk. (Innovative ideas zipo mtaani kibao media hazina mda wa kuzireveal kwa jamii).

Matokeo yake tuko bize na Mambo ya kijinga sana..........

Mimi ni mtumia gambe Sanaa ila kwa huyu bwana piere sijawahi muelewa hata kidogo.......Na wanaompromote Ni wajinga flani wasiojitambua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watanzania tunaongoza kwa wivu Na roho za kwanini!
Makonda yeye ni mlezi wa wcb ambao Ndio wanaongoza kwa kuomba nyimbo za kusikia ngono mpaka wizara inazifungia!
Aliwahi kuyakemea hayo?
Kuna siku alishawahi kumsifia sema hadharani kisa kulikua Na ligi huko Instagram kati sema Na hamisa mobetto!
Hivi Kuna mtu hovyo kumzidi wema Na maicha Na video za ngono!
 
Piere fala tuu sioni sababu ya media kumshobokea..........

Kuna vijana huko vijijini wanajitahidi kuunganisha vyuma wapate magari, media ndio zingetakiwa zipromite idea zao wapate msaada nk. (Innovative ideas zipo mtaani kibao media hazina mda wa kuzireveal kwa jamii).

Matokeo yake tuko bize na Mambo ya kijinga sana..........

Mimi ni mtumia gambe Sanaa ila kwa huyu bwana piere sijawahi muelewa hata kidogo.......Na wanaompromote Ni wajinga flani wasiojitambua

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa leo Uunganishe vyuma upate gari unataka Iwe habari mpyaa serious????[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Watanzania bhnaa...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
View attachment 1058576"watu kama wakina Pierre sijui,watu wa hovyo hovyo ndio wanakua maarufu watu wa maana hawajulikani,tunajenga jamii ya watu gani?"
Haya ndio maneno ya Makonda wakati anahutubia kwenye tamasha la tokomeza zero Kisarawe,lililofanyika jana Mlimani City,ambalo pia Pierre alikuwa moja kati ya watu waliohudhuria.
Hivi mtu kama Pierre kuwa maarufu yeye inamuuma nini? anaposema ni mtu wa hovyo katika lipi? kati ya Pierre na hao wasanii wake ambao daily wanshinda makahamani kwa kesi za hovyo hovyo,wanatukanana mitandaoni live,wanavujisha picha za ngono mitandaoni,wanabadili wanawake/mabwana kila uchwao na bado anawahusudu na kuwaona wa maana nani ni wa hovyo sasa?
Muache mzee wa watu aingize kipato chake kihalali,ilimradi havunji sheria za nchi.
Heko heko makonda
Alichokifanya Makonda ni kitu sahihi na ni jambo la ushujaa ambalo limekuwa katika mioyo ya watanzania wengi.bila kukosea hata hapa kuna uzi tulilijadili hili suala la kujenga taifa la wajinga.Tanzania imekuwa ikifanywa jamii ya wajinga.na haya yamekuwa yakichochewa na waandishi wapuuzi wachache.Nasema sijawahi kuupenda mfumo wa uongozi wa Makonda ila kwa la jana.Ninakupongeza kwa dhati yangu.
Asante kwa kukemea upuuzi huu ambao umeanza kushika kasi katika jamii yetu.. baadhi ya waandishi kuacha vitu vya msingi na kukuza upuuzi.anzia kwa bwana Shika,na huyo dada aliyeweka video za ufirauni mtandaoni. Mpaka kwa huyu mlevi.juzi alitumiwa mpaka na wadau kuhamasisha ushindi wa taifa stars.. kweli kwa vigezo vipi, tujiulize.je wachezaji wa zamani waliofuzu Afcon Kwa mara ya kwanza hawakuwepo ama wadau wanaojitoa kwa ajili ya mpira wa nyumbani hawakuwepo..huo ni mwendelezo wa kutetea upuuzi.kwa kulikemea hili jambo nakuunga mkono bwana Makonda.Alafu uje uwageukie hawa waandishi wa taarifa za habari wa YouTube channel.hawa ndio vyanzo vikuu vya kukuza ujinga huu katika jamii.na hata kupotosha watoto wadogo wanaokua.
 
