Alichofanya Mkuu wa Mkoa wa Dar, Makonda kwa Pierre Mzee wa Liquid ni udhalilishaji na kinyume cha haki za binadamu

Alichofanya Mkuu wa Mkoa wa Dar, Makonda kwa Pierre Mzee wa Liquid ni udhalilishaji na kinyume cha haki za binadamu

Nadhani kama ni ishu ya uhovyo wa mtu basi wa kwanza kushambuliwa hapo ilibidi iwe huyo muandaaji wa shughuli Jokate!
mbona yeye ana mapicha ya aibu mitandaoni ila hakuna anayemsema?
Halafu makonda yeye ni mlezi wa wcb kila siku wanatoa nyimbo za hovyo kusikia ngono mpaka zinafungiwa ila hujawahi kukemea hilo!
huyu Jamaa mtu wa ajabu sana aisee
kijana wake supastaa anafanya mapenzi ya kishoga na yule choko muuza mchele, watu wa hovyohovyo ndiyo anawalea sababu na yeye ni wa hovyohovyo
 
Achaa uzuzuu... Ushawahi ona Gazeti la mwanchi front page kakaa piere.??? Sasa wewe unasoma udaku unataka kila siku front page ukute Wema abadilisha bwanaa...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sijui diamond amlaa mate hamisa hadharani???[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] Muacheni piere maana wote wapenda kiki tu sawa na Zile kiki za kusema Ambulance zimeokotwa bandarini....Upuuzi juu ya upuuzi
Mtoa mada labda hukuelewa hoja ya makonda!!! Na kwakuwa watz tunamawazo yanayofanana pasipokufanya analysis wote tumeingia kwenye huu mkenge labda ni kwasababu makonda kaongea!!!

Nmemsikiliza vzr sana makonda na yeye alitoa ushauri kwa waandishi wa habar kwamba waweke kwenye front page habar ya mama mmja kuliko ya watu walevi sasa hapo kamdhalilisha kivipi???

Je huyu bwana kiuhalisia kipi cha maana akifanyacho??? Je tunataka kuandaa taifa la walevi??? Kwann ulevi wa huyu bwana ndo habar ya mjini ww huoni impact yake kwa vijana wetu???? Unaacha kushea habar ya wanafunzi kukaa chini drsan au kushea kipaji cha mtoto unaweka habar ya pierre front page ???? Una akili????

Ukweli ni kwamba watz tunaoenda mambo ya hovyo kabsa sioni tofauti ya huyu na dr shika !!

Nimeona watu humu wanashabikia ujinga eti anajitafutia kipato kwani huyu bwana tofauti yake na nabii tito i wapi?????

Sikatai kuwa na watu wa namna hiyo lakn kama taifa hatuwesi kuwekeza kwa watu kama hawa na maajabu unakuta waandishi wa habr ndo habar zao za mjini

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivyo vigezo vyako vya kilevi ndivyo vilivyo ifikisha hii nchi mahali ikakwama, Magufuli anaiyondoa kwenye mkwamo na kuiweka kwenye laini...
Kaa kimya kilaza wewe kama hujui ya nchi hii tuachie wenyewe utakuja kosa mshahara wa buku 7 yako utalia nchi ipo katika danger zone hii. Na tuone kama mtapewa hyo buku 7 yenu mwaka huu alafu bado unaongea ujinga huyo unae msifia s nae alikuwa katika mfumo huo huo hana jipya kwa Tanzania
 
Mtu anapata umaarufu kisa kujitoa akili tu na kusema chiiiiii,mama nakufa, hahahaha ila piere atabaki kuwa juu mawinguni...

Uzi tayar
 
Alafu kile kipande cha video kinamuonesha Piere anamtukana mwandishi wa habari ni Part ndogo ya video nzima ambayo Piere aliambiwa aigize kama anaonesha dharau... Wapuuzi wakachukua kipande kidogo cha video nzima wakakipost... Wasafi nao ni wangese tu kama bashite. Wanataka wao tu ndo wawee topic in town...[emoji48][emoji48][emoji48][emoji48]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hao wangese kwanza inabidi wamlipe konki hela yake. Wanapenda kutoka kupitia migongo ya wengine
 
Kaa kimya kilaza wewe kama hujui ya nchi hii tuachie wenyewe utakuja kosa mshahara wa buku 7 yako utalia nchi ipo katika danger zone hii. Na tuone kama mtapewa hyo buku 7 yenu mwaka huu alafu bado unaongea ujinga huyo unae msifia s nae alikuwa katika mfumo huo huo hana jipya kwa Tanzania
Juzi huku mskia gavana wa BOT akitoa taarifa serikali inaweza kujiendesha bila kukusanya kodi kwa mwaka mmoja?

Eti nchi ipo katika danger zone hii.
Akili za namna hii ni za walevi. Crap
 
Mtoa mada labda hukuelewa hoja ya makonda!!! Na kwakuwa watz tunamawazo yanayofanana pasipokufanya analysis wote tumeingia kwenye huu mkenge labda ni kwasababu makonda kaongea!!!

Nmemsikiliza vzr sana makonda na yeye alitoa ushauri kwa waandishi wa habar kwamba waweke kwenye front page habar ya mama mmja kuliko ya watu walevi sasa hapo kamdhalilisha kivipi???

Je huyu bwana kiuhalisia kipi cha maana akifanyacho??? Je tunataka kuandaa taifa la walevi??? Kwann ulevi wa huyu bwana ndo habar ya mjini ww huoni impact yake kwa vijana wetu???? Unaacha kushea habar ya wanafunzi kukaa chini drsan au kushea kipaji cha mtoto unaweka habar ya pierre front page ???? Una akili????

Ukweli ni kwamba watz tunaoenda mambo ya hovyo kabsa sioni tofauti ya huyu na dr shika !!

Nimeona watu humu wanashabikia ujinga eti anajitafutia kipato kwani huyu bwana tofauti yake na nabii tito i wapi?????

Sikatai kuwa na watu wa namna hiyo lakn kama taifa hatuwesi kuwekeza kwa watu kama hawa na maajabu unakuta waandishi wa habr ndo habar zao za mjini

Sent using Jamii Forums mobile app
Muulize Makonda wakati anatangaza watu wakanywe bia nusu bei alikuwa anajenga Taifa la aina gani.?
 
Sasa huyu DC nae ni zero!
Kwanini amuite bashite kwenye hiyo tokomeza zero wakati bashite naye ni zero! Halafu awaseme zero wenzake watafutaji!
Hiyo zero si kwa wanafunzi! Konki liquid anasoma??

Sey yeeeeeeeeeeh!
 
Juzi huku mskia gavana wa BOT akitoa taarifa serikali inaweza kujiendesha bila kukusanya kodi kwa mwaka mmoja?

Eti nchi ipo katika danger zone hii.
Akili za namna hii ni za walevi. Crap
Dogo achana na series za Mr bn hzo tukimwaga data hapa server itazima ghafra hapa usione wamachinga wanapata tabu uchumi umeyumba sana tena sana ndio maaana mzee baba kawa mpole sana hv unajua kwann rostam na mzee Ely karudi kule?
 
Unwell ni kwamba makonda amezidi kumpaisha bila kuelewa. Kimsingi jamii husimama na mnyonge.binafsi sikuwa namfahamu. Lila sana namfahamu na nimevutiwa na uigizaji ulevi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
From day one nilivyo skia huyu mlevi nae ni mtu maarufu nikajua kabisa Tanzania inahitaji kujitathimini upya, kuna kila sababu za msingi Paul Makonda akabidhiwe nchi baada ya Magufuli, maana naona Tanzania kuna wapumbafu wengi sana kiasi kwamba kwa level za Uzee wa Magufuli hawezi kukabidhia nazo.....
Tz sasa wewe kwanini usifanye vitu vya maana ukawa na umaarufu wa maana

mpuuzi mpuuzi tu
 
Back
Top Bottom