Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtu Makini sioNi Kweli Kabisa,
Hapo Mheshimiwa Rais Amechagua Mtu Makini Sana.
Na Sio Mtu Wa Hovyo Kama Piere.
Makofi Kwake Tafadhali. [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Sent using Jamii Forums mobile app
Unataka atekwe??Liquid akitoa video moja tu kuwa hajafoji vyeti itatosha
Nilipokuwa mm hutakaaa kufika mpaka unakufa.alafu upeo wako ni mdogo mno kuweza kucheza na akili za watu.wew subir buku 7 tz mpigie debe mzee baba tu buku 7 ipandeEndelea kunywa ghahawa hapo kijiweni ikifika ya elfu 6 unishtue nije nikulipie,
Eti una data, data za walevi labla
Bashite ni hovyo kupita chochote. Ni kwa sababu anabebwa tu lakini angekuwa kwenye hali mbaya sana. Likwidi anajitafutia maisha mwenyewe na siyo kama huyo Bashite anayeishi kwa jasho la wengine.Kwa kipindi kirefu jamii ya kitanzania hasa uwanja wa siasa na dini zilibugukiwa na sintofahamu ya mtu anayeitwa Daudi Albert Bashite. Tuhuma nyingi na nzito zilielekezwa kwa mkuu wa Mkoa Dar-es-Salaam aka Paul Maonda akituhumiwa kuwa alitumia majina na vyeti vya kugushi (Criminal offence) huku majina yake kamili yakiwa ni Daudi Albert Bashite
Jana akiwa Kisarawe, Bwana Makonda alifanya kitendo cha ajabu sana kwa kumuita mlevi wetu wa Taifa, Pierre Gambo “Perre Konki Liquid” kuwa mtu wa hovyo. Ilhali Pierre anatumia umaharufu alioupata kujipatia riziki yake kihalali. Huku Makonda ambaye anatuhumiwa kugushi vyeti kujipatia ajira kwa udanganyifu. Kati ya hawa watu wawili, nani ni mtu wa hovyo? Makonda ni mtu wa kukaa jela siyo mtu wa kunyoosha kidole kwa mwingine na kujiona malaika
Hakuna binadamu wa hovyo mbele za muumba. Ndugu Makonda hana haki ya kumuita mtu yeyote kuwa wa hovyo. Nadhani jamii; wanasiasa, viongozi wa kidini na kijamii wafike sehemu wakemee hii tabia aina ya Makonda. Yeye mwenye tuhuma nzito ambazo ni criminal in nature, anamhukumu mtu anayetumia jasho lake kujipatia rizki. Makonda must be condemned by every sane minded human being.
Makonda asiwe kama nyumbu. Anasahau vitu kirahisi hivyo.......Unamcheka mwenzio kuwa na kengeza wakati una jicho moja? Huu udhalilishaji usiruhusiwe katika jamii ya kitanzania
wewe nawe mpumbavu tu. Na mumeo bashite mpumbavu kama wewe.Ni kawaida sana ya watu wapumbavu kama wewe kujibu kwa matusi.inchi hii ina watu dizaini yako wengi sana,hipenda kuongea yasiyo wahusu na wakiambiwa huishia kutoa kashifa na matisi.
JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
Msanii wa nini mlevi tu