Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inauma sana,kinachouma zaidi ni kwamba mchizi kaenda pale kuhamasisha na katoa mchango wake wa laki moja ila kaambulia matusi mbele za watu dah! i feel him
Ile ni Clip ukiingia You Tube ndiyo utaelewa ukiona Mahojiano yake na Mwandishi. Pale Piere aliambiwa aiguze kama yupo Serious ndiyo akaongea vile.Makonda hajatumia busara
Ila piere pia alizidi dharau,kumuita paparazi takataka haikubaliki
Makonda hajatumia busara
Ila piere pia alizidi dharau,kumuita paparazi takataka haikubaliki
Ukweli mchungu,Kosa la Pieri Likwidi konk ni kuwa timu kibakuli, wakati Bashite ni mlezi wa wachafu.
Pili likwidi konk alimtukana mwandishi wa habari sijajua ni wawasafi maana mbele yake ilikuwepo maiki ya WCB.
Bifu la Wasafi na Likwidi lilianzia kwenye wimbo wa tetema, Reyvan aliingiza maneno na vionjo vya Likwidi bila ridhaa yake.
Likwid akasema wangemwomba ama kumshirikisha yeye mwenyewe ama wampe hata kifuta jasho Wasafi wakakaza.
Ukitaka kujua Bashite anaroho mbaya, huyo Pieri kwenye uhamasishaji Taifa stars alitumika, ila kwenye mechi akazuiwa na Pieri likwidi alitaka aingie kwa masupastar akazuiwa.
Kwenye hafla ya ikulu jina lake lilikatwa, japo Mama Samia kwa heshima na taadhima akamtaja kwa kutambua mchango wa Pieri Likwid konk....hicho kitendo kilimuuma sana Bashite.
Sasa leo mkuu wa wilaya akamwalika kwenye shughuli ya tokomeza ziro, hiki kitendo kimemuuma sana Rais wa Dar kuona jamaa anazidi kuwa juu/kileleni.
Kuna hatari hata makampuni yaliyoanza kufanya kazi na Pier yakasitisha mikataba iwe kwa hiari ama kwa lazima maana Rais wa Dar hapendizwi na wanachokifanya.
Hata hivyo ukiangalia kiundani alietukanwa hapo na Makonda ni Mkuu wa wilaya ya Kisarawe Jokate aliemwalika Pieri Likwid Konk.
Pole Likwid Pierr Konk utabaki kuwa juu kileleni.
Ila alipo halalisha watu wamkoa wake walewe kwa nusu Bei na si sukari, chumvi, mchele, unga ,usafiri ulishangilia huyo Pierre anakunywa Pombe zake tena siyo kwa punguzo lenu inawauma??
"AMA KWELI MCHAWI BINADAMU PAKA HUTUMWA TU"
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani kavunja sheria gani au unawashwa msambwanda!!?Tuache kulea ujinga na kusifu ujinga.Mitaani sasa hivi mjinga huyu anajiita supa staa/mtu maarufu na ujinga ujinga mwingi kama wajinga wa humu wanaomtetea na kumtangaza mjinga huyu kwa wajinga kuhusu ujinga wa huyu mjinga.
Eti mamaaaa,fayaaaaa,konkiii,likwidi na kujibenua benua kijinga kijnga.
Makonda was right to say what have said at Mlimani City recently.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni good example?!Makonda is right
Pierre is another bad example
Wewe haunywi ulanzi na komoni?!!walevi utawajua wanavyomshabikia huyo mlevi mwenzao piere. hata joketi ni mlevi ndio maana anamtetea mlevi mwenzake
Aliombwa kuigiza paleMakonda hajatumia busara
Ila piere pia alizidi dharau,kumuita paparazi takataka haikubaliki
Huyo hafai hata kupromote mavi
Wakati wa uhamasishaji piere hakuwa kwenye kamati ya RC Yeye piere alikua chini ya kampuni ya DSTV tanzania na alikua akihamasisha na kulipwa na dstvTanzaniaUnafiki mtupu, mbona kwenye uhamashishaji wa timu ya taifa pierre alimtumia na yeye alikuwa mwenyekiti, ukiona hivi ujue kamdhulumu, kitu cha kawaida awamu hiii