Sio huyo tu mwambie na huyo anayependa kuonekana anaongoe ukweli kila siku lazima aseme msema ukweli sijui this n that.... unafk kitu kibaya sana.Duuu hii hatari. Joketi na Makonda wakutane waombane msamaha. Maana Joketi kakwazika huko twitter. Halafu mh Makonda nikupage ushauri siyo kila siku ukweli unasemwaga kweupeee mengine unamezea!! Walevi hao hao ndiyo wanawapigia kura wanasiasa na pia wanachangia pato LA taifa kwA kunywa bia hovyooo.. Hapo sasa!!
Watu wengi wamebeba image ya Bashite kuwa ni ya the boss.Anamdhalilisha Sana mteuajiMakonda mjinga tu kama mkuu wake
I think Makonda had a point but poorly presented.Makonda was probably RIGHT but NOT WISE. He lacks the qualities of a good leader.
Mkuu Makonda hayuko hata nusu sentimea katika kukaribiana na ukweli na hapa kuna mambo nadhani lazima tuyaweke sawa kuhusu Makonda:Makonda was probably RIGHT but NOT WISE. He lacks the qualities of a good leader.
What point my friend ??? Alcohol consumption is not a felony. By the way alcohol was served in the event: And if that was the case, then everyone who consumed alcohol during that event was an idiot according to Makonda.....I think Makonda had a point but poorly presented.
He could have derivered his message without offence had he chosen his words properly.
Kuna moja anamwambia mwandishi"swali kama hili unaweza muuliza raisi?"What point my friend ??? Alcohol consumption is not a felony. By the way alcohol was served in the event: And if that was the case, then everyone who consumed alcohol during that event was an idiot according to Makonda.....
Tofauti yao haipo.. Vyeti sina, huku PHD hewa.Watu wengi wamebeba image ya Bashite kuwa ni ya the boss.Anamdhalilisha Sana mteuaji
Sent using Jamii Forums mobile app
Nafikiri na wewe hujui unachoongea...kwenye ile clip umeangalia nusu ungekuwa na akili ungetafuta video nzima uone kwanini aliongea hivyo...aliambiwa aigize na kuwa kama mtu aliyechukia ndo akawa anasema vile...Kuna moja anamwambia mwandishi"swali kama hili unaweza muuliza raisi?"
Piere anatakiwa asaidiwe ku respond na maswali bado yuko dhaifu sana kwenye maswali apart from being bad influence to our kids
Anatokomezaje zerooooo kwa mfano..... yaani hata kiswahili kafeli?View attachment 1059343
Sent using Jamii Forums mobile app
Comment za hovyohovyo kama hizi huwa hazikosekaniMajinga yamedampo habari zote zitazowapeleka ikulu sasa wako na piere
Sent using Jamii Forums mobile app
ningekywa na akili kwa kipimo gani?Nafikiri na wewe hujui unachoongea...kwenye ile clip umeangalia nusu ungekuwa na akili ungetafuta video nzima uone kwanini aliongea hivyo...aliambiwa aigize na kuwa kama mtu aliyechukia ndo akawa anasema vile...
Mimi naomba nisema haya yafuatayo:Kuna moja anamwambia mwandishi"swali kama hili unaweza muuliza raisi?"
Piere anatakiwa asaidiwe ku respond na maswali bado yuko dhaifu sana kwenye maswali apart from being bad influence to our kids
Ingia YouTube kaangalie full pale aliambiwa aigize seriously kama anaweza na kale ni ka clip kama anaigiza vile ndani ya mahojianoMakonda hajatumia busara
Ila piere pia alizidi dharau,kumuita paparazi takataka haikubaliki
I see ur point,but rc kumwonea wivu dalali wa fenicha !!!!mbona atakuwa dhaifu sanaBashite anajifanya mjuaji sana, kwanini alihamasisha vinywaji vipunguzwe bei baada ya mechi ya Taifa stars?
Kwanini leo amwite mnywaji mtu Wa hovyo kama alikmtoa tamko huyo mnywaji apunguziwe bei ya kinywaji?
Yote haya kwasababu hakusifiwa yeye kama Mwenyekiti Wa kamati ya uhamasishaji zaidi akatajwa Pierre liquid na mama Samia.
Bashite ana wivu Wa kike full stop
Sent using Jamii Forums mobile app