Msengapavi
JF-Expert Member
- Oct 23, 2008
- 8,819
- 7,638
Ukiwa na wivu wa kike sana kiasi cha kuona wwengine hovyo unakuwa aotomatically hovyo; wengine tunaanza hata kuwa na wasiwasi na uwezo wa aliyekuweka ulipo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sidhani kama kuwa mlevi ni kosa hasa ulevi wa bia ambayo hata serikali inategemea mapato hapoFrom day one nilivyo skia huyu mlevi nae ni mtu maarufu nikajua kabisa Tanzania inahitaji kujitathimini upya, kuna kila sababu za msingi Paul Makonda akabidhiwe nchi baada ya Magufuli, maana naona Tanzania kuna wapumbafu wengi sana kiasi kwamba kwa level za Uzee wa Magufuli hawezi kukabidhia nazo.....
Ziro nyingine hii duhFrom day one nilivyo skia huyu mlevi nae ni mtu maarufu nikajua kabisa Tanzania inahitaji kujitathimini upya, kuna kila sababu za msingi Paul Makonda akabidhiwe nchi baada ya Magufuli, maana naona Tanzania kuna wapumbafu wengi sana kiasi kwamba kwa level za Uzee wa Magufuli hawezi kukabidhia nazo.....
Nadhani kila mara hili limekuwa likijirudia kwa kijana mwenzetu Paul Makonda “Hekima ya uongozi “
Kwa mfano unaweza kuwa na mzazi asiye na mvuto wa sura na hata jamii yako ikampachika majina na kumtambua hivyo lakini si hekima wewe kwenda mbele za watu na kusema yale majina anayoitwa mama yako si kwakuwa si ukweli la hasha ila si hekima.
View attachment 1058907
Pierre leo alikuwepo pale kama wahamasishaji wengine walioalikwa hekima tu angetumia ndugu Makonda na kwa maneno machache kwa walengwa bila kumuhusisha moja kwa moja Pierre .
Yawezekana amepata umaarufu kwa tabia isiyo nzuri ila matokeo yake amefanya mambo machache mazuri mpaka hili la hamasa ya tokomeza zero akahusishwa.
Hakumtendea vyema ndugu Pierre leo
Video ya Makonda akimdhalilisha Pierre
Habari zaidi, soma=>https://www.jamiiforums.com/threads...wake-kama-katiba-inavyoelekeza.1567031/unread
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona wanamuziki wanacheza kwa kushika nyeti zao ndio maarufu?mfano Diamond na kundi lake ?je kucheza huku unashika nyeti sio upuuzi ?je kuimba matusi sio upuuzi?Alichosema Makonda yuko sawa, matumizi ya lugha ndio tatizo, hili lingesemwa na mtu mwingine ingeonekana sawa tu, shida imekuja aliesema Makonda, kwani nani asiejua kuwa mijitu ya hovyo na mambo ya hovyo ndio yanayopewa kipaumbele? Toka lini ktk jamii yetu Mlevi akaonekana wa maana, media zetu zimekua za hovyo yaani kuna wakulima wana matatizo huko, kuna wavumbuzi na wagunduzi hakuna anejua waliko lkn utashangaa Pierre sijui Ambaruty, Dr. Shika wanakua maarufu na kila saa wanamulikwa na makamera alafu useme sio uhovyo huo, hapa tatizo ni kwakua Kasema Makonda
Sent using Jamii Forums mobile app
You are right Boss,but this man has always keep on using abusive language for quite long.I think he deserve to have an educated personal assistant as his precedessors like Mzee Yusuph Makamba had one.I think Makonda had a point but poorly presented.
He could have derivered his message without offence had he chosen his words properly.
Pombe inatengenezwa ili anywe nani?Kama ni uhovyo kunywa pombe,basi serikali ni ya hovyo kuruhusu viwanda kutengeneza pombe nchini!!!!!Alichosema Makonda yuko sawa, matumizi ya lugha ndio tatizo, hili lingesemwa na mtu mwingine ingeonekana sawa tu, shida imekuja aliesema Makonda, kwani nani asiejua kuwa mijitu ya hovyo na mambo ya hovyo ndio yanayopewa kipaumbele? Toka lini ktk jamii yetu Mlevi akaonekana wa maana, media zetu zimekua za hovyo yaani kuna wakulima wana matatizo huko, kuna wavumbuzi na wagunduzi hakuna anejua waliko lkn utashangaa Pierre sijui Ambaruty, Dr. Shika wanakua maarufu na kila saa wanamulikwa na makamera alafu useme sio uhovyo huo, hapa tatizo ni kwakua Kasema Makonda
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwezi kusema kuwa pombe ni kitu cha Hovyo wakati moja ya majina ya kiongozi wetu mkuu ni Pombe.Alichosema Makonda yuko sawa, matumizi ya lugha ndio tatizo, hili lingesemwa na mtu mwingine ingeonekana sawa tu, shida imekuja aliesema Makonda, kwani nani asiejua kuwa mijitu ya hovyo na mambo ya hovyo ndio yanayopewa kipaumbele? Toka lini ktk jamii yetu Mlevi akaonekana wa maana, media zetu zimekua za hovyo yaani kuna wakulima wana matatizo huko, kuna wavumbuzi na wagunduzi hakuna anejua waliko lkn utashangaa Pierre sijui Ambaruty, Dr. Shika wanakua maarufu na kila saa wanamulikwa na makamera alafu useme sio uhovyo huo, hapa tatizo ni kwakua Kasema Makonda
Sent using Jamii Forums mobile app
UmemjibuMkuu Makonda hayuko hata nusu sentimea katika kukaribiana na ukweli na hapa kuna mambo nadhani lazima tuyaweke sawa kuhusu Makonda:
Mosi, Pierre ni mchekeshaji kama alivyo yule Mkudesimba au Kitale. Hivyo kumwita mchekeshaji ni mtu wa hovyo inaashiria kwamba huyu kiongozi ana uwezo finyu wa kuchambua mambo.
Pili, Makonda alimtukana sana Jokate kwasababu yeye ndiye aliyemualika Pierre Liquid. Hivyo mimi ningekuwa Jokate nadhani ningejisikia vibaya sana.
Tatu, Makonda yeye anatoa wapi ujasiri wa kuita wenzake watu wa hovyo wakati yeye mwenyewe ana kashfa ya kufoji vyeti vya shule ambayo hajaijibu hadi leo.
Nne, anachofanya Pierre Liquid cha kunywa pombe siyo kinyume na sheria za nchi yetu. Unywaji wa pombe unakataziwa na dini tu, tena baadhi. Sasa yeye atasemaje binadamu wenzake ni watu wa hovyo.
Tano, kusema watu wanaokunywa pombe ni watu wa hovyo inathibitisha ni jinsi gani huyu Makonda amepungukiwa na hekima. Kwenye lile tukio pombe zilikuwa zinatolewa hivyo wote waliokunywa walikuwa ni watu wa hovyo.
NB: Katika hili Makonda hawezi kutetewa hata kidogo. Amedhalilisha utu wa binadamu mwenzake (defamed) ambaye hajatenda kosa lolote lile na kutia unajisi sherehe ya mwenzake. Watu walikwazika sana na ile kauli yake kwenye ile sherehe.
Wanywaji na walevi sisi ndiyo tunaiendesha uchumi wa nchi yako!I think Makonda had a point but poorly presented.
He could have derivered his message without offence had he chosen his words properly.
Pole mammyUbizi umenijaa.. nikipata muda nitasoma nijue ni uzi juu ya nini.
alikuwa anatafuta attention ya watu ktk kujadiliwa si unajua saiz hana jipya kila akitoa traki inabuma so akaona aje na stail hioKumuona binadam mwenzio wa hovyo kisa anatumia kilevi na kimempa umaarufu huo ni upungufu wa hekima...
Mtoa mada ambaye sio wa hovyo tuone kama utapata promo baada ya tangazo la shemej ako bashite...
Mda mwingine unajiuliza hvi hii mbegu inatumia akili kweli kufikiri??.. utamuitaje binadam mwenzio “hovyo” mbele ya umat wa watu na unaye umekaa naye hapo?
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ila shilole mvaaa uchi mliwa 713ningekywa na akili kwa kipimo gani?
ile hafla ilibidi iwe leo tar 1 aprKwa maneno yako mwenyewe alitakiwa atokee mtu aulize "Ambaye hajawahi kuwa wa Ovyo" asimame amshambulie Pierre Konki!! Hapo ndipo Muandaaji (Jokate) angekumbuka picha zake za Uchi zilizozagaa mitandaoni, Albert Bashite angekumbuka Zero alizopata mara 2 hadi kununua cheti cha Paulo Makonda na kukituia kujiendeleza na huku kampeni ikitaka kutokomeza zero. Hakuna ambaye angemkashifu mwenzake na sherehe ingemalizika kwa amani bila kukwaza mtu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pombe haijaanza kunywika leo wala janaSidhani kama kuwa mlevi ni kosa hasa ulevi wa bia ambayo hata serikali inategemea mapato hapo
Kosa linakuja kama umevunja sheria ya nchi tuu!!
Kunywa bia au pombe ni kitu cha kawaida sanaaa sio kwa dunia ya sasa hata enzi hizoo BC hadi sasa
Sijajua nini kilicho kushtua kwa huyo unaye muita mlevi
Kama ni umaarufu mbona kuna watu maarufu wengi hapa tz tena umaarufu wao unavunja sheria za nchi tena walikuwepo kabla hata ya huyo mlevi
Kama kweli tuna nia njema ya kutengeeza taifa bora
Peter atakuwa mtu wa mwisho ku deal nae
Tuanze na hawa wanao tuzunguka ambao tunapenda kuchangamana nao
Wanao weka vitu vya ndani njee