Sio huyo tu mwambie na huyo anayependa kuonekana anaongoe ukweli kila siku lazima aseme msema ukweli sijui this n that.... unafk kitu kibaya sana.Duuu hii hatari. Joketi na Makonda wakutane waombane msamaha. Maana Joketi kakwazika huko twitter. Halafu mh Makonda nikupage ushauri siyo kila siku ukweli unasemwaga kweupeee mengine unamezea!! Walevi hao hao ndiyo wanawapigia kura wanasiasa na pia wanachangia pato LA taifa kwA kunywa bia hovyooo.. Hapo sasa!!