Kwakweli nimemkubali sana makonda kwa kile alichokemea media na waandishi kutoa promo kwa walevi na wababaishaji kama dr shika.
Sasa naelewa kwanini magufuli alimteua.
Pongezi sana Rais wetu magufuli kuchagua viongozi makini

Sent from my iPhone using JamiiForums
Aliye toa promo na kunywa bia kwa nusu bei alikuwa piere?
Joket mwenye mkaa uchi na mwenye matukio ya kupigwa nao nae vipi? Wema malaya wa Taifa unamzungumziaje? Waswahili wanasema "Kuchamba kwingi mwisho utaondoka na kinyesi"
 
Sasa kamati ya Afcon kuwaweka kina wema ili iweje???? Wema malaya yule mtumia Bhangi anahamasisha nini kwenye jamii????
Heko heko makonda
Alichokifanya Makonda ni kitu sahihi na ni jambo la ushujaa ambalo limekuwa katika mioyo ya watanzania wengi.bila kukosea hata hapa kuna uzi tulilijadili hili suala la kujenga taifa la wajinga.Tanzania imekuwa ikifanywa jamii ya wajinga.na haya yamekuwa yakichochewa na waandishi wapuuzi wachache.Nasema sijawahi kuupenda mfumo wa uongozi wa Makonda ila kwa la jana.Ninakupongeza kwa dhati yangu.
Asante kwa kukemea upuuzi huu ambao umeanza kushika kasi katika jamii yetu.. baadhi ya waandishi kuacha vitu vya msingi na kukuza upuuzi.anzia kwa bwana Shika,na huyo dada aliyeweka video za ufirauni mtandaoni. Mpaka kwa huyu mlevi.juzi alitumiwa mpaka na wadau kuhamasisha ushindi wa taifa stars.. kweli kwa vigezo vipi, tujiulize.je wachezaji wa zamani waliofuzu Afcon Kwa mara ya kwanza hawakuwepo ama wadau wanaojitoa kwa ajili ya mpira wa nyumbani hawakuwepo..huo ni mwendelezo wa kutetea upuuzi.kwa kulikemea hili jambo nakuunga mkono bwana Makonda.Alafu uje uwageukie hawa waandishi wa taarifa za habari wa YouTube channel.hawa ndio vyanzo vikuu vya kukuza ujinga huu katika jamii.na hata kupotosha watoto wadogo wanaokua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani Sisi Tanzania sijui nani katuroga.akili zetu zimefungwa kabisa.sijui ndo maksudi yaani watu wapo busy kuutetea huu upuuzi unaofanywa na hizi media.alafu mbona huyo mlevi.ndo kama kisingizio cha makonda kukosea . wakati yeye kasemea mfumo mzima unakuza vitu vya ajabu na kuacha vitu vya msingi
 
Acheni ungese....hivi bashite aliposema wanywe nusu bei uadhani watoto wetu hawakusikia? Au hawaoni

Sent using my Nokia Torch
Ni kawaida sana ya watu wapumbavu kama wewe kujibu kwa matusi.inchi hii ina watu dizaini yako wengi sana,hipenda kuongea yasiyo wahusu na wakiambiwa huishia kutoa kashifa na matisi.

JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
 
Sasa leo Uunganishe vyuma upate gari unataka Iwe habari mpyaa serious????[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Watanzania bhnaa...

Sent using Jamii Forums mobile app
Unadhani marekani ilianza kwa kutengeneza marcedes Benz sio.......

It's true huwezi unga vyuma ukapata gari ila Kuna watu wako tayari kumpa msaada wa elimu mtu huyo ili afanye makubwa zaidi kwa taifa hapo baadae

Hao watu watamuonaje Kama media ziko bize na Mambo ya kina peire

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom