Mtoa mada labda hukuelewa hoja ya makonda!!! Na kwakuwa watz tunamawazo yanayofanana pasipokufanya analysis wote tumeingia kwenye huu mkenge labda ni kwasababu makonda kaongea!!!
Nmemsikiliza vzr sana makonda na yeye alitoa ushauri kwa waandishi wa habar kwamba waweke kwenye front page habar ya mama mmja kuliko ya watu walevi sasa hapo kamdhalilisha kivipi???
Je huyu bwana kiuhalisia kipi cha maana akifanyacho??? Je tunataka kuandaa taifa la walevi??? Kwann ulevi wa huyu bwana ndo habar ya mjini ww huoni impact yake kwa vijana wetu???? Unaacha kushea habar ya wanafunzi kukaa chini drsan au kushea kipaji cha mtoto unaweka habar ya pierre front page ???? Una akili????
Ukweli ni kwamba watz tunaoenda mambo ya hovyo kabsa sioni tofauti ya huyu na dr shika !!
Nimeona watu humu wanashabikia ujinga eti anajitafutia kipato kwani huyu bwana tofauti yake na nabii tito i wapi?????
Sikatai kuwa na watu wa namna hiyo lakn kama taifa hatuwesi kuwekeza kwa watu kama hawa na maajabu unakuta waandishi wa habr ndo habar zao za mjini
Sent using
Jamii Forums mobile app