Alichofanya Mkuu wa Mkoa wa Dar, Makonda kwa Pierre Mzee wa Liquid ni udhalilishaji na kinyume cha haki za binadamu

Alichofanya Mkuu wa Mkoa wa Dar, Makonda kwa Pierre Mzee wa Liquid ni udhalilishaji na kinyume cha haki za binadamu

Duuu hii hatari. Joketi na Makonda wakutane waombane msamaha. Maana Joketi kakwazika huko twitter. Halafu mh Makonda nikupage ushauri siyo kila siku ukweli unasemwaga kweupeee mengine unamezea!! Walevi hao hao ndiyo wanawapigia kura wanasiasa na pia wanachangia pato LA taifa kwA kunywa bia hovyooo.. Hapo sasa!!
Sio huyo tu mwambie na huyo anayependa kuonekana anaongoe ukweli kila siku lazima aseme msema ukweli sijui this n that.... unafk kitu kibaya sana.
 
Makonda was probably RIGHT but NOT WISE. He lacks the qualities of a good leader.
I think Makonda had a point but poorly presented.
He could have derivered his message without offence had he chosen his words properly.
 
Makonda was probably RIGHT but NOT WISE. He lacks the qualities of a good leader.
Mkuu Makonda hayuko hata nusu sentimea katika kukaribiana na ukweli na hapa kuna mambo nadhani lazima tuyaweke sawa kuhusu Makonda:

Mosi, Pierre ni mchekeshaji kama alivyo yule Mkudesimba au Kitale. Hivyo kumwita mchekeshaji ni mtu wa hovyo inaashiria kwamba huyu kiongozi ana uwezo finyu wa kuchambua mambo.

Pili, Makonda alimtukana sana Jokate kwasababu yeye ndiye aliyemualika Pierre Liquid. Hivyo mimi ningekuwa Jokate nadhani ningejisikia vibaya sana.

Tatu, Makonda yeye anatoa wapi ujasiri wa kuita wenzake watu wa hovyo wakati yeye mwenyewe ana kashfa ya kufoji vyeti vya shule ambayo hajaijibu hadi leo.

Nne, anachofanya Pierre Liquid cha kunywa pombe siyo kinyume na sheria za nchi yetu. Unywaji wa pombe unakataziwa na dini tu, tena baadhi. Sasa yeye atasemaje binadamu wenzake ni watu wa hovyo.

Tano, kusema watu wanaokunywa pombe ni watu wa hovyo inathibitisha ni jinsi gani huyu Makonda amepungukiwa na hekima. Kwenye lile tukio pombe zilikuwa zinatolewa hivyo wote waliokunywa walikuwa ni watu wa hovyo.

NB: Katika hili Makonda hawezi kutetewa hata kidogo. Amedhalilisha utu wa binadamu mwenzake (defamed) ambaye hajatenda kosa lolote lile na kutia unajisi sherehe ya mwenzake. Watu walikwazika sana na ile kauli yake kwenye ile sherehe.
 
I think Makonda had a point but poorly presented.
He could have derivered his message without offence had he chosen his words properly.
What point my friend ??? Alcohol consumption is not a felony. By the way alcohol was served in the event: And if that was the case, then everyone who consumed alcohol during that event was an idiot according to Makonda.....
 
Mimi nashauri wasanii wakialikwa mahali na wakajua Makonda yupo basi wasusie huo mwaliko
 
What point my friend ??? Alcohol consumption is not a felony. By the way alcohol was served in the event: And if that was the case, then everyone who consumed alcohol during that event was an idiot according to Makonda.....
Kuna moja anamwambia mwandishi"swali kama hili unaweza muuliza raisi?"
Piere anatakiwa asaidiwe ku respond na maswali bado yuko dhaifu sana kwenye maswali apart from being bad influence to our kids
 
Kuna moja anamwambia mwandishi"swali kama hili unaweza muuliza raisi?"
Piere anatakiwa asaidiwe ku respond na maswali bado yuko dhaifu sana kwenye maswali apart from being bad influence to our kids
Nafikiri na wewe hujui unachoongea...kwenye ile clip umeangalia nusu ungekuwa na akili ungetafuta video nzima uone kwanini aliongea hivyo...aliambiwa aigize na kuwa kama mtu aliyechukia ndo akawa anasema vile...
 
ningekywa na akili kwa kipimo gani?
 
Kuna moja anamwambia mwandishi"swali kama hili unaweza muuliza raisi?"
Piere anatakiwa asaidiwe ku respond na maswali bado yuko dhaifu sana kwenye maswali apart from being bad influence to our kids
Mimi naomba nisema haya yafuatayo:
Mosi, Pierre hana kosa kisheria kwa kutumia uhuru wake kufanya anayofanya.
Pili, Pierre ni mchekeshaji anayejitafutia riziki yake kama wachekeshaji wengine.
Tatu, kama mtoto watoto wako walio chini ya umri unawaruhusu wawe wanaangalia kila kitu cha mtandaoni basi wewe ndiyo Bad Influence.
Nne, mbona hawa wasanii wanaoimba matusi kama wakina Wasafi WCB hawaitwi watu wa hovyo na Bad Influencers ??
These are Double Standards and Hypocrisy..
 
Bashite anajifanya mjuaji sana, kwanini alihamasisha vinywaji vipunguzwe bei baada ya mechi ya Taifa stars?
Kwanini leo amwite mnywaji mtu Wa hovyo kama alikmtoa tamko huyo mnywaji apunguziwe bei ya kinywaji?
Yote haya kwasababu hakusifiwa yeye kama Mwenyekiti Wa kamati ya uhamasishaji zaidi akatajwa Pierre liquid na mama Samia.
Bashite ana wivu Wa kike full stop

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I see ur point,but rc kumwonea wivu dalali wa fenicha !!!!mbona atakuwa dhaifu sana
 
Back
Top Bottom