Alichofanya Mkuu wa Mkoa wa Dar, Makonda kwa Pierre Mzee wa Liquid ni udhalilishaji na kinyume cha haki za binadamu

kinachouma zaidi ni kwamba mchizi kaenda pale kuhamasisha na katoa mchango wake wa laki moja ila kaambulia matusi mbele za watu dah! i feel him
 
Tatizo ni wivu....Kwenye mexhi Niliposhuka na helikopta ilimuuma.sana...kwenye msiba kule kijijini pia..kanisa language Lima sadaka nyingi waumini 50.000 wakinichangia kila mmoja 10.000 ni ngapi? Ninaandika.vitabu Vinci sana...pesa ninayo tumashindana vipi?
 
Numby kwa Piere tunaweza elewa tukasema masanga ilikolea,lakini kwa DAB hapana tunajua sote hanywi sasa kuharisha vile kama abiria aliyeshikwa tumbo la kuhara akajitosa katika choo cha porini ni nini?Inaweza kuwa poo ana vuta bhangi maana akili yake haieleweki na hainaga akili
Makonda hajatumia busara

Ila piere pia alizidi dharau,kumuita paparazi takataka haikubaliki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukweli mchungu,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu, nimesema sijawa kumuunga mkono Makonda. Ila aliposema umaarufu wa kilevi wa huyo star wenu ni wa hovyo sijapingana nae na ikumbukwe mimi sio shabiki wa Makonda. Tunatofautina mawazo usinilaumu kwa hilo please.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani kavunja sheria gani au unawashwa msambwanda!!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
walevi utawajua wanavyomshabikia huyo mlevi mwenzao piere. hata joketi ni mlevi ndio maana anamtetea mlevi mwenzake
 
Anachofanya Pere ni sanaa kama sanaa nyingine tu.

Ndivyo wanavyofanya kina Massele, Mkude Simba n.k...ni kama stand up comedy ila yeye kajia kwa anle yake.

Tatizo la Wabongo tumeshakariri, ni mpaka tumuone Mtu kwenye Majukwaa rasmi ndio tunaridhika kwamba hiyo ndio sanaa.
 
Unafiki mtupu, mbona kwenye uhamashishaji wa timu ya taifa pierre alimtumia na yeye alikuwa mwenyekiti, ukiona hivi ujue kamdhulumu, kitu cha kawaida awamu hiii
Wakati wa uhamasishaji piere hakuwa kwenye kamati ya RC Yeye piere alikua chini ya kampuni ya DSTV tanzania na alikua akihamasisha na kulipwa na dstvTanzania

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mda mwingne huwa nahs kuna watu wanafanya kazi kwenye ile office ila ghost workers
Huwez ongoza dar na akili za ajabu kias icho
Asanteni sana ghost workers mnaofanya kazi kwenye io office ila lipen kodi sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…