Alichofanya Mkuu wa Mkoa wa Dar, Makonda kwa Pierre Mzee wa Liquid ni udhalilishaji na kinyume cha haki za binadamu

Ukiwa na wivu wa kike sana kiasi cha kuona wwengine hovyo unakuwa aotomatically hovyo; wengine tunaanza hata kuwa na wasiwasi na uwezo wa aliyekuweka ulipo.
 
Sidhani kama kuwa mlevi ni kosa hasa ulevi wa bia ambayo hata serikali inategemea mapato hapo
Kosa linakuja kama umevunja sheria ya nchi tuu!!
Kunywa bia au pombe ni kitu cha kawaida sanaaa sio kwa dunia ya sasa hata enzi hizoo BC hadi sasa

Sijajua nini kilicho kushtua kwa huyo unaye muita mlevi
Kama ni umaarufu mbona kuna watu maarufu wengi hapa tz tena umaarufu wao unavunja sheria za nchi tena walikuwepo kabla hata ya huyo mlevi

Kama kweli tuna nia njema ya kutengeeza taifa bora
Peter atakuwa mtu wa mwisho ku deal nae
Tuanze na hawa wanao tuzunguka ambao tunapenda kuchangamana nao
Wanao weka vitu vya ndani njee
 
Huyu si ndiyo alihamasisha kilevi kwa nusu bei,kumbe wakati akisema hivyo alikuwa anawaona wanywaji kuwa ni eatu wa ovyo,Hivyo kumbe TBL ni hovyo,na gov yetu inapokea kodi inayotokana na vitu vya hovyo?
 
Ziro nyingine hii duh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kazi anazozifanya huyu kijana ni nzuri tu,hajawahi kumtukana mtu yeyote na isitoshe siku ile alialikwa na yeye kama mmoja wa wageni wa aliikwa ni kwa sababu ya kazi anayoifanya ndio imemfanya ajulikane,michango yake anayoitoa kwa kupitia uchekeshaji ni mizuri.Sitaki kumlaumu mkuu wa mkoa kwa kitendo alichokifanya bali ni vema akafahamu alichokifanya sio sahihi.Amemdhihaki sana huyu jamaa.
 
Mbona wanamuziki wanacheza kwa kushika nyeti zao ndio maarufu?mfano Diamond na kundi lake ?je kucheza huku unashika nyeti sio upuuzi ?je kuimba matusi sio upuuzi?
 
I think Makonda had a point but poorly presented.
He could have derivered his message without offence had he chosen his words properly.
You are right Boss,but this man has always keep on using abusive language for quite long.I think he deserve to have an educated personal assistant as his precedessors like Mzee Yusuph Makamba had one.
 
Kwanza, Bashite kwa sababu ya akili yake ndogo, kama mbegu ya haradali, anadhani kumbagaza Pierre hadharani ni kumpunguzia umaarufu kumbe ndio anamuongezea. Ni sawa na kumpiga chura teke......unamuongezea mwendo. Umaarufu wa Liquid umepanda mara dufu na wa Bashite umeshuka kwa kiwango hicho hicho.

Pili, kwa kuwa Bashite alipata zero hakupenda na hapendi kabisa kumuona Jokate akitokomeza zero kwenye wilaya yake. Bashite anataka zero ziwe nyingi kwa sababu naye alipata zero. Roho mbaya hiyo!!! Ndio maana alienda kuharibu shughuli ya Jokate kwa makusudi (kwa kumtukana mmoja wa wahamasishaji...Pierre) ili kusudi lengo lake la kuondoa zero Kisarawe lisitimie.

Namshauri mdogo wangu Jokate asithubutu tena kumualika huyu chizi (Bashite) kwenye hafla yake katu. Mijitu kama hii ni ya kuitenga na jamii, ikafie huko mbali. Kumbafu!!![emoji32][emoji22][emoji30][emoji134][emoji33]





Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbali na Pierre, Makonda pia alimtia aibu Rayvanny kwa kukataa kutetema ingawa viongozi kama Manara na Kigwangala walitetema.
Kwani angetetema angepungukiwa nini?
Obama mwenyewe alicheza ngoma ya asili
 
Pombe inatengenezwa ili anywe nani?Kama ni uhovyo kunywa pombe,basi serikali ni ya hovyo kuruhusu viwanda kutengeneza pombe nchini!!!!!
 
Huwezi kusema kuwa pombe ni kitu cha Hovyo wakati moja ya majina ya kiongozi wetu mkuu ni Pombe.
 
Umemjibu
Vizuri

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I think Makonda had a point but poorly presented.
He could have derivered his message without offence had he chosen his words properly.
Wanywaji na walevi sisi ndiyo tunaiendesha uchumi wa nchi yako!
Kwani mtu anaye kunywa pombe anavunja sheria za nchi....
Mbona huyo uliyemtaja anaongozana na watu wanaofanya upuuzi na mchafu

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
alikuwa anatafuta attention ya watu ktk kujadiliwa si unajua saiz hana jipya kila akitoa traki inabuma so akaona aje na stail hio
 
ile hafla ilibidi iwe leo tar 1 apr
 
Pombe haijaanza kunywika leo wala jana
Watu wanakunywa pombe ni wa kila aina
Watu wanakunywa pombe pamoja na viongozi mbali Bali!
Kama ulivyo Sema kunywa pombe ila usivunje sheria

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